Mkiwa na viongozi wasio na maono haya ndio madhara yake, mnapo kuwa kwenye vikao vya chama mnapitisha mambo huwa hamuwazi nje ya kikao hicho , na manapo kuwa mnapitisha sheria za hovyo pale bungeni kwa umoja na mshikamano mkubwa kabisa huwa hamuwazi nje ya pale.sasa mnatulalamikia nini huku mtaani
Kwanza huwa mnadhani mnawakomesha mnao dhani ni mahasimu wenu CHADEMA na huwa mnashangilia kweli na kwa kejeli sasa naomba msitupigie kelele.
Chama kimechafuka chama kinanuka damu za wananchi wake na kimatekwa na wahuni na hamna cha kufanya,mmebaki mnalia lia tu kisirisiri mnatulalamikia sisi ambao hatujawahi hata kuwa wajumbe wa nyumba 10 , maana mwenyekiti ndiye amiri jeshi mkuu na mlipitisha kwa mbwembwe kabisa na kejeli, hamkuwa na maono
Mnalalama nje huku Ooooh! wawajibishwe wauwaji hiko kilicho fanyika sio matakwa ya chama wakati mlipo pitisha sheria ya usalama wa taifa kuto shtakiwa mlibinu hadi makalio jui kwa madaha na mbwembwe nyingi mkiamini mnawakomesha CHADEMA .leo sabuufa anadai Ooh watu wamekuja kwangu na mitutu nyenyenye! Hamkuwa na maono.
Hao kina tibaijuka ambao leo wanataka waonekane wasema kweli na wazalendo ndio miongoni mwa watu walio kuwa wana nufaika sana na yaliyo kuwa yakiendelelea kwenye zama zao na wapiga debe wazuri wa sheria za kuwalinda wao zama zao na walichangia sana kukwamisha mchakato wa katiba zama za kikwete
Walio kufa ni watanganyika na sio wana CCM wala wana CHADEMA au chauma kuendelea kuhangaika na viongozi wa CHADEMA ni kukosa kabisa maarifa na akili na kwa kuwa mnaendelea kuliamini jeshi la polisi hili pekee kwenye kurejesha amani ya nchi basi endeleeni kuwaani hao watumia nguvu bila maarifa na busara ili tuone nguvu zao zitaleta nini kwenye Taifa la Watanganyika .