CCM mwendo mdundo! CHADEMA yaanguka

Hivi jamani hata ukimwita Taahira au mtoto mdogo ukamuuliza kwanini JK kavunja baraza la mawaziri atakujibu nini?

Nani asiyejua kwamba Baraza limevunjwa ili kumnusuru wakupinda?

Kwani CDM kwanini waliamua kumwajibisha Wakupinda kama si kwa vile waliona hawawezi kuwawajibisha MAfisadi papa(mawaziri)?

Mimi nawapongeza sana CDM kwani tangu wameanza kupigania haki za wanyonge hilo baraza lisharekebishwa mara nyingi na kuvunjwa mara 1 na hii itakua ya pili.

Hv CCM nyie hamjifunzi?Hamtaki kuja kua wapinzani Makini kama Sugu alivyowaambia?
 
Tunajua Kikwete aligoma kuvunja baraza la mawaziri, alipoambiwa CHADEMA wamelishikia bango, kama hatafanya hivyo ngoma itakuwa ngumu.
Kikwete alilazimishwa kuvunja baraza la mawaziri
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

Mafilili = ni sawa na fisi kikwetu , sasa tutegemee nini toka kwa fisi
 
hii kali kweli yaani kuvunjwa kwa baraza la mawaziri ndo ishara ya kupaa kwa ccm kisiasa!!!
 
Upinzani wekeni kando, JK amekidhi matakwa ya watanzania, leo roho kwatu!!!

ivi wewe unazo kweli? Hii nchi ilianza kuharibiwa na yulee M...mpeku sasa hutaki mabadiliko iko siku utakunywa maj ndo chai uende kuzurura maana hauwazi kesho we akili yako ni masaa mwisho. Mijitu mingine sijui mnawazaga kula na kulala tu!.
 
kweli wee kilaza nambari moja Tanzania. Unaangalia matokeo badala ya kuangalia chanzo!!!! Hoja ya kumpigia kura wm ni hoja iliyoanza na wabunge wa upinzani na sio sisi-emu, kwa hilo sisi-emu imekiri udhaifu wa serikali yake mpk inaelekezwa cha kufanya?
In whatever you plan to do, think twice and even more before you do it.

Naogopa sana kama mtu anaweza kupongeza ujinga wa namna hii... Inaonesha ni jinsi gani watanzania tulivyo watu wakuendeshwa na matukio, bila matukio akili zetu zinalala. Mbaya sana hii!!!!!!!!!! Huwezi kupongeza ujinga unaofanywa na mtu mjinga aliyesababisha mwenyewe ujinga wa mwanzo. Tuwe wazalendo jamani, hii nchi siyo yetu peke yetu bali na vizazi vyetu vijavyo............makaburi yetu yatafukuliwa na wajukuu zetu na kutamani kuchoma mifupa yetu.
 
Akili zako hazina tofauti na Kingwangallah sijui huwa mnavuta bangi kabla ya kuandika huu uozo kama ulioandika hapa
 
J.k kapima upepo akajua asipochukua hatua ya haraka lazma ile kwake magogoni angeiskilizia kwenye radio
 
Wao walitaka Mawaziri 8 na Waziri Mkuu Kikwete kapiga Baraza lote na atawafikia Makatibu wakuu na Wakurugenzi ina maana alikuwa anasubiri upepo utulie
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

nadhani ww haujajua jk kwamba
 
Khaaaaaaaa! HIVI KUFANYA MABADILIKO NDIO ISHU AU MAENDELEO NA KUWAWAJIBISHA WAZEMBE NA MAFISADI NA KUPUNGUZA GHARAMA ZA MAISHA NDIO ISHU??? ME BADO SIJAONA KITU HATA KIDOGO!! KWANI NI SAWA NA KUTOA HELA MFUKO WA KUSHOTO NA KUWEKA WA KULIA NA KUSEMA HAPA SITAIBIWA NA WAKATI YOTE IMEFANANA!! maji lita 10000 yakichangwanya na kipisi ki1 cha tope yote ni machafu!
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!
Usipende sana kupost thread za kiushabiki ukiwa kwenye siku zako za hedhi, unaandika utumbo tu unaokushushia heshima yako.
 
Historia ipo wazi ni JK tu anayeongoza kwa kusikiliza vilio vya wananchi na kuchukua hatua:-

1. Aliunda tume ya kuchunguza tukio la akina Zombe
2. Ametulea watz zawadi ya miaka 50 ya uhuru; tume ya katiba mpya
3. Aliwaalika IKULU CDM na kusikiliza mawazo yao na kupata nao dinner
4. Amewahusisha makundi mbalimbali ya jamii katika tume ya katiba mpya; Prof. Baregu, Dr. Mvungi
5. Amemaliza kisayansi mgomo wa madaktari
6. Amewezesha watz waweze kujua kinachojiri katika ripoti ya CAG kupitia Bunge
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

dhamira ya zitto kabwe mbunge chadema ilikuwa ni kuwawajibisha mawaziri lakini kama bunge lilikuwa halina uwezo lakini walikuwa na uwezo wa kumuwajibisha waziri mkuu. Unaposema ccm wamepeta sijakuelewa kabisa kwa mtu anayefikiri vizuri CDM pamoja na baadhi ya wabunge wa ccm wazalendo ndiyo wamepeta.
 
Wewe akili yako haina AKILI kweli, ndio maana waingereza wanasema "common sense is not always that common" shame up on you!!
 
Nimegundua wafuasi wa CDM mwapenda kusifiwa TU, mnakuwa vipofu serikali ya CCM inapofanya mambo mazuri kwa manufaa ya watanzania walio wengi
 
Back
Top Bottom