CCM mwendo mdundo! CHADEMA yaanguka

Kuvunjwa baraza ilikuwa dhahiri ili kujinusuru na presha ya political tsunami ambayo Chadema waliitangaza bungeni, tatizo tutaendelea na style hii hadi lini???????
 
Huyu jamaa aliyeleta hii thread ni mbeya, pili hoja zake hazina mashiko. Kama baba Ritz kidume basi awapeleke mahakamani then awafilisi hao wezi.
Duh! Mkuu huu mtihani unampa ****** hawezi hata kujaribu. Labda aanze na Kagoda!
 

this type of thinking is simply naive and pathetic...
 

Tunaomba tukupe pole wewe unayepata habari vijiweni. kwani cdm tuefurahi sana kwani kichwa cha nazi kimefanya kama wabunge waupinzani na baadhi wa ccm walivyomwelekeza. Tunashukuru sana kujionesha kwamba hawezi bila kushurutishwa.
 
Kwa mtazamo wangu JK alitakiwa kuwaomba watanzania radhi; kwa kuwachezea. Aliambiwa tangu mwanzo, huwezi kuongoza nchi kwa kupeana nafasi kama fadhila. Hayo ndio matunda ya kuwekana 'nepotism' bila kujali uwezo wa mtu au sifa alizo nazo. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 

utumbo mwenine huu hapa....umeshaambiwa huka anaye tafuta credit kwenye hili suala....utaifa kwanza
 
Inaonekana kuwa wewe umezaliwa baada ya mwaka 2010,wezi walioambiwa kwenye kampeni za uchaguzi kuwa bado wanahitajika kwani wao ni jembe la zamani lisiloisha makali,mlikuwa maana gani? huyo unayemwita Dpp alikuwepo na wengineo sasa huo ujasiri wa kuwachukulia hatua unatoka wapi? Hadanganyiki mtu mpaka kieleweke:A S shade:
 
kilicho angaliwa hapa ni mustakabali wa nchi yetu na rasilimali zake.Pia ikumbukwe kuwa huu si upepo kama tulivyosadikishwa, Tanzania kwa sasa hakuna upepo zaidi ya gharika kwa viongozi walafi wa mali zetu za umma.Gharika hili si tu kwa mawaziri kama mnavyofikiri la hasha! laweza kumkumba hata bwana mkubwa kwa kutoteuwa watendaji makini na kujaza mafisadi ndani ya serikali katika historia ya uongozi wake wa takribani miaka saba.
 
Dr Slaa anakula kodi zetu kupitia ruzuku inayopata CDM kutoka hazina; analipwa posho ya kukosa urais mil. 12, kila mwezi, mchumba wake kamtengezea deal ya kuratibu mifumo ya habari CDM HQ, kapewa kazi kifisadi pasipo kushindanishwa
are you done?anything more?
 
 
Mafilili = ni sawa na fisi kikwetu , sasa tutegemee nini toka kwa fisi

Kikwetu Mafilili = mtu aliefifia akili karibia na kufa!
Hebu fikiri, watu waliotuibia mabilioni na kusababisha hali ngumu, aliewaweka anawapumzisha wakatumie vizuri ngawira yao ili aweke wengine waje waendeleze libeneke (kumbukeni hii sio mara ya kwanza kuvunja baraza la mawaziri kwa sababu hizohizo) halafu kuna mijitu Mafilili eti yanasheherekea, kama si Ujuha wakupitukia ni nini? K*many*ko zao!
 
Nimegundua wafuasi wa CDM mwapenda kusifiwa TU, mnakuwa vipofu serikali ya CCM inapofanya mambo mazuri kwa manufaa ya watanzania walio wengi

Hoja umeileta kishabiki san na kuanza kutufanya wtz wote ni mazumbukuku. ukweli ni kwamba jk amevunja baraza bila kupenda kwani sio jadi yenu ccm kuwajibishana ila maji yamezidi unga ndomana ameamua kuvunja.
Lakini sio kweli kuwa watz wengi wamefurahia ila wamezidi kusikitika kwa jinsi viongozi wengii wa ccm wanavyoitafuna nchi kwa kujinufaisha na familia zao huo ndo ukweli tembea maeneo mengi utasikia watu wanavyoiponda ccm.
 
Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.
MAFILILI, pole sana ndugu yangu. Hebu tukumbushane tu kidogo;
.
CCM imeonja joto la jiwe kwa wimbi kubwa ambalo limetikisa si umoja wa vijana tu, ila hata vikongwe ambao walikuwa damudamu na CCM kuanza kuikimbia Jembe na nyumba na kujiunga na Chadema.
MAFILILI kwa kujisahau...! Kwa unafiki unasikitisha, unaudhi na unatia huruma! Eti CCM mwendo mdundo! Chadema yaanguka...kweli CCM ni Chama Cha Mazezeta!
 
CDM wanaset agenda and CCM wanareact kufanya CCM ndio haina sera wala haitekelezi ilani ya uchaguzi 2015 magamba watarecycle ya ilani 2010 kama kawaida yao kudanya wana wakati mugumu sana.
 

kwa mtu mwenye akili anajua kwamba JK kawapa credit CHADEMA kwa kuikubali hoja yao, hiyo inamaanisha chadema ni vichwa kuliko magamba na kila hoja wayotoa inamshiko. hiyo ni hoja ya pili JK kuikubali kutoka chadema ya kwanza ilikuwa ya katiba mpya.........chezea kitu ingine siyo chadema
 
Wewe ni mgeni humu JF? soma thread ya Kigangwala aliirusha jana humu jamvini ndio utaona hoja ya Zitto ilikuwa ya kukurupuka vibaya sana na haina mashiko na isinge fanikiwa

Sasa kama hoja ya zitto isingefanikiwa mbona baba mwanaasha ameshauriwa kuvunja baraza na amevunja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…