CCM kwa hili halikubaliki, MV Victoria ni mali ya Umma siyo mali ya CCM

Wana jamvi heshima kwenu, nimeamua kuwauliza ili mnieleweshe hili jambo wanalo fanya ccm.

Meli ya Mv Victoria ni mali ya umma wa watanzania bila kujali itikadi ya kisiasa lkn kwa hali ilivyo leo hii tunaona jinsi wana ccm wakiongozwa na Pole pole kuipangia hiyo meli bei za kuasafirisha bidhaa.

Pole pole analipangia shirika la meli bei za kufanyia kazi kama nani ndani ya serikali ya Tanzania?

Tafadhali tunaombeni ufafanuzi kutoka kwa watu wenye uelewa juu ya hili.
Usisikilize watu kama wale.....achana nao, wanapiga kampeni za kitoto sana
 
Mods naomba mnirekebishie hapo kwenye mv Bukoba iwe mv Victoria tafadhali.
 
Tatizo lako chanzo chako cha habari ni tbc tu hivyo hatukulaumu
Ni kweli ndugu nisamehe bure, hivyo vyanzo vya kuzimu sina access navyo ndo sababu sijui hata kama MV Bukoba inapiga mzigo route gani, nilikuwa najua ilizama tu na kuua mamia.
 
Wana jamvi heshima kwenu, nimeamua kuwauliza ili mnieleweshe hili jambo wanalo fanya ccm.

Meli ya Mv Bukoba ni mali ya umma wa watanzania bila kujali itikadi ya kisiasa lkn kwa hali ilivyo leo hii tunaona jinsi wana ccm wakiongozwa na Pole pole kuipangia hiyo meli bei za kuasafirisha bidhaa.

Pole pole analipangia shirika la meli bei za kufanyia kazi kama nani ndani ya serikali ya Tanzania?

Tafadhali tunaombeni ufafanuzi kutoka kwa watu wenye uelewa juu ya hili.
Mmawia eee nangu mene...
Arbab wangu INASHANGAZA kweli yaani hujui hii ni serikali ya CCM...ilani ya magufuli tulimpatia kuinadi...
Anapojitokeza Polepole kupendekeza Bei ya nauli Wala haishangazi...
KIPINDI Cha MKOLONI hakukuwa na serikali ya WANANCHI Bali kulikuwa na CHAMA CHA WANANCHI...
Chama ni kilekile kimebadilika majina tu...AA TAA TANU CCM....
BINAFSI WANGENISIKIA BASI HIVI VYAMA VINGEFUTWA VYOTE KIKABAKI CCM TU...
Nisamehe Kaka ni mawazo yangu TU kwi kwi kwi
 
Nimeamini kuna watu na viatu
 
Wacha na wewe kuingia kwenye mtumbwi wa vibwengo, hilo neno mv Bukoba ni typing error. Ukweli ni mv Victoria
Kana anapanga bei nafuu kwetu wakulima,apange tu,ili tusafirisha mkungu kwa 500 kwenye mv bukoba
 
Chadema bana hamuelewekagi.. Hii miradi yote mnaipinga na hata inapokamilika hua mnaibeza na hata hii meli kuna wapuuzi wenzio jana waliibeza. We unahisi kwanini Ccm wasitumie hii nafasi ya nyie kubeza kila mradi kutake credit kwa yanayofanyika!
Naona na wewe unakubali kuwa hapo ccm wanafanya faulo kwa umma wa watanzania.
 
Tatizo lako unataka kuna na mifumo yako ya kisiasa ya kuiga nchi za magaribi, uneambiwa CCM huwa awalipi Kodi, au wao siyo watanzania, acha ujinga siyo kila kitu kinachofanyika ulaya na apa kifanyike,
CCM ndo chama tawala na ndio wenye serikali sasa ulitaka nani asimamie Mali za serikali km siyo CCM.....!
Haiondoi ukweli na kama una ng'ang'ania hilo basi ujijue kuwa thinking capacity yako ipo too low
 
Tatizo lako unataka kuna na mifumo yako ya kisiasa ya kuiga nchi za magaribi, uneambiwa CCM huwa awalipi Kodi, au wao siyo watanzania, acha ujinga siyo kila kitu kinachofanyika ulaya na apa kifanyike,
CCM ndo chama tawala na ndio wenye serikali sasa ulitaka nani asimamie Mali za serikali km siyo CCM.....!
Mpuuzi tu wewe! Huyo Polepole kwa mambo yanayohusu serikali ni nani?
 
Back
Top Bottom