CCM kwa hili halikubaliki, MV Victoria ni mali ya Umma siyo mali ya CCM

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
89,889
2,000
Wana jamvi heshima kwenu, nimeamua kuwauliza ili mnieleweshe hili jambo wanalo fanya CCM.

Meli ya MV Victoria ni mali ya Umma wa Watanzania bila kujali itikadi ya kisiasa lkn kwa hali ilivyo leo hii tunaona jinsi wana ccm wakiongozwa na Pole pole kuipangia hiyo meli bei za kuasafirisha bidhaa.

Pole pole analipangia shirika la meli bei za kufanyia kazi kama nani ndani ya serikali ya Tanzania?

Tafadhali tunaombeni ufafanuzi kutoka kwa watu wenye uelewa juu ya hili.
 
Boaziwaya

JF-Expert Member
Oct 21, 2019
565
500
Wametengeneza kwa fedha zao za mishahara? Kwa taarifa yako ni kuwa fedha za umma ndiyo zimetumika kutengeneza hiyo meli wala siyo fedha za ccm
kabla hujakurupuka uwe unasoma vizuri, nimekwambia kwa kodi yako ndio wakapanga watengeneze meli, wangeamua kupanga wakagawana ungebaki kupiga domo tu,
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
89,889
2,000
Mmechemka hapo hakuna cha utetezi, hiyo meli ni mali ya watanzania wote bila kujali itikadi.

Hamkutakiwa kuigeuza chambo cha kuombea kura

kweli wewe si.mzima, mimi na kura wapi na wapi?? Yaani meli watengeneze wengine kura niombe mimi, kweli wewe hamnazo
 
Gellangi

JF-Expert Member
Apr 11, 2016
1,025
2,000
Wana jamvi heshima kwenu, nimeamua kuwauliza ili mnieleweshe hili jambo wanalo fanya CCM.

Meli ya MV Victoria ni mali ya Umma wa Watanzania bila kujali itikadi ya kisiasa lkn kwa hali ilivyo leo hii tunaona jinsi wana ccm wakiongozwa na Pole pole kuipangia hiyo meli bei za kuasafirisha bidhaa.

Pole pole analipangia shirika la meli bei za kufanyia kazi kama nani ndani ya serikali ya Tanzania?

Tafadhali tunaombeni ufafanuzi kutoka kwa watu wenye uelewa juu ya hili.
Wanafanyia kampeni Public Property, hiyo meli imejengwa kwa ilani ya CCM ila siyo CCM iliyotoa fedha za Ujenzi wake na kwa maana hiyo meli ya MV Victoria ni ya Watanzania wote.
Polepole na wapambe wake wasitumie Mali za umma kujinufaisha na kufanyia kampeni kabla ya wakati.
,Vile vile gharama za kusafirisha bidhaa,abiria na magari siyo jukumu LA wanasiasa.Hii ndiyo ilisababisha vyombo lukuki vya umma kufa/kufilisika huko nyuma kama mabenki,Railway, mabasi ya umma kama KAMATA,viwanda,mashirika mbali mbali nk.
Msajili wa vyama,hizi kampeni za wazi wazi hauzioni?Mbona unapata kigugumizi?
 
Pakawa

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
6,118

Natamani siku ifike yatokee yaliyotokea Malawi
Wakati utafika hata kama tumerudi mavumbini watoto wetu na wajukuu zetu washuhudie udhalimu wa sisiem ukifikia kikomo na wengi wa jamaa wa watawala na watawala mkono wa sheria ukiwatia hatiani!
 
Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
10,247
2,000
Magufuli akitoka kila sehemu iliyo andikwa hapa kazi tuu tunafuta haraka sana.

Huu ni upuuzi, mbona slogan nyingi tuu za wahenga kama kina nyerere na nzuri hazija andikwa popote.

Ccm imekufa inatafuta huruma na haipati
Wana jamvi heshima kwenu, nimeamua kuwauliza ili mnieleweshe hili jambo wanalo fanya CCM.

Meli ya MV Victoria ni mali ya Umma wa Watanzania bila kujali itikadi ya kisiasa lkn kwa hali ilivyo leo hii tunaona jinsi wana ccm wakiongozwa na Pole pole kuipangia hiyo meli bei za kuasafirisha bidhaa.

Pole pole analipangia shirika la meli bei za kufanyia kazi kama nani ndani ya serikali ya Tanzania?

Tafadhali tunaombeni ufafanuzi kutoka kwa watu wenye uelewa juu ya hili.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
89,889
2,000
Nimekubaliana na wazo lako
Magufuli akitoka kila sehemu iliyo andikwa hapa kazi tuu tunafuta haraka sana.

Huu ni upuuzi, mbona slogan nyingi tuu za wahenga kama kina nyerere na nzuri hazija andikwa popote.

Ccm imekufa inatafuta huruma na haipati
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
89,889
2,000
Wanafanyia kampeni Public Property, hiyo meli imejengwa kwa ilani ya CCM ila siyo CCM iliyotoa fedha za Ujenzi wake na kwa maana hiyo meli ya MV Victoria ni ya Watanzania wote.
Polepole na wapambe wake wasitumie Mali za umma kujinufaisha na kufanyia kampeni kabla ya wakati.
,Vile vile gharama za kusafirisha bidhaa,abiria na magari siyo jukumu LA wanasiasa.Hii ndiyo ilisababisha vyombo lukuki vya umma kufa/kufilisika huko nyuma kama mabenki,Railway, mabasi ya umma kama KAMATA,viwanda,mashirika mbali mbali nk.
Msajili wa vyama,hizi kampeni za wazi wazi hauzioni?Mbona unapata kigugumizi?
Huko anajifanya amevaa miwani ya mbao na hawezi kunyooshea kidole maana ndiyo waajiri wake.
 
Bungua

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
566
500
Sio mbaya CCM ndio chama dola, serikali iliyoko madarakani haitokani na chauma Wala chadomo!!! Kwahiyo sioni la ajabu labda kwa kilaza Kama wewe ndio ni ajabu kwako
Hujui hata maana ya dola. Kweli ndio maana hata m/kiti wenu alichukua fomu ya kutia nia ya kugombea vyombo vya dola badala ya urais! Hiyo kipande kuna mambo. Hiyo miradi hajajengwa kwa mapato ya chama (dola) wala kwa ruzuku kinachopata. Ni miradi ya serkali. Kugombea urais unadhaminiwa na chama kimojawapo. Ukichaguliwa unakuwa rais wa wote. Unaongoza serkali ya wote. Kodi inalipwa na wote. Mapato ya serkali ni kodi inayolipwa na wote wa vyama vyote. Miradi ni ya wote, kilaza wahedi!
 
naliwe

JF-Expert Member
Feb 17, 2013
501
1,000
Wana jamvi heshima kwenu, nimeamua kuwauliza ili mnieleweshe hili jambo wanalo fanya CCM.

Meli ya MV Victoria ni mali ya Umma wa Watanzania bila kujali itikadi ya kisiasa lkn kwa hali ilivyo leo hii tunaona jinsi wana ccm wakiongozwa na Pole pole kuipangia hiyo meli bei za kuasafirisha bidhaa.

Pole pole analipangia shirika la meli bei za kufanyia kazi kama nani ndani ya serikali ya Tanzania?

Tafadhali tunaombeni ufafanuzi kutoka kwa watu wenye uelewa juu ya hili.
Kama hujui kaa kimya,hii ni moja ya ilani ya chama cha mapinduzi kwaiyo acha wajivunie
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
89,889
2,000
Huo ni mradi uliotumia fedha za watanzania wote bila kujali itikadi za kisiasa, wewe unapo ingia na mishuka yako ya kijani huwezi kueleweka, kubalini kuwa mmezidisha mikurupuko
Kama hujui kaa kimya,hii ni moja ya ilani ya chama cha mapinduzi kwaiyo acha wajivunie
 
Kamakabuzi

JF-Expert Member
Dec 3, 2007
1,662
1,500
Mmawia eee nangu mene...
Arbab wangu INASHANGAZA kweli yaani hujui hii ni serikali ya CCM...ilani ya magufuli tulimpatia kuinadi...
Anapojitokeza Polepole kupendekeza Bei ya nauli Wala haishangazi...
KIPINDI Cha MKOLONI hakukuwa na serikali ya WANANCHI Bali kulikuwa na CHAMA CHA WANANCHI...
Chama ni kilekile kimebadilika majina tu...AA TAA TANU CCM....
BINAFSI WANGENISIKIA BASI HIVI VYAMA VINGEFUTWA VYOTE KIKABAKI CCM TU...
Nisamehe Kaka ni mawazo yangu TU kwi kwi kwi
Tujuze tulikotoka na tulikofika kuhusu MV Victoria na sababu za hayo yaliyotokea hapo katikati; historia hiyo inaweza kuijenga CCM
 
Kamakabuzi

JF-Expert Member
Dec 3, 2007
1,662
1,500
Hotuba nzima ya Jana kutoka Kwa polepole alisema aliyoyasema yalikuwa ni maagizo ya Raisi
Yaani utofautishe hizi nafasi mbili hata kama zinashikwa na mtu mmoja -Rais, Mwenyekiti wa Chama
Polepole (Katibu mwenezi wa CCM) akisema kaagizwa na Mwenyekiti wa CCM hiyo ni sawa kabisa, lakini Katibu mwenezi akisema ameagizwa na Rais, si sawa labda kwanza rais afanye uteuzi na kumpatia na nafasi ya kufanya hivyo, Anyway katika maongezi ya kawaida tunatumia hivyo vyeo interchangeably ila kama written document lazima tutofautishe kwani hiyo ni permanent record.
 
paul sylvester

JF-Expert Member
Mar 18, 2020
1,519

Asante mkuu, Kwa kufanya hivyo Je, katiba imevunjwa?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom