CCM mwendo mdundo! CHADEMA yaanguka

CCM mwendo mdundo! CHADEMA yaanguka

Na tunaandaa maanadamano nchi nzima kupongeza maamuzi magumu ya rais kikwete na cc

Huo ni moyo wa Uzalendo; tunaanzia DSM siku ya jumatano, Mei 2, 2012, yataanzia ofisi za wakuu wa wilaya Ilala, Kinondoni na Temeke yataishia Jangwani ambapo yatapokelewa na JK na viongozi wengine wa vyama vya Kisiasa (Dr. Mrema, Dr. Makaidi, Dovutwa, Chipaka, Mbatia, Prof. Lipumba, Mbowe, etc.)
 
Ni aibu serikal yako kupigiwa kura.JK ameliona hilo. na sbb zake za upepo kupita ameona kumbe ni kimbunga .CC ni mlango wa kutekeleza matakwa ya CDM kuvunja baraza.Plan B ni hoja ya kushinikiza washitakiwe hakuna kulindana hapa. msidhan tutalemaa kwa pipi ya kuvunja baraza lazima kieleweke UWAJIBIKAJI kwanza
 
Upinzani wekeni kando, JK amekidhi matakwa ya watanzania, leo roho kwatu!!!

acha umbea mtoto wa kiume fikiri kabla ya kuandika, aliyekwambia anataka kuridhishwa na jk ni nani? jk amefanya moja ya wajibu aliotakiwa kufanya, aliikuta nchi safi hivyo alitakiwa aiache ikiwa safi na sio kuchafua. nguo yako ikiwa mpya afu watu wakaichana je utafurahia nini pindi itakapowekwa kiraka? tuliza shanga chini mtoto wa kiume tukupe somo.
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

Mkuu naomba unijibu maswali yafuatayo
1. Hilo baraza la mawaziri ni la chama gani? Kwa maneno mengine ni wanachama wa chama gani wanaotakiwa kuachia nafasi za uwaziri?

2. Ni viongozi kutoka Chama gani wanaotuhumiwa kutumia vibaya madaraka yao na kufisadi mali za umma?

3. Ni Rais wa kutoka chama gani anayeshindwa kuwawajibisha watendaji na mawaziri wabovu mpaka serikali iliyo chini yake itishiwe kupigiwa kura ya kutokuwa na imani ndio anadai anavunja baraza la mawaziri?

4. Je nchi hii yenye uchumi na utawala mbovu ipo ya chama gani?

5. Je kati ya wanaotuhumiwa kwa ufisadi kuna ambao serikali ya CCM imetangaza kuwa watafikishwa mahakamani kwa makosa yakiwepo na ubadhilifu, matumizi mabaya ya madaraka na 'money laundering'?

6. Je hao unaosema wanashangilia ni watanzania kweli? Unaweza kutupa japo ushahidi kidogo japo wa picha kuthibitisha kuwa wanashangilia tamko la CCM kushinda kwenye hili jambo?
 
Hongera zake aliyesema "kuitetea ccm inabidi uwe na akili za maiti....." How inclusive statement!
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

Bravo JK , CCM ndio chama cha watanzania na JK ndio Rais wa watanzania waliomo humu JF na wasio kuwemo. Hawana Rais mwingine zaidi yake
 
Watanzania wa lro wanajua kazi upinzani nchini, hakuna adiyejua kama hatua hii ni shinikizo la chadema na hakuna asiyejua hatua hii ni dalili za seriakli iliyoshindwa kukidhi kiu ya watanzania kuwaletea maendeleo endelevu!
 
acha umbea mtoto wa kiume fikiri kabla ya kuandika, aliyekwambia anataka kuridhishwa na jk ni nani? jk amefanya moja ya wajibu aliotakiwa kufanya, aliikuta nchi safi hivyo alitakiwa aiache ikiwa safi na sio kuchafua. nguo yako ikiwa mpya afu watu wakaichana je utafurahia nini pindi itakapowekwa kiraka? tuliza shanga chini mtoto wa kiume tukupe somo.

Kubali tu JK amekukuna panapo takiwa kukunwa !
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

Naomba nikufafanulie jambo.
Bunge ndio lililoanzisha hoja ya kuwawajibisha mawaziri na watendaji waliohusika na ubadhirifu ulioonyeshwa kwe ripot ya CAG an ile ya kamati husika. Wapinzani ndani ya bunge wakatoa hoja kuwa kwa kuwa kila mwaka hayo yanajirudia na wahusika hawawajibishwi, woa wanaleta hoja ya kupiga kura ya kutokuwa na imani na PM. Wakiongozwa na Zitto Kabwe (Kamanda) wakaanza mchakato kama kanuni zinavyotaka, na wakapata 20% ya wabunge waliounga mkono hoja. Sasa basi
1. Kama kikwete asingeliridhia kubadili baraza kuwaondoa, sheria ingefuata mkondo wake Bunge lingeitishwa na kura kupigwa kutokuwa na imani na PM, ikishinda anaondolewa
2. CCM ni wengi bungeni, ila kumbuka wapinzani karibia wote waliunga mkono hoja hiyo wakiwemo wa CCM kadhaa. na ndani ya CCM kuna makundi ambayo hayajionyeshi waziwazi
- Kuna wanaopinga ufisadi ila kwa kuogopa
-Kuna wanaoumwa roho wenzao wanatafuna nao hawana nafasi na wanazitaka, baraza likivunjwa waweza kuambulia walao unaibu
-Kuna ambao wangetaka mtu mwingine awe PM kwa maslahi yao
-kuna ambao wangetaka kumwonyesha JK kuwa alikosea kuchagua PM
Wote hawa ni vigumu kuwabana endapo kura itakuwa ya siri.

3. kama JK akipuuza kura ikapigwa na PM akapigwa chini angekuwa ni PM wa pili katika awamu yake kupigwa chini kwa tuhuma hizohizo za ufisadi, hii ingempunguzia heshima sana, na ingeonyesha kuwa ni Raisi dhaifu kuliko wote.

Kwa sababu hizo alikuwa hana ujanja zaidi ya kutii maelekezo ya kamanda mdodo kabisa Zitto Kabwe, na NEC-CCM kubariki hilo bila ubishi
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

Nilikimbilia kusoma nikiwa najua ni jambo la maana kumbe hili la Jk na walafi wenzake, endelea kujipa moyo.
 
Watanzania wa lro wanajua kazi upinzani nchini, hakuna adiyejua kama hatua hii ni shinikizo la chadema na hakuna asiyejua hatua hii ni dalili za seriakli iliyoshindwa kukidhi kiu ya watanzania kuwaletea maendeleo endelevu!

Nani alikuambia serikali itakuletea maendeleo? maendeleo yanaletwa na ww mwenyewe kwa kufanya kazi kwa bidii na maarifa. Isije kuwa nyie ndio wafuasi ya sera ya bure bure ya cdm ambayo haitekelezeki
 
Kikwete asingeweza kamwe kufanya mabadiliko yeyote kama siyo kuwakiwa na CDM, hata hao wabunge wa ccm unaowaona kujidai kupiga kelele inawalazimu kufanya hivyo hata kwa kuigiza la sivyo watayapoteza majimbo yao kwa CDM.

Maaaviii majimbo yote yanarudi ccm 2015 mtatoka kapa!!
 
Naomba nikufafanulie jambo.
Bunge ndio lililoanzisha hoja ya kuwawajibisha mawaziri na watendaji waliohusika na ubadhirifu ulioonyeshwa kwe ripot ya CAG an ile ya kamati husika. Wapinzani ndani ya bunge wakatoa hoja kuwa kwa kuwa kila mwaka hayo yanajirudia na wahusika hawawajibishwi, woa wanaleta hoja ya kupiga kura ya kutokuwa na imani na PM. Wakiongozwa na Zitto Kabwe (Kamanda) wakaanza mchakato kama kanuni zinavyotaka, na wakapata 20% ya wabunge waliounga mkono hoja. Sasa basi
1. Kama kikwete asingeliridhia kubadili baraza kuwaondoa, sheria ingefuata mkondo wake Bunge lingeitishwa na kura kupigwa kutokuwa na imani na PM, ikishinda anaondolewa
2. CCM ni wengi bungeni, ila kumbuka wapinzani karibia wote waliunga mkono hoja hiyo wakiwemo wa CCM kadhaa. na ndani ya CCM kuna makundi ambayo hayajionyeshi waziwazi
- Kuna wanaopinga ufisadi ila kwa kuogopa
-Kuna wanaoumwa roho wenzao wanatafuna nao hawana nafasi na wanazitaka, baraza likivunjwa waweza kuambulia walao unaibu
-Kuna ambao wangetaka mtu mwingine awe PM kwa maslahi yao
-kuna ambao wangetaka kumwonyesha JK kuwa alikosea kuchagua PM
Wote hawa ni vigumu kuwabana endapo kura itakuwa ya siri.

3. kama JK angeracha kura ikapigwa na PM akapigwa chini angekuwa ni PM wa pili katika awamu yake kupigwa chini kwa tuhuma hizohizo za ufisadi, hii ingempunguzia heshima sana, na ingeonyesha kuwa ni Raisi dhaifu kuliko wote.

Kwa sababu hizo alikuwa hana ujanja zaidi ya kutii maelekezo ya kamanda mdodo kabisa Zitto Kabwe, na NEC-CCM kubariki hilo bila ubishi

Wewe ni mgeni humu JF? soma thread ya Kigangwala aliirusha jana humu jamvini ndio utaona hoja ya Zitto ilikuwa ya kukurupuka vibaya sana na haina mashiko na isinge fanikiwa
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

Umesahau kwamba bila shinikizo la CDM asingefanya hivyo.
 
Unajaribu kupaka Rangi upepo! Daima Mafuta na Maji hujitenga na Wananchi wa sasa siyo wa 47!Wait and See!
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

AMA KWELI MAFILILI u-mafilili kweli kweli hapo unaona umenena kitu, pole sana. I can say sorry for yourself. Hivi ni Mtanzania gani asjiyejua nguvu iliyowaondoa Mawaziri hivi unadhani ni kazi ya CC ya CCM? Mhh, hapana hiyo ni nguvu ya umma kupitia kwa makamanda wa CDM. Jambo moja ulijue hicho ni Kilio cha CCM mwaka 2015, nafasi pekee waliyoipoteza ni pale walipokataa kusaini katika hoja ya ZZK angalau pale wangejiosha wenyewe mbele ya Umma wa watanzania jambo lililowashinda. Mwana-CCM mwenzangu tuhesabu maumivu tu, tujianadae kuwa wapinzani 2015 basi.
 
Na kweli watu wa magamba mlipwaya sana baada ya kipigo cha Arumeru Mashariki, hivyo siwezi kushangaa kuanza kuibuka na nyuzi za namna hii ukizingatia CDM wanavyowabana na mlango baada ya "daflao"yenu ya Lema Arusha mjini.
 
Mawazo ya kama Ya Katibu Mwenezi wako........Tupe facts hicho kipima joto kilifanyika lini na kikaonyesha hayo unayoyasema.Usifanya mawazo yako kuwa mawazo ya umma!
 
Mi nashangaa sana kwa mh. Kikwete juvunja baraza la mawaziri inahitaji kuitisha kamati kuu ya chama kweli? What sort of leaders are we having?
Sasa kama cc ingekataa ina maana rais asingefanya mabadiliko.
Ivi nchi hii inaongozwa na nani haswa, maana pale ambapo pinda anastahili kutoa maamuzi anamrushia jk, na pale jk anapotakiwa kutoa maamuzi huwa anasita na sasa anaiuliza cc ya ccm impe kibali.
Je nchi inaongozwa na cc? Na katiba inasemaje ktk hili?
 
Huyo ametumwa na magamba kuja kujikosha humu. Hata hii tafsiri SIMPLE kabisa kama hii haitambui kuwa MAGAMBA YAMETTI AMRI YA PEOPLE'S POWER!! Sugu aliweka bayana kabisa kuwa huu si upepo, ni dhoruba, na kama nyumba hazitaanguka basi mapaa yatang'oka. Sasa nyumba zinaanguka hata kabla ya NGUVU YA UMA haijafanya kazi yake. Magamba yaliposikia tu kuwa CDM sasa inaenda kwa wenye nchi kuwataka wafanye kazi yao "PEOPLE'S POWER", jamaa ya pale Magogoni kaingia mchecheto, oooh et anatafuta baraka za CC. Alikuwa wapi, anakurupukia shuka wakati kumekucha. Nguvu ya Uma iko juu...... na watayavunja sana mpaka kitaeleweka......2015.
 
Back
Top Bottom