CCM kujivua ‘gamba’ Dodoma

CCM kujivua ‘gamba’ Dodoma

jamaa anapenda kamera huyu SIFA ZAKIJINGA!
JK KWA TOTOOOOOZI SIFA ZA KIJINGA.
 
Baada ya kujivua gamba sasa kaanza kwa kasi zaidi!!!:A S 465:
 
Picha ya kwanza kwa jinsi binti alivyofurahi kaambiwa 'nimeshakuwekea milioni 20 kwenye akaunti yako tangulia Dodoma nina ziara huko keshokutwa. Alipokuwa waziri wa mambo ya nje mademu wengi walikuwa na namba yake 0744777777.
 

Hawa mabinti wawili wana movie yao mpya inaitwa LIFE FOR LIFE ina Story Nzuri sana na pia Wameicheza vema.

Kudo's Mabinti. Big Up sana, Mwanzo Mzuri!

Ya Mzee wa Kaya nawaachia wenyewe, mie simo.

Peace and Love

Respect
 
Back
Top Bottom