CCM kwa hili halikubaliki, MV Victoria ni mali ya Umma siyo mali ya CCM

Wana jamvi heshima kwenu, nimeamua kuwauliza ili mnieleweshe hili jambo wanalo fanya ccm.

Meli ya Mv Victoria ni mali ya umma wa watanzania bila kujali itikadi ya kisiasa lkn kwa hali ilivyo leo hii tunaona jinsi wana ccm wakiongozwa na Pole pole kuipangia hiyo meli bei za kuasafirisha bidhaa.

Pole pole analipangia shirika la meli bei za kufanyia kazi kama nani ndani ya serikali ya Tanzania?

Tafadhali tunaombeni ufafanuzi kutoka kwa watu wenye uelewa juu ya hili.
Ni kweli mali ya umma na watu wote wanaruhusiwa kusafiri kwa bei hiyohyo aliosema polepole, lakini kumbuka ilani inayotekelezwa na iliyokubaliwa na wapiga kura ni ya CCM, na unamjua polepole ni nani katika CCM, nadhani ushanielewa sihitaji kuendelea.
 
MV BUKOBA ilishazama miaka mingi iliyopita
 
Uzi wako haujaeleweka! Polepole amepanga bei kivipi, lini na kiasi gani amepanga?
ni kweli ameagiza tani moja ya ndizi kutoka bukoba kuja mwanza ilipiwe sh 27000 kwa kila mtanzania kuna tatizo hapo ndugu? shida ni moja tu mleta mada na wenzake wameishiwa hoja kwahiyo hata wakiaandika hawatafakari tena wanafyatuka tu.
 
Yes huo ukweli wanao ila sema ulevi wa madaraka ndio tatizo kubwa kwao
Ccm wanafanya dhambi kubwa sana na wanajua siku CDM wakiingia madarakani itabidi ccm wakimbie nchi na wengi wataishia magerezani.
 
Hata ukiendelea hakuna mtu anakukataza kuendelea maana hili ni jukwaa huru kutoa mawazo yako
Ni kweli mali ya umma na watu wote wanaruhusiwa kusafiri kwa bei hiyohyo aliosema polepole, lakini kumbuka ilani inayotekelezwa na iliyokubaliwa na wapiga kura ni ya CCM, na unamjua polepole ni nani katika CCM, nadhani ushanielewa sihitaji kuendelea.
 
Mmejawa na uoga kupitiliza
ni kweli ameagiza tani moja ya ndizi kutoka bukoba kuja mwanza ilipiwe sh 27000 kwa kila mtanzania kuna tatizo hapo ndugu? shida ni moja tu mleta mada na wenzake wameishiwa hoja kwahiyo hata wakiaandika hawatafakari tena wanafyatuka tu.
 
Unaona wivu? Maana kwenu ndiyo chuo cha kukurupuka
wala sina wivu ila nashangaa tulizoea kipindi cha dr.slaa kupata hoja makini na fikirishi lakini siku hizi duuuuuh, sijui mnalamba bapa kubwa ndo mnaandika?
 
Konyagi ni mojawapo ya viwanda ambavyo vinawaingiza kodi, au unawatukana na kuwakashifu wanao kunywa konyagi?
hapana naheshimu sana kiwanda cha konyagi kwa kulipa kodi na kutoa ajira kwa watanzania lakini kubwa zaidi kuzalisha kinywaji pendwa cha mwamba.
 
Back
Top Bottom