CCM mwendo mdundo! CHADEMA yaanguka

MAFILILI, pole sana ndugu yangu. Hebu tukumbushane tu kidogo;

.

MAFILILI kwa kujisahau...! Kwa unafiki unasikitisha, unaudhi na unatia huruma! Eti CCM mwendo mdundo! Chadema yaanguka...kweli CCM ni Chama Cha Mazezeta!

Mkuu mag3 nakukubali sana kwa kupangua hoja za hawa majambzi wezi wa nchi hii kwa data umekata mzizi wa fitna wa huyu mafilifili lol!
 
MAFILILI, pole sana ndugu yangu. Hebu tukumbushane tu kidogo;

.

MAFILILI kwa kujisahau...! Kwa unafiki unasikitisha, unaudhi na unatia huruma! Eti CCM mwendo mdundo! Chadema yaanguka...kweli CCM ni Chama Cha Mazezeta!

Mtazamo wa wananchi umebadilika ghafla baada ya tamko la CC; watu wamerudisha imani kwa kasi ya ajabu kwa CCM huku CDM ikikosa mvuto kwa kazi kubwa
 
Mtazamo wa wananchi umebadilika ghafla baada ya tamko la CC; watu wamerudisha imani kwa kasi ya ajabu kwa CCM huku CDM ikikosa mvuto kwa kazi kubwa
Kwa mjinga kama wewe hakuna dawa! sisi tuliko huku mtaani tunaona kuwa CHADEMA wamefanikiwa kuiwajibisha serikali ya kishikaji na kuanza kufikiri kuchukua hatua. Wewe endelea na ujinga wa wanausalama wa taifa kuitetea CCM na erikali yake badala ya kuisaidia
 
mafilili ungejua maana yake usingetumia hilo jina! wakenue meno kwa lipi?wao wanatuiibia pesa zetu,wanatufanya tuishi maisha magumu,wao wanaishi kama wako peponi na familia zao ,halafu ww ushapewa posho unaandika uchafu wako huu,yaani watu kama nyie mngejua tulivyo na hasira mngekaa kimya.
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

Sio lazima mtu awe na degree ili kutambua kuwa ulichoandika ni moshi/vumbi!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
sijawahi kuona rais duniani anaongoza nchi kwa akili za kuomba ndani ya cc ya chama chake haswa kwa jambo ambalo halihitaji mjadala kama la wizi wa mali ya umma.
huyu inabidi aingie kwenye kitabu cha jinesi.
 
Mtazamo wa wananchi umebadilika ghafla baada ya tamko la CC; watu wamerudisha imani kwa kasi ya ajabu kwa CCM huku CDM ikikosa mvuto kwa kazi kubwa
Yaani wewe unafikiria kwa kutumia ****** Serikali inawajibu wa kuwajibisha na usifikiri wanachadema tungefurahia serikali kuto kuwajibika huo sio mtaji wetu. CDM itasonga mbele daima
 
Kwa ujinga wako unadhani hivyo! Kwani ni nani waliomlazimisha kuchukua hatua hiyokama siyo Peoples Power? Si alidengua dengua eti "Yatapita tu" alipoona moto unafukuta na kwamba hata yeye hakuwa salama ndiyo sasa anachukua hatua za zimamoto? Acheni kutufanya watanzania mateka wa undondocha wenu. Na kama unabisha subiri afanye mabadiliko ya kisanii sanii yasiyokubaliwa na Peoples Power uone jinsi wananchi watakavyowaendesha. Mna akili kweli nyinyi wa magamba au zimeishia wizi na ubakaji wa ngawira za masikini wa Tanzania? Na bado mtabadili hayo mabaraza na mwisho wake na huyo kibaka wenu wa pale magogoni naye atang'oka maana 2015 sikarne ijayo.
PEOPLES POWER!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Inasikitisha kwa watu wasiotambua hili: kwa hali ilivyo sasa katika Nchi ya Tanzania CHADEMA ndio wanaongoza nchi na ndio wanaoiamulia Serekali nini cha kufanya, kwa sasa wao ndio wamemuajiri Rais na wanaweza kumfukuza kazi saa yoyote.
 
Aaa wapi!
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

Sijaelewa kidogo, unamaanisha Rais Baba Mwanaasha amelivunja baraza la mawaziri wa CHADEMA au mawaziri ni wa CCM?

Kweli CCM inapaa baada ya kuwa nyepesi kufuatia kuondokewa na rundo la madiwani wake na wanachama plus Millya. Hongera Dr.Slaa kwa kuipaisha CCM kwa mikutano yako.

Mafalili una akili sana wewe
 
Back
Top Bottom