CCM kwa hili halikubaliki, MV Victoria ni mali ya Umma siyo mali ya CCM

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
89,878
2,000
Wana jamvi heshima kwenu, nimeamua kuwauliza ili mnieleweshe hili jambo wanalo fanya CCM.

Meli ya MV Victoria ni mali ya Umma wa Watanzania bila kujali itikadi ya kisiasa lkn kwa hali ilivyo leo hii tunaona jinsi wana ccm wakiongozwa na Pole pole kuipangia hiyo meli bei za kuasafirisha bidhaa.

Pole pole analipangia shirika la meli bei za kufanyia kazi kama nani ndani ya serikali ya Tanzania?

Tafadhali tunaombeni ufafanuzi kutoka kwa watu wenye uelewa juu ya hili.
 

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
89,878
2,000
Ni Mv Victoria samahani, naomba mods walifanyie marekebisho tafadhali
 

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
89,878
2,000
Hawatutendei haki kabisa, jana mwanza akajitokeza kuisemea hiyo meli utadhani yeye ndiye mhandisi au waziri husika
Hiyo inaitwa kuvuta riziki kwa kamba. Wameona uchaguzi unakaribia, na kwakuwa wamejipanga kujitangaza kibabe, hivyo wanajitokeza kwenye kila mradi wa umma, ili waseme ndio kura zao zilikotokea.
 

the truecaller

JF-Expert Member
May 8, 2019
924
1,000
Wana jamvi heshima kwenu, nimeamua kuwauliza ili mnieleweshe hili jambo wanalo fanya ccm.

Meli ya Mv Bukoba ni mali ya umma wa watanzania bila kujali itikadi ya kisiasa lkn kwa hali ilivyo leo hii tunaona jinsi wana ccm wakiongozwa na Pole pole kuipangia hiyo meli bei za kuasafirisha bidhaa.

Pole pole analipangia shirika la meli bei za kufanyia kazi kama nani ndani ya serikali ya Tanzania?

Tafadhali tunaombeni ufafanuzi kutoka kwa watu wenye uelewa juu ya hili.
We F**kny.

MV BUKOBA ILIZAMA, ACHA KONYAGI.

BAVICHA mnakwama wapi?
FB_IMG_1592137507510.jpeg
Mawe%20Rashidi%2C%20profile%20picture_20200607_2.jpeg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom