CCM Madarakani: Sababu za kuitoa, ugumu wake na mbinu mbadala za kuing'oa

CCM has to GO!!!!!!!!!!!!!! Tumeshachokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, Aaaaaaaaaaaaaaaaghr!!!!!!!!!!!!!!!:mad:
 
Hivi akitolewa JK madarakani bado CCM itaendelea kuongoza nini? na nani/
mi nijuavyo Raisi akiachia madaraka automatically na chama chake kinakuwa kimeshajimaliza kabisa.
post za nchi nzima zitakuwa wazi kabisa
Hapo ndio kwenye kazi.nani ataiongoza nchi?
 
Kinachotakiwa hapa ni mikakati mahsusi ya kuandaa maandamano haya ya kuing'oa CCM ambayo wewe na wengine weengi mmekuwa mkiyapigia debe kwa muda sasa, na siyo kupiga domo tu huku mmekaa na kutoa mashuzi ya hapa na pale mkiegemea viti vyenu mbele ya kompyuta huko mliko ughaibuni. La msingi ni jee, wewe na wenzako mpo tayari kuwa mstari wa mbele na kupoteza maisha na viungo vya mwili kuongoza mapambano huku FFU, Polisi, JWTZ, TISS, UVCCM na sijui nani wakiwarushia mabomu ya machozi, kuwamwagia maji washa na kuwafyatulia risasi moto?
 
hiki chama jaman kina watu ambao wao wanaamin ccm ni alfa na omega katika nchi hii, badala wakae na kujizatiti wanaanza oooh upinzani wana udini, wataleta machafuko, ni wahaini, wanafadhiliwa na nchi za magharibi, jaman wadau mnaonaje hiki chama. kinawapeleka wap watanzania
 
CCM imefilisika, siku nyingi sana inachechemea na kutegemea dola kujinusuru. Hakuna mmoja ndani ya CCM ambaye yuko tayari kuanzisha mapinduzi mapya ya kifikra au kiutendaji na kuifanya izaliwe upya. CCM inabidi izaliwe upya, iokoke maana imejawa na dhambi kupita kiasi na haioni madhambi na madhaifu yake!
 
Maandamano yanahitajika sio kumuondoa Kikwete bali iwe kuiondoa CCM madarakani, ...

CCM ni lazima iondolewe madarakani kwa mikakati ya maandamano ya nchi nzima, tujiandaeni kwa kuwaeleza wananchi kuwa ikiwa CCM itajitangazia ushindi tena, basi ni maandamano katika miji mikuu yote, Tanzania (Tanganyika) na Tanzania (Zanzibar) kwa pamoja, bila ya kujali itikadi za vyama vya siasa dini au kabila.

Eeeh ndugu Mwiba, Umekuwaje leo? Umekuwa na hasira kuliko uliokuwa unawaponda? Hebu tuweke wazi, wamekunyima kitu kidogo baada ya kufanya kazi ya kuwatetea kwa muda mrefu! Hii ni mpya Mwiba! Pole sana!
 
Baada ya jk kumaliza vikao vyao na eti kujinadi kujivua gamba. inaonekana watz kuridhishwa na tukio hilo.
Tofauti kabisa na znz, wakisema no, hata aje nani, wafanye nini ccm NO, NO CCM.
tofauti na tz bara.
tungoje vitukuu vyetu vitusaidie kuingoa ccm, sio sisi
 
wewe usicheze nani wa kuja kuwabadilisha watanazania? Wakiwa wameamua jambo tunasema ccm basi hata aje mkama kutoka uko ujitani mwendo ni ule ule ccm atuwataki na chama pekee cha kuleta mabadiliko ya kweli ni chadema tu na tutaiunga mkono siku zote
 
Watu kibao wameridhishwa na hayo mazingaombwe na hicho ndicho kinachonipelekea mimi kuamini kuwa itachukua zaidi ya miaka 100 kukiondoa hicho chama madarakani.

Kwa kifupi we are doomed.
 
Hivi nyie mnafikiri wamependa kujivua hilo wanaloita gamba? sasahivi wapo mguu nje mguu ndani tabasamu yote imeenda na upepo sasa wanakimbia vivuli vyao wenyewe!
 
Baada ya jk kumaliza vikao vyao na eti kujinadi kujivua gamba. inaonekana watz kuridhishwa na tukio hilo.

Watu kibao wameridhishwa na hayo mazingaombwe na hicho ndicho kinachonipelekea mimi kuamini kuwa itachukua zaidi ya miaka 100 kukiondoa hicho chama madarakani.Kwa kifupi we are doomed.

Vizuri mmetanabahi!
Mmeona pongezi zinavyotolewa humu JF sio?
Hili si la kushangaza sana, wengi humu tunaendeshwa na hisia( emotions), mhwemko na ushabiki zaidi badala ya fikra tulivu na tafakuri.

Wengine wanasema CCM hali mbaya,...sisi wananchi ndio wenye hali mbaya.
CCM kazi yao,ambayo kwa kweli wanaifanya kwa uweledi ni kupanga jinsi ya vipi "watawa-screw" watanzania. pamoja na vyama vya upinzani.

Any way..Rais Mwinyi aliwahi kusema kuwa "watanzania tusikubali kufanywa kichwa cha mwendazimu" lakini inaelekea hatukumfahamu.

Nimebaki mdomo wazi kwa kuona pongezi zikimiminika kwa Mkulu na CCM....Kazi kweli kweli!
 
