CCM kwa hili halikubaliki, MV Victoria ni mali ya Umma siyo mali ya CCM

Wana jamvi heshima kwenu, nimeamua kuwauliza ili mnieleweshe hili jambo wanalo fanya ccm.

Meli ya Mv Victoria ni mali ya umma wa Watanzania bila kujali itikadi ya kisiasa lkn kwa hali ilivyo leo hii tunaona jinsi wana ccm wakiongozwa na Pole pole kuipangia hiyo meli bei za kuasafirisha bidhaa.

Pole pole analipangia shirika la meli bei za kufanyia kazi kama nani ndani ya serikali ya Tanzania?

Tafadhali tunaombeni ufafanuzi kutoka kwa watu wenye uelewa juu ya hili.
Imenunuliwa na CCM ndiyo maana wanapanga nauli na kusafiri bure, utawala wa sheria weka pembeni.
 
Wametengeneza kwa fedha zao za mishahara? Kwa taarifa yako ni kuwa fedha za umma ndiyo zimetumika kutengeneza hiyo meli wala siyo fedha za ccm
wacha we, kwahiyo walivyotengeneza hiyo meli kwa kodi zako imeuma sana bora wangegawana, wao ndio waliotengeneza wanajua gharama waliyoutumia na wanapaswa kupanga matumizi yatakayoweza kurejesha gharama zake
 
Mnopojua kuishutumu CCM pindi serikali inapokosea basi msiwe na chuki pindi serikali hiyohiyo ya CCM inapofanya mambo manzuri. Polepole na kundi lake wana kila sababu ya kufanya hayo kwa kuwa wameweza kuisimamia vinzuri serikali na ikatekeleza yale yaliyoahidiwa kwenye ilani ya chama.
 
Kwa kutumia fedha za watanzania, hivyo siyo mali ya ccm hiyo
Mnopojua kuishutumu CCM pindi serikali inapokosea basi msiwe na chuki pindi serikali hiyohiyo ya CCM inapofanya mambo manzuri. Polepole na kundi lake wana kila sababu ya kufanya hayo kwa kuwa wameweza kuisimamia vinzuri serikali na ikatekeleza yale yaliyoahidiwa kwenye ilani ya chama.
 
Wametengeneza kwa fedha zao za mishahara? Kwa taarifa yako ni kuwa fedha za umma ndiyo zimetumika kutengeneza hiyo meli wala siyo fedha za ccm
Iliyotengeneza ni serikali ya CCM kama ambavyo huwa mnasema pindi mambo yanapokwenda ndivyo sivyo
 
Wana jamvi heshima kwenu, nimeamua kuwauliza ili mnieleweshe hili jambo wanalo fanya ccm.

Meli ya Mv Victoria ni mali ya umma wa Watanzania bila kujali itikadi ya kisiasa lkn kwa hali ilivyo leo hii tunaona jinsi wana ccm wakiongozwa na Pole pole kuipangia hiyo meli bei za kuasafirisha bidhaa.

Pole pole analipangia shirika la meli bei za kufanyia kazi kama nani ndani ya serikali ya Tanzania?

Tafadhali tunaombeni ufafanuzi kutoka kwa watu wenye uelewa juu ya hili.
Msipande.
Polepole ni kiongozi wa chama kinachotengeneza serikali...
 
Uhemko kama huu ndio unaofanya wakiondolewa madarakani wananchi waningia mitaani na kung"oa majina ya mitaa waliyoipa kwa ushabiki tu wa kisiasa. Nina imabi kubwq iko siku haya maneo hapa kazi tu katika mali za umma wananchi wenye hasira watayafuta kwa kutumia hata kucha za mikono!
 
Yaani hapa kazi tu washaifanya ni nembo ya taifa
Uhemko kama huu ndio unaofanya wakiondolewa madarakani wananchi waningia mitaani na kung"oa majina ya mitaa waliyoipa kwa ushabiki tu wa kisiasa. Nina imabi kubwq iko siku haya maneo hapa kazi tu katika mali za umma wananchi wenye hasira watayafuta kwa kutumia hata kucha za mikono!
 
Wana jamvi heshima kwenu, nimeamua kuwauliza ili mnieleweshe hili jambo wanalo fanya ccm.

Meli ya Mv Victoria ni mali ya umma wa Watanzania bila kujali itikadi ya kisiasa lkn kwa hali ilivyo leo hii tunaona jinsi wana ccm wakiongozwa na Pole pole kuipangia hiyo meli bei za kuasafirisha bidhaa.

Pole pole analipangia shirika la meli bei za kufanyia kazi kama nani ndani ya serikali ya Tanzania?

Tafadhali tunaombeni ufafanuzi kutoka kwa watu wenye uelewa juu ya hili.
H.Polepole alipanga bei au alisema ameagizwa na Rais bei ya tani moja ya ndizi iwe 27000? Au sababu sasa hivi Chadema imekosa hoja ndio mnajaza utumbo humu Jf?
 
Wana jamvi heshima kwenu, nimeamua kuwauliza ili mnieleweshe hili jambo wanalo fanya ccm.

Meli ya Mv Victoria ni mali ya umma wa Watanzania bila kujali itikadi ya kisiasa lkn kwa hali ilivyo leo hii tunaona jinsi wana ccm wakiongozwa na Pole pole kuipangia hiyo meli bei za kuasafirisha bidhaa.

Pole pole analipangia shirika la meli bei za kufanyia kazi kama nani ndani ya serikali ya Tanzania?

Tafadhali tunaombeni ufafanuzi kutoka kwa watu wenye uelewa juu ya hili.
kwa maagizo ya jiwe hayo ndiyo madaraka ya kulevya
 
To a wise man a word is enough, lakini to a foolish Chopa no! Miradi ya serkali hata Kinondoni inakabidhiwa kwa CCM. Bado unataka ushahidi? Nikujichetua tu.
Sio mbaya CCM ndio chama dola, serikali iliyoko madarakani haitokani na chauma Wala chadomo!!! Kwahiyo sioni la ajabu labda kwa kilaza Kama wewe ndio ni ajabu kwako
 
Mkuu mmawia usihangaike na shallow propaganda za hao watu.Hata wafanye propaganda za aina gani bila kutumia vyombo Vya dola ni wepesi kuliko pamba.Kitu cha msingi ni kuangalia namna gani vyombo Vya dola vitakuwa fair kwa vyama vyote!
 
Wametengeneza kwa fedha zao za mishahara? Kwa taarifa yako ni kuwa fedha za umma ndiyo zimetumika kutengeneza hiyo meli wala siyo fedha za ccm
kabla hujakurupuka uwe unasoma vizuri, nimekwambia kwa kodi yako ndio wakapanga watengeneze meli, wangeamua kupanga wakagawana ungebaki kupiga domo tu,
 
Back
Top Bottom