CCM mwendo mdundo! CHADEMA yaanguka

CCM mwendo mdundo! CHADEMA yaanguka

HONGERENI CHADEMA kwa kufanya kazi yenu ya upinzani vizuri kwa kutumia dhana ya nguvu ya umma kama ilivyo katika KATIBA IBARA YA 8 (1). KEEP IT up, mimi niko pamoja nanyi.

Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!
 
Kweli ID yako na wewe mnafanana kabisa!!! Credit to Chadema na kila mtu anajua hilo hata mwendawazimu. Bila joto la CDM si mngeendelea kuuza nchi tu? Kwani zile hela alizokamatwa nazo hotelini Arusha si alitaja wahusika? Kwanda huko, magamba ni wezi tu. Tunateseka maisha magumu halafu nyie mnauza nchi ambayo marehemu Baba wa Taifa alipigana kiume na kuhifadhi kila rasilimali kwa watanzania lakini mmegawana wachache!! Give us a breeaaaaaak man!
 
Hongera rais kwa hatua hiyo muhimu uliyochukua lakini umechelewa mno. Ulikuwa wapi usione uozo wa ndugu zako serikalini hadi upigiwe tarumbeta. Sasa nafikiri ukitaka upande tena chati basi fanya yafuatayo

1. Unda baraza makini, ikiwezeka na ikimpendeza Mungu na watu changanya hata Wapinzani wenye upeo na fikra katika baraza lako jipya. °Serikali mseto ingekuokoa na janga la 2015°

2. Wote waliotajwa mara moja wapelekwe mahakamani wakipatikana na hatia wafilisiwe yote waliyowaibia Watanzania maskini

3. Wapongeze akina Zitto na kundi lake kwa kukufungua macho.

4. Achana na Wazee wa Dar kwa ushauri tafuta namna nyingine ya kuwasiliana na Wazee kwani wapo Tanzania nzima. Mara nyingi wamekuangusha kwa ushauri wao. Tafuta wazee wachache bila kujali itikadi wawakilishe baraza la wazee. Hapa utapata ushauri ulikamilika na nchi itasonga.

5. Si kweli kwamba mawaziri wote wabovu kuna wanaomcha Mungu na kujali maslahi ya wananchi hao kamwe usiwatupe lakini mafisadi achana nao hata kama ulishapa asante yao kwa namna yeyote sema yaliyopita si ndwele tugange yajao.

Hongereni wapenda nchi yetu na Mungu awatie nguvu na kuwaepushe na hila za yule mwovu ufisadi.
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

OK!!!

Ni vizuri baada ya kuvunja baraza la mawaziri then CCM ivunje au katika uchaguzi wake unaoendelea ikapata CC mpya jamani tusidanganyane CC ni kikao muhimu na kinhitajia VICHWA NA SIO URAFIKI NA UDINI

HUU NI USHAURI TU CCM MTAJIMALIZA SANA HASA KWA KUJAZA WAZANZIBARI KATIKA KAMATI KUU BILA KUJALI PROPORTINALITY YA WANACHAMA WENU WENGI WANATOKA UPANDE UPI???

UBEBAJI WA MUUNGANO KWA UNAFIKI ULIKUWA NI ENZI ZA CHAMA KIMOJA NA SI SASA HIVI!!!

IANGALIENI TENA HII CC YENU ITAWAVUSHA KWELI 2015???!!!!!!!

Wajumbe wa CC hawa HADI 2013???

1. Jakaya Kikwete
2. Pius Msekwa
3. Ali Mohamed Shein

(KUTOKA BARA)
3. Abdulrahman Kinana- haana jipya anafisadi katika mbuga source Jamiiforum
4. Zakia Meghji haana jipya anafisadi katika BOT,EPA KAGODA source Jamiiforum
5. Dr. Abdallah Kigoda
6. Steven Wassira haana jipya mzee wa siasa za zamani za uongo na usingizi bungeni-source Jamiiforum
7. Constancia Buhiye
8. William Lukuvi haana jipya kiranja wa kuomba miongozo na kutisha wabunge bungeni -souce Jamiiforum

(KUTOKA ZANZIBAR)
9. Dr. Hussein Mwinyi haana jipya alipaswa kuwajibika katika sakata la mabomu mbagala na Gmboto source Jamiiforum
10. Maua Daftari
11. Samia Suluhu Hassan
12. Shamsi Vuai Nahodha haana jipya askari wameendelea kuua raia. songea, arusha etc source Jamiiforum
13. Omar Yusuf Mzee
14. Prof. Makame Mbarawa
15. Mohamed Seif Khatib

(KUTOKA SEKRETARIAT)
16. Wilson Mkama haana jipya anafisadi soko la machinjio Dar na kutisha wabunge source Jamiiforum
17. Capt. John Chiligati
18. Vuai Ali Vuai
19. January Makamba haana jipya umaarufu wake kwishney ndio hakutia sahihi muCC! source Jamiiforum
20. Mwigulu Nchemba Hana jipya binwa wa kuchua wake... amemalizwa kisiasa ARumeru
21. Asha Abdallah Juma
22. Nape Nnauye hana Jipya ni VUVUZELA la CCM source jamii f
 
Serikali ya ccm haiendi bila kusukumwa. Hata Kada aliyewatoka Mr Ole Milya alisema ina pancha kila tairi. Wewe unaesema CDM wameachwa solemba una maana gani? Labda na wewe ni wale wale watoto wa mabalozi wa nyumba kumi. Kula kwa wizi na vikao
 
na uhakika we jamaa n shushushu tu...unashndwa kujua nan ana akili... alyemkamata mwizi..au yule aliyesikia kuna mwz na akampeleka polisi....TUMEKUGUNDUA LENGO LAKO KUCHAFUA CHADEMA....UMESHINDWAAAAAAAAAAA!
 
Serikali ya ccm haiendi bila kusukumwa. Hata Kada aliyewatoka Mr Ole Milya alisema ina pancha kila tairi. Wewe unaesema CDM wameachwa solemba una maana gani? Labda na wewe ni wale wale watoto wa mabalozi wa nyumba kumi. Kula kwa wizi na vikao

Chukueni chuma chakavu, sie tunatumia vyuma vipya akina LIVINGSTONE LUSINDE
 
uliyetoa thread hii nikama ulibemendwa kipindi cha utoto kaa wewe na mkeo mjadili sio kutupotezea muda hapa
 
Yale maandamano ndio yamekufa kifo cha kawaida baada ya kauli ya Rais Kikwete..

Sijui Slaa itakuaje sasa na zoezi lake la kukusanya saini milioni 8 Tanzania nzima.

Kumbe hamchukui hatua mpaka mtishiwe maandamano?poor you.....mnaendelea kucheza ngoma isiyo yenu mpaka kieleweke and their always winner!
 
CAG report inatoka kila mwaka...iweje mwaka huu ndio wabunge wameamka na kuanza kuifuatilia..miaka mingine walikua wapi? kwani hela zimeanza kuibiwa mwaka huu?? walikua wapi miaka ya nyuma:nono:
 
Yeah! Amekidhi matakwa ya watanzania waluowakilishwa na wabunge 75 waliotia sahihi na kuridhia kuisambaeatisha serikali.

Wabunge 75 walituwakilisha, je wewe mbunge wako alikuwakilisha??
Upinzani wekeni kando, JK amekidhi matakwa ya watanzania, leo roho kwatu!!!
 
kama unadhana hii ilikuwa ni hoja ya CHADEMA peke yake basi umepanda gari ambalo hujui linakupeleka wapi. CHADEMA wanadai haki za watanzania wewe una tetea usisiem naona hufikrii mbali. sisi tunataka serikali inayowajibika bila kulazimishwa na CHADEMA.
 
images

Hili Bango liliandaliwa Lumumba na huo ni mwandiko wako na wewe ndiye uliyelibeba!What is NEW there?kama ni Duka(CCM) mmebaki kuuza bazoka au bablish! kwishney
 
No research no right to speak! zama za propaganda zimekwisha, na patrice lumumba university-russia uliyosoma Mafilili, kwa sasa imefungwa.
 
Sasa tunataka Mkw'ere apige chini
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!
 
nashangaa mpaka sasa ni page ya 10 na thread inayojadiliwa imejaa ujinga, ufinyu wa mawazo na upeo, na kutokujua mambo kwa mapana...........
 
Upinzani wekeni kando, JK amekidhi matakwa ya watanzania, leo roho kwatu!!!

Kama si shinikizo la wapinzani tunamtaka pia amtimue Jairo, Chenge na yule Hosea wa Takukuru ambao ameshindwa kuwachukulia hatua muda mrefu
 
Masikini weee, ur thread shows how stupid u r. Hivi huoni ni aibu kwa JK kuvunja Baraza la Mawaziri? Inaonyesha naye ni weak.
 
Back
Top Bottom