Mzalendo wa ukweli
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 559
- 149
Umaarufu wa CCM una manufaa gani kwa mtanzania wa kawaida kwa sasa wakati uchumi unazorota na maisha bora kwa kila mwananchi imekuwa ni ndoto za kusadikika tu???? Kama wameshindwa kutatua matatizo ya msingi ya wananchi kuna umuhimu gani wa kujivunia umaarufu???