Tofauti yao na sisi ni kuwa wao wanafanya wanachokiamini, lakini sisi tunafanya tusichokiammini. Ndani ya ccm hakuna mwenue mtazamo tofauti na mwezake , tofauti iliyomo ni nani ana fisadi sana na nani anafisadi kidogo , anayefisadi kidogo anataka apate nafasi ya kufisadi zaidi