New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,428
- 2,652
Senz type nani anaimani na CCM subirin kifike kipind cha kampen kwenye midahalo kama Kenya...
Nitumi email yako nikupe report kamli, with sample selection method, sample quality, timeframe na mengine yote. 🙂I have seen it, and I believe they have respected international standards in this regards. To me the results are sahihi.
Hapana kaka. Mbona hiyo ilikuwepo tangu graph yake ya umaarufu inapanda. Tatizo ni ile ishu nyingine...
ile ya kumtaka karani wake ofisini
hakuna ripoti.... ni uongo...
Asilimia 52 ya wananchi wote Tanzania? Really?
Wamejuaje hilo? Wamehoji wananchi wote Tanzania? Kivipi?
Tunacheka waliofeli Form Four wakati miswaki galore.
Unapotoa figures kama hizi, unatakiwa kutoa sample space, methodology na margin of error.
Basic shyt.
Tusitake kupelekana kama ng'ombe. Angalieni Gallup polls zinavyoripotiwa.
Nitumi email yako nikupe report kamli, with sample selection method, sample quality, timeframe na mengine yote. 🙂I have seen it, and I believe they have respected international standards in this regards. To me the results are sahihi.
Nipo interested kujua sampuli, waliohojiwa walitokana na makundi gani ktk jamii, na ilikuwa katika mtawanyiko upi. Haiwezekani kuchukua sampuli kutoka sehemu moja na uka generalize kuwa ni maoni ya jamii nzima!