Mallaba
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 2,554
- 47
Roho wa rehema anapita kila sehemu kuwafungua watu ili wajue wako wapiMwiba.
Naona umezaliwa mara ya pili.
manatakiwa kumpokea ndugu yetu na kumtunza
Roho wa rehema anapita kila sehemu kuwafungua watu ili wajue wako wapiMwiba.
Naona umezaliwa mara ya pili.
Hapo ndio kwenye kazi.nani ataiongoza nchi?Hivi akitolewa JK madarakani bado CCM itaendelea kuongoza nini? na nani/
mi nijuavyo Raisi akiachia madaraka automatically na chama chake kinakuwa kimeshajimaliza kabisa.
post za nchi nzima zitakuwa wazi kabisa
Maandamano yanahitajika sio kumuondoa Kikwete bali iwe kuiondoa CCM madarakani, ...
CCM ni lazima iondolewe madarakani kwa mikakati ya maandamano ya nchi nzima, tujiandaeni kwa kuwaeleza wananchi kuwa ikiwa CCM itajitangazia ushindi tena, basi ni maandamano katika miji mikuu yote, Tanzania (Tanganyika) na Tanzania (Zanzibar) kwa pamoja, bila ya kujali itikadi za vyama vya siasa dini au kabila.
Baada ya jk kumaliza vikao vyao na eti kujinadi kujivua gamba. inaonekana watz kuridhishwa na tukio hilo.
Watu kibao wameridhishwa na hayo mazingaombwe na hicho ndicho kinachonipelekea mimi kuamini kuwa itachukua zaidi ya miaka 100 kukiondoa hicho chama madarakani.Kwa kifupi we are doomed.
Watu kibao wameridhishwa na hayo mazingaombwe na hicho ndicho kinachonipelekea mimi kuamini kuwa itachukua zaidi ya miaka 100 kukiondoa hicho chama madarakani.
Kwa kifupi we are doomed.
Baada ya jk kumaliza vikao vyao na eti kujinadi kujivua gamba. inaonekana watz kuridhishwa na tukio hilo.
Tofauti kabisa na znz, wakisema no, hata aje nani, wafanye nini ccm NO, NO CCM.
tofauti na tz bara.
tungoje vitukuu vyetu vitusaidie kuingoa ccm, sio sisi

How sure ur it wil take those yearz? where is KANU? We hujui siasa ukae kimyaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Baada ya jk kumaliza vikao vyao na eti kujinadi kujivua gamba. inaonekana watz kuridhishwa na tukio hilo.