NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,286
- 24,003
Hakuna meli ya mv bukoba ilisemewa kwa siku ya jana mmawia.Mungu anakuumbua mpaka kwenye maandishi yako.Hawatutendei haki kabisa, jana mwanza akajitokeza kuisemea hiyo meli utadhani yeye ndiye mhandisi au waziri husika