CCM mwendo mdundo! CHADEMA yaanguka

CCM mwendo mdundo! CHADEMA yaanguka

Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

ww umerogwa???AU UMETUMWA!!hivi ni lini hao magamba wenzio unaowasifia wakafanya maamuzi pasipo kwanza kelele kutoka chama cha upinzani?isingekuwa Zito kuanzisha hili balaa la hao wezi hayo unayoyasema yangetokea wapi!!kama huna topic ya maana nenda kakojoe ulale.
 
Yale maandamano ndio yamekufa kifo cha kawaida baada ya kauli ya Rais Kikwete..

Sijui Slaa itakuaje sasa na zoezi lake la kukusanya saini milioni 8 Tanzania nzima.

hii ndo impact ya hayo maandamano babako ameona mbali akachukua hatua angetulia aone.
 
watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao mheshimiwa rais kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha ccm na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani chadema huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya jk na kuipongeza cc ya ccm kuwa ina wapenda tanzania na manufaa kwa watanzania.

Poleni chadema, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

kaka umechemka rais hajavunja baraza la mawaziri usikurupuke....rais anafanya mabadiliko tu tena madodgo tuu
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

Kwahiyo unatuambia Mwenyekiti wa CCM kavunja baraza la mawaziri na siyo Rais wa nchi?
Inaonekana unachanganya vitu viwili, Serikali na Chama cha Siasa.
Ni jukumu la rais au kiongozi wa serikali kutekeleza majukumu yake kwa dhamana aliyopewa na wananchi.
Asingefanya hivyo wananchi wangemwajibisha ipasavyo.

Kuvunja baraza la mawaziri ni kuonyesha udhaifu mkubwa wa serikali ya ccm, hii haiisaidii ccm, bali inaiangamiza kisiasa.
Huu ni mtaji wa wapinzani 2015.
Watanzania wameona, wamesikia, hawadanganyiki tena.

Mkitaka CCM ipande chati fanyeni jambo moja, kwamba kwa kipato hiki cha sasa cha mwananchi wa kawaida, Jk ashushe bei ya mafuta ya petroli mpaka sh. 700 kwa lita, Mafuta taa sh. 500 kwa lita, Simenti sh. 9,000, Bati 9,000, Kilo ya Sukari sh. 600 nk.
Hapo hata mimi nitaipigia kura CCM.
 
Upinzani wekeni kando, JK amekidhi matakwa ya watanzania, leo roho kwatu!!!

Yaani wewe sijui tukuweke kundi lipi???!!! Matakwa ya watanzania si kuibiwa halafu wakamatiwe mwizi wao na apelekwe mahakani!!! Matakwa ya watanzaini ni "Maisha bora" aliyoyaahidi JK na badala yake anawapa "Bora maisha"!!!
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

Hii imeonyesha kuwa Kikwete ni kiongozi dhaifu sana. Hawezi akajisimamia mwenyewe kama rais kuvunja baraza la mawaziri mpaka aende kuomba ruhusa Kamati Kuu ya CCM. Hajiamini, anajishuku na hawezi kufanya uamuzi wowote mgumu kama Rais. Kwa kweli kama ataendelea kuendesha serikali kwa staili hii kwa kipindi chake kilichobakia basi TWAFA!
 
usihofu chadema ina vichwa vingi tu,itaanzisha hoja nyingine kwa sababu hoja ya katiba,hoja ya baraza la mawaziri zimeshapita.
Nashauri cdm ianze na hoja ya elimu ya chuo na sekondari bure halafu tufuatie hoja ya kushusha bei ya cement

mungu akubariki ndugu yangu
 
kipenzi chako wewe na wale wote ambao akili zao zimerogwa na ccm

Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!
 
kweli wee kilaza nambari moja Tanzania. Unaangalia matokeo badala ya kuangalia chanzo!!!! Hoja ya kumpigia kura wm ni hoja iliyoanza na wabunge wa upinzani na sio sisi-emu, kwa hilo sisi-emu imekiri udhaifu wa serikali yake mpk inaelekezwa cha kufanya?
In whatever you plan to do, think twice and even more before you do it.

Hapo umenena. peoples poweeeeeeeeeeer
 
Kabla hujaanzisha thread hii ni vizuri ungeiuliza historia maana duniani tuna walimu wawili wasioongopa: wakati na historia
Naomba sasa nikurejeshe kwenye historia wewe na wenzako mnaotaka kushangilia ili uwe makini na CCM:
1. Baada ya kashkash ya Richmond na baraza la mawaziri kusukwa upya, hukushangilia ukidhani CCM imemaliza ufisadi TZ na mkaandamana kumpongeza JK
2. Baada ya NEC ya CCM kuja na hoja ya kujivua magamba, hatukuwaona tena barabarani mkimpopngeza JK?
Siku zote kumekuwa na kitu waingereza wanaita "false dawn" linapokuja suala la kutarajia mabadiliko toka kwa JK na CCM
Kwa kifupi kutegemea mabadiliko yoyote ya maana toka kwa JK ni sawasawa na kuinjika sufuria tupu jikoni na kutarajia supu
JK hana wema wala nia ya mabadiliko ndani yake...usisumbue shauku na akili na moyo wako kusubiri mabadiliko yoyote toka kwake
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

You can't be serious right? Mara ngapi Baraza la Mawaziri linavunjwa na kuundwa upya with same results?? Tanzanians (Majority) are no dummies anymore.Its just the same shit, different toilet.
 
Upinzani wekeni kando, JK amekidhi matakwa ya watanzania, leo roho kwatu!!!

usitumie ushabiki, Hapa inadhihirisha jinsi serkali ya ccm inavyo jiendesha kwa kufuata hisia na matakwa ya chadema! Jk akiwa kama kiongozi anaejiamini ilipasa kusimamia analoliamini!
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

CDM wanasimamia kuwafilisi hao mawaziri, Kwanza JK alishakataa kuvunja baraza la mawaziri... Labda tuwashukuru wabunge wa CCM waliotia sahihi kumng'oa JK na Pinda wake.
 
Kwani hilo baraza aliliunda ili alivunje? Huko ni kushindwa kuongoza ndugu ni sio ushindi.
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

Wamekulipa bei gani kwa kuandika upuuzi huu?
Huo utafiti wa muda mfupi namna hii umeufanya kwa kuwashirikisha watu wangapi na wa aina gani?
Ulimbukeni mwingine ....!
 
Mafiriro jaribu kukua kidogo uachane na ndoto za Alinacha hata kama unalipwa kwa uchangudoa huu wa kiakili. CCM inakufa wewe unasema inadunda. Kimsingi CCM imedundwa na mwendo wake ni mwendo mdondo kama tutautazama ukweli kama ulivyo. Hata hivyo hatushangai kuwapo na watu wenye utapiamlo wa mawazo waliolala na kufia kwenye upenzi wa kibubusa na ukale bila sababu. Mafiriro kumekucha amka vinginevyo utaliwa wajiona. Mbona huko nyuma hukuwa hivyo ndugu yangu?
 
Alikuwa wapi siku zote.. Huo sio uongozi...CCM itakufa kama KANU ilivyopotea KENYA sababu tu ya kukumbatia mafisadi
 
Back
Top Bottom