Hapo kwenye red Makwaia wa Kuhenga, umemweka hapa umenikumbusha makala zake nzuri pamoja na kitabu chake, cha ccm na mustakabali wa nchi yetu, jamaa japo ni mwanachama wa chama ambacho nami ni mwanachama, huwa anaandika kwa umakini na bila kumwangalia nyani usoniMakwaiya wakuyenga..........
Huyu jamaa niliye mbold kwa red color ni asiyevuma lakini yumo..ana makala makini sana kwenye gazeti la mwananchi kila Jumapili...........Wengine ni wanaharakati walioko ndani na nje ya nji.
Samson Mwigamba.
Ayub Rioba
Absalom Kibanda
Jabir Idrissa
Lulandali mwananzela nk
Wengine ni wanaharakati walioko ndani na nje ya nji.
Samson Mwigamba.
Ayub Rioba
Absalom Kibanda
Jabir Idrissa
Lulandali mwananzela nk