CCM mwendo mdundo! CHADEMA yaanguka

CCM mwendo mdundo! CHADEMA yaanguka

kweli wewe ni ***** kati ya mabwege! thread kama hii unaweza kweli kuileta jamvini wakati kama huu ambapo wapumbavu wenzako magamba mnapumulia mashine! Jinga ni jinga tu hata ukilipeleka darasani hakuna mabadiliko! sijui ww ni mzee au kijana, kama ni mzee sio mbaya huyo kashapishana na wakati lakini kama ni kijana pole sana! akili yako imejaa matope!
 
images
 
umekosa pesa ya bia week end jk yupo na mawaziri wake arusha kwenye mkutano wa east africa wanaendelea kubomoa kodi zetu kule ngurudoto lodge chumba kwa siku dola 1,000
 
Washangaa JK kula kodi ya wananchi; DR. Slaa na Mchumba wake kulala chumba cha 250,000/= wakiwa Arusha kwa kodi ya wananchi ruhusa???
 
usihofu chadema ina vichwa vingi tu,itaanzisha hoja nyingine kwa sababu hoja ya katiba,hoja ya baraza la mawaziri zimeshapita.
Nashauri cdm ianze na hoja ya elimu ya chuo na sekondari bure halafu tufuatie hoja ya kushusha bei ya cement

Yap! Kila ngoma tutakayoianzisha Magamba lazima waicheze aka wakate viuno! Ha! ha! ha! haa! haaa! Kazi kweli kweli. Na bado 2015 iko mbali. Magamba mtajiju!
 
Washangaa JK kula kodi ya wananchi; DR. Slaa na Mchumba wake kulala chumba cha 250,000/= wakiwa Arusha kwa kodi ya wananchi ruhusa???

boya kweli kweli, inamaana unashangilia Jk kula kodi zetu. Na Slaa hizo kodi zenu amezitoa wapi. Yaani wewe ni bure kabisa afadhali hata dawa ya penzi inatulinda na maradhi. Hufai kuwepo duniani.
 
Dr Slaa anakula kodi zetu kupitia ruzuku inayopata CDM kutoka hazina; analipwa posho ya kukosa urais mil. 12, kila mwezi, mchumba wake kamtengezea deal ya kuratibu mifumo ya habari CDM HQ, kapewa kazi kifisadi pasipo kushindanishwa
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

hayo makundi yalikuwa wapi? magogoni au?

halafu wewe ni kilaza wa kwanza, hujui chadema ni watz?

kweli nakubali wajinga ni mtaji wa magamba....... sioni mtu wa kuongoza mwenzie hapo.
 
Dr Slaa anakula kodi zetu kupitia ruzuku inayopata CDM kutoka hazina; analipwa posho ya kukosa urais mil. 12, kila mwezi, mchumba wake kamtengezea deal ya kuratibu mifumo ya habari CDM HQ, kapewa kazi kifisadi pasipo kushindanishwa

wewe ni mmoja kati ya watu wanaoishi ili wale ndo maana unafikiri kwa kutumia tumbo badala ya kichwa. May hell be your home
 
Mnaoweza angalie Joinin date mtuwekee hapa plz...
 
Kiongozi mpya wa Malawi Joyce Banda amemtimua Waziri wake wa mashauri ya kigeni, Peter Mutharika, nduguye Rais aliyefariki akiwa afisini.

Bw.Peter Mutharika alitazamiwa kama mrithi wa marehemu kakake katika uchaguzi wa mwaka 2014 wakati ikitazamiwa kua Rais aliyetoweka angestaafu.

Mabadiliko haya ya baraza la mawaziri linatokea siku chache baada ya mazishi ya aliyekua Rais.

Bibi Banda alikua ni makamu wa Rais kuanzia mwaka 2009 lakini baadaye akakosana na Rais na kujitokeza kua mkosoaji wake mkali.

Bi Joyce Banda alilazimika kujiuzulu kutoka chama cha Democratic Progressive mwaka 2010 alipokaidi amri ya kumkubali Peter Mutharika awe mrithi wa rais.

Kufuatia kifo cha Bw Mutharika tareh Aprili, kulikuepo na tetesi kua washirika wa waziri wa mashauri ya kigeni wangejaribu kuzuia mkondo wa katiba wa kumkabidhi madaraka Bi Banda,ambaye tangu hapo alikua ameisha unda chama chake.
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

MAFILILI,

Pole sana kwa UFINYU WA MAWAZO ULIONAO.Hakika wewe ni mmoja wapo wa mazezeta na mazoba ya CCM ambayo yamejazana ndani ya Chama Cha Mafisadi-CCM.

Pengine tu nikupe mwanga kuwa HOJA HII YA KUTAKA MAWAZIRI WA JKIWETE NA CCM YAKE IMEANZISHWA NA MHE.ZITTO KABWE WA CHADEMA KWA KUTAKA KUPIGA KURA YA KUTOKUWA NA IMANI NA WAZIRI MKUU! Kila Mtanzania makini anajua hilo. Ripoti za CAG zilishawasilisha mara kibao Bungeni lakini hakuna hatua zozote zilizokuwa zikichukuliwa na Serikali ya CCM na Bunge lake chini ya Kigagula Anna Makinda.

This time CHADEMA wakasema NO with big capital letters. Spika alijaribu kuzuga, Pinda akajaribu kupindisha na Kiwete akajaribu kuleta za kuleta ati HUO ULIKUWA NI UPEPO TU WA KISIASA huku akiwa ameshasahau yaliyompata swahiba wake Mzee wa Richmond mwaka 2008! Hta hivo BADO MOTO WA HOJA YA KUTOKUWA NA IMANI NA PM PINDA IKAZIDI KUWAKA MOTO! Hatimaye Kiwete na Chama chake WAMESALIMU AMRI! Huu ni USHINDI KWA CHADEMA NA UPINZANI KWA UJUMLA. Unaposema CCM wapongezwe unaongea unafiki!!!
 
images
Kimbilio la wanyonge ni CCM
images
JK ni kimbilio la viongozi pasipo kujali itikadi. Hapa viongozi wa chama fulani wakiwa na fursa baada ya kufanya mazungumzo na JK
 
Kikwete asingeweza kamwe kufanya mabadiliko yeyote kama siyo kuwakiwa na CDM, hata hao wabunge wa ccm unaowaona kujidai kupiga kelele inawalazimu kufanya hivyo hata kwa kuigiza la sivyo watayapoteza majimbo yao kwa CDM.

Acha maneno yako wewe,harakati za kulishutumu baraza la mawaziri bungeni zilianzishwa na wabunge wa CCM na kaa ukijua CCM ina wabunge wengi wakiamua jambo lolote inawezekana kama wangeamua kulinda serikali ya chama chao wangeweza kuilinda kwa nguvu zote na wangefanikiwa ila kwa sababu wanaisimamia serikali yao iwajibike vizuri ndiyo maana wakasema ukweli kuhusu mawaziri na wizara zao kwa hiyo usiseme harakati zilianzishwa na CDM ni uongo mkubwa kama unakumbuka CDM ilingia kichwa kichwa kuhusu hoja ya posho iliyoanzishwa na Mh Zito na Mh January Makamba wakaishupalia kana kwamba ni hoja ya chama ikawashinda kwa kuwa hawakuwa naukweli wa kupambana na suala la posho miyoyoni mwao kwa hiyo ata kwa hili sishangahi sana na watu wa kukurupuka kudakia hoja ili kupata umaarufu wa kisiasa,mbona hamshupalihi hoja ya kupunguza umri wa kugombea uraisi iliyoanzishwa na Mh January Makamba na Mh Zito Kabwe?tuambieni kwa nini hii hoja hamuiungi mkono na kuifanyia maandamano kuishinikiza mnaogopa nini?
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

ukiona unashindwa kuanzisha thread kaa kimya wataalamu waanzishe then usome na kuchangia......hivi huoni aibu kuandika uongo kiasi hiki? aliyekwambia kikwete ni kipenzi cha watanzania ni nani? uyo ni kipenzi chako...mpo wengi sana mafest led katika inji hii eti? kwa taarifa zako ccmagamba ni rimoti na chadema ndo mtumiaji na mmiliki....leo tumebofya kitufe cha kukosa imani na makunyanzi pinda kumbe rimoti ni mbovu imeenda mpaka kuchakachua baraza la mawaziri wakati cc ilikuwa ni next plani yetu.
 
Dr Slaa anakula kodi zetu kupitia ruzuku inayopata CDM kutoka hazina; analipwa posho ya kukosa urais mil. 12, kila mwezi, mchumba wake kamtengezea deal ya kuratibu mifumo ya habari CDM HQ, kapewa kazi kifisadi pasipo kushindanishwa
waonaje hapo slaa aitwe dr. na kikwete aitwe dr.? anyway mzito sana wewe kusoma alama za nyakati... ukiona umeanzisha uzi kama huu then faizafox,rejao,mwita 25, malaria sugu nk wamekupotezea...jua wewe ni mwendawazimu
 
Watu wengne wakijisikia ku add topic,em tumchane ili asirudie tabia chafu kubwa JINGA hili!
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

acha mpuuzi wewe.watanzania wamekenua meno kwa wizi na ujambaz wa ccm?wizi wamefanya ccm,maisha magumu wamesababisha ccm?hivi unajua hasara za kuvunjwa kwa baraza la mawaziri au unakenua 2?yan akili ya panz kabisa wewe!
 
Back
Top Bottom