Mkuu you might be true but trust me one thing...culture waliyoijenga ndani ya CCM ni ngumu sana kuiondoa...

Hivi umewahi kukaa mezani ukawaza hawa ambao leo wameitwa gamba jipya, kabla hawajawa magamba walikuwa wakisema nini? Walikuwa wakitamka maneno gani dhidi ya wengine? Leowako kwenye nafasi, unadhani walioko nje nao wanasemaje?

Je JK anajua kuwa watanzania tumesikia kauli yake dhidi ya mafisadi? Je unadhani kweli anaweza kuwatosa hawa? Je unadhani ile vita ya 2015 imekufa? Unadhani kuvua gamba kutawarudisha nyuma? Je unadhani kuna mwenye jeuri ya kuwatumbua usaha wale ambao wanambio hizi (wanaoitwa wezi au mafisadi)?

Katika maswali haya na mengine utagundua moto huu wa CCM ni umefukiwa tu na blanjeti zito ambalo hukawia kushika moto but believe me (Sio Sheikh Yahaya) kuwa soon or near ngoma itakuwa nzito zaidi na kuanzia hapa ndipo ambapo watajikuta wamewakinaisha watanzania kwa over-expectations za mabadiliko na hakuna kitu

Au umesahau JK ni mzee wa ku-raise expectation ambazo huwa hawezi kuzi-meet zaidi ya kutoa excuses tu nyingi?

Copy my words in this post na utakuja kuniambia (hata kama wataiona na kukaza nia ya kutekeleza mambo fulani ili haya yasitimie but who dont know all these people?) We will see............
 
Watu kibao wameridhishwa na hayo mazingaombwe na hicho ndicho kinachonipelekea mimi kuamini kuwa itachukua zaidi ya miaka 100 kukiondoa hicho chama madarakani.

Kwa kifupi we are doomed.

Kibali cha mkulima angalia sugu viganjanimwake wewe unashinda ofisini wanakudanganya talifa zakupikwa sisi ndotunashinda vijiweni nimiongoni mwawaasilika na ufisadi ushahidi mimi natumia sim hapa jf wewe kp uliza watuwanamusimamo upi? tukujuze
 
Baada ya jk kumaliza vikao vyao na eti kujinadi kujivua gamba. inaonekana watz kuridhishwa na tukio hilo.
Tofauti kabisa na znz, wakisema no, hata aje nani, wafanye nini ccm NO, NO CCM.
tofauti na tz bara.

tungoje vitukuu vyetu vitusaidie kuingoa ccm, sio sisi

Hivi sasa CCM ingekuwa hoi kama siyo kwa Wazanzibari kuipa uhai kwa kukubali kutumiwa kama boya la kuiokoa wakati inazama kupitia ndoa na CUF. Wakati huku bara CCM imebanwa mbavu na Chadema kiasi cha kushindwa kupumua kwa kukosa hewa, huko visiwani Wazanzibari kwa umoja wao wakaamua kuipenyezea oxygen kupitia kadirisha ka CUF kwa kisingizio cha muafaka.

Ni ajabu kuwa huku tunaamua kumtimua mwizi wetu na kumtoa mkukumkuku, huko ng'ambo kwa jirani zetu Wazenji, CCM inapewa hifadhi kwa kuongezewa nguvu katika kinachodaiwa eti serikali ya umoja, umoja na CCM ? how laughable. Halafu bila aibu, pamoja na kuwa wanalala kitanda kimoja, anatokea anayeitwa MzeewaHoja na kudai Wazenji wana msimamo, msimamo my foot !

Baada ya jk kumaliza vikao vyao na eti kujinadi kujivua gamba. inaonekana watz kuridhishwa na tukio hilo.
Tofauti kabisa na znz, wakisema no, hata aje nani, wafanye nini ccm NO, NO CCM.
tofauti na tz bara.
tungoje vitukuu vyetu vitusaidie kuingoa ccm, sio sisi

You must be dreaming. mzeeWaHoja!!!
 
miaka 100 inafika mwaka huu kwenye sherehe za uhuru, kwa kutumia sheria za jela mwaka mmoja ni sawa na miaka miwili yaani usiku na mchana, na wao ccm wametufunga jela la maisha magumu sasa ni mwaka wa 99, mkuu husiwe na wasiwasi ukombozi ni mwaka huu jk tutamrudisha chalinze
Baada ya jk kumaliza vikao vyao na eti kujinadi kujivua gamba. inaonekana watz kuridhishwa na tukio hilo.
Tofauti kabisa na znz, wakisema no, hata aje nani, wafanye nini ccm NO, NO CCM.
tofauti na tz bara.
tungoje vitukuu vyetu vitusaidie kuingoa ccm, sio sisi
 
Baada ya jk kumaliza vikao vyao na eti kujinadi kujivua gamba. inaonekana watz kuridhishwa na tukio hilo.
Tofauti kabisa na znz, wakisema no, hata aje nani, wafanye nini ccm NO, NO CCM.
tofauti na tz bara.
tungoje vitukuu vyetu vitusaidie kuingoa ccm, sio sisi
How sure ur it wil take those yearz? where is KANU? We hujui siasa ukae kimyaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mzeewahoja ni kweli wamejivua gamba? Umeisha sahau uchaguzi mkuu wa mwaka jana ulivyogubikwa na utoaji rushwa na hongo kwa wapiga kura? Ndugu yangu watu safi huko ni wa kuhesabu!
 
Back
Top Bottom