How sure ur it wil take those yearz? where is KANU? We hujui siasa ukae kimyaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Vizuri mmetanabahi!
Mmeona pongezi zinavyotolewa humu JF sio?
Hili si la kushangaza sana, wengi humu tunaendeshwa na hisia( emotions), mhwemko na ushabiki zaidi badala ya fikra tulivu na tafakuri.
Wengine wanasema CCM hali mbaya,...sisi wananchi ndio wenye hali mbaya.
CCM kazi yao,ambayo kwa kweli wanaifanya kwa uweledi ni kupanga jinsi ya vipi "watawa-screw" watanzania. pamoja na vyama vya upinzani.
Any way..Rais Mwinyi aliwahi kusema kuwa "watanzania tusikubali kufanywa kichwa cha mwendazimu" lakini inaelekea hatukumfahamu.
Nimebaki mdomo wazi kwa kuona pongezi zikimiminika kwa Mkulu na CCM....Kazi kweli kweli!
Mzeewahoja ni kweli wamejivua gamba? Umeisha sahau uchaguzi mkuu wa mwaka jana ulivyogubikwa na utoaji rushwa na hongo kwa wapiga kura? Ndugu yangu watu safi huko ni wa kuhesabu!
Watu kibao wameridhishwa na hayo mazingaombwe na hicho ndicho kinachonipelekea mimi kuamini kuwa itachukua zaidi ya miaka 100 kukiondoa hicho chama madarakani.
Kwa kifupi we are doomed.
Je, una ID mbili?
Baada ya jk kumaliza vikao vyao na eti kujinadi kujivua gamba. inaonekana watz kuridhishwa na tukio hilo.
Tofauti kabisa na znz, wakisema no, hata aje nani, wafanye nini ccm NO, NO CCM.
tofauti na tz bara.
tungoje vitukuu vyetu vitusaidie kuingoa ccm, sio sisi
Baada ya jk kumaliza vikao vyao na eti kujinadi kujivua gamba. inaonekana watz kuridhishwa na tukio hilo.
Tofauti kabisa na znz, wakisema no, hata aje nani, wafanye nini ccm NO, NO CCM.
tofauti na tz bara.
tungoje vitukuu vyetu vitusaidie kuingoa ccm, sio sisi
By saying that, you are implying that Tanzania's political culture is static and is not bound to change. I beg to differ with you. Most Tanzanians are very much aware of their political rights and are no longer ready to be bulldozed by any party that goes against their aspirations. Political culture as a subset of the whole culture is dynamic and due to that, changes are going to take place. Just to remind you, witness the challenge the Constitutional Review Act got from the public at large. This is only the beginning. Do you remember KANU? Did any one, at any time think that KANU would be an opposition party? Think about it!CCM is in power to stay. They have a super majority in parliament and will continue to have it for a very long time. Given their significant majority, they will probably pass either a new constitution that favors them in a lot of ways or they will amend the current one to ensure it safeguards their short term and long term interests.
By saying that, you are implying that Tanzania's political culture is static and is not bound to change. I beg to differ with you. Most Tanzanians are very much aware of their political rights and are no longer ready to be bulldozed by any party that goes against their aspirations. Political culture as a subset of the whole culture is dynamic and due to that, changes are going to take place. Just to remind you, witness the challenge the Constitutional Review Act got from the public at large. This is only the beginning. Do you remember KANU? Did any one, at any time think that KANU would be an opposition party? Think about it!
CCM HOYEEEEEE. I am sure CDM will never rule Tanzania mpaka sura ya fujo, ukabila, ukanda na udini vivuliwe gamba.