CCM kwa hili halikubaliki, MV Victoria ni mali ya Umma siyo mali ya CCM

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
90,148
2,000
Wana jamvi heshima kwenu, nimeamua kuwauliza ili mnieleweshe hili jambo wanalo fanya CCM.

Meli ya MV Victoria ni mali ya Umma wa Watanzania bila kujali itikadi ya kisiasa lkn kwa hali ilivyo leo hii tunaona jinsi wana ccm wakiongozwa na Pole pole kuipangia hiyo meli bei za kuasafirisha bidhaa.

Pole pole analipangia shirika la meli bei za kufanyia kazi kama nani ndani ya serikali ya Tanzania?

Tafadhali tunaombeni ufafanuzi kutoka kwa watu wenye uelewa juu ya hili.
 
NAWATAFUNA

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
3,705
2,000
Hawatutendei haki kabisa, jana mwanza akajitokeza kuisemea hiyo meli utadhani yeye ndiye mhandisi au waziri husika
Hakuna meli ya mv bukoba ilisemewa kwa siku ya jana mmawia.Mungu anakuumbua mpaka kwenye maandishi yako.
 
Kambi ya Fisi

JF-Expert Member
Feb 3, 2018
1,120
2,000
Akipanga nauli polepole maana yake omepanga CCM

Akisema Magufuri maana yake imesema CCM

Dawa yao ni kuwanyima dhamana ya kuongoza, tukutane October kwa maamuzi sahihi JPM akomee muhula mmoja tu
 
Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
6,467
2,000
Wana jamvi heshima kwenu, nimeamua kuwauliza ili mnieleweshe hili jambo wanalo fanya ccm.

Meli ya Mv Victoria ni mali ya umma wa Watanzania bila kujali itikadi ya kisiasa lkn kwa hali ilivyo leo hii tunaona jinsi wana ccm wakiongozwa na Pole pole kuipangia hiyo meli bei za kuasafirisha bidhaa.

Pole pole analipangia shirika la meli bei za kufanyia kazi kama nani ndani ya serikali ya Tanzania?

Tafadhali tunaombeni ufafanuzi kutoka kwa watu wenye uelewa juu ya hili.
Mkuu ikiwa walijimilikisha majengo ya umma na viwanja vya mpira itakuwa hiyo meli? Sitoshangaa abiria wakiendelea kutumia usafiri binafsi badala ya usafiri rahisi wa "umma" pasi shaka fisiemu inaendelea kupoteza weledi katika mambo mengi ikiwa hivyo ndivyo...
Mzee yule alisema "... kuna ombwe la uongozi..." na ndo maana na1 hakukosea kusema kuna "wapumbavu..."
 
sengobad

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
2,848
2,000
Chadema bana hamuelewekagi.. Hii miradi yote mnaipinga na hata inapokamilika hua mnaibeza na hata hii meli kuna wapuuzi wenzio jana waliibeza. We unahisi kwanini Ccm wasitumie hii nafasi ya nyie kubeza kila mradi kutake credit kwa yanayofanyika!
Inavyoonyesha miradi mingi ilitakiwa iwe imekamilika kabla ya 2018 lkn ilicheleweshwa makusudi ili ikamilike 2020 kwa sababu za kisiasa,
 
sengobad

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
2,848
2,000
Mkuu ikiwa walijimilikisha majengo ya umma na viwanja vya mpira itakuwa hiyo meli? Sitoshangaa abiria wakiendelea kutumia usafiri binafsi badala ya usafiri rahisi wa "umma" pasi shaka fisiemu inaendelea kupoteza weledi katika mambo mengi ikiwa hivyo ndivyo...
Mzee yule alisema "... kuna ombwe la uongozi..." na ndo maana na1 hakukosea kusema kuna "wapumbavu..."
Malaria tu kipimo ni sh 5000 mtaani sh 2000
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
90,148
2,000
Hiyo ndiyo dawa yao hao wasakatonge
Akipanga nauli polepole maana yake omepanga CCM

Akisema Magufuri maana yake imesema CCM

Dawa yao ni kuwanyima dhamana ya kuongoza, tukutane October kwa maamuzi sahihi JPM akomee muhula mmoja tu
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
90,148
2,000
Huo ndiyo ukweli, tatizo lao ni uoga wa kutochaguliwa
Inavyoonyesha miradi mingi ilitakiwa iwe imekamilika kabla ya 2018 lkn ilicheleweshwa makusudi ili ikamilike 2020 kwa sababu za kisiasa,
 
Boaziwaya

JF-Expert Member
Oct 21, 2019
573
500
Bora umesema, inaudhi sana kufanya siasa kwenye kwenye kodi zetu
wacha we, kwahiyo walivyotengeneza hiyo meli kwa kodi zako imeuma sana bora wangegawana, wao ndio waliotengeneza wanajua gharama waliyoutumia na wanapaswa kupanga matumizi yatakayoweza kurejesha gharama zake
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
90,148
2,000
Tayari mods wamesha rekebisha, hata hivyo wewe kama ni mtanzania au upo seriously na kuchangia mada uaingejikita na hilo kwani tayari inajulikana kuwa mv Bukoba ilisha zama kitambo
Hii sio minor point Mzee.Maana jina la meli ni moja ya point kuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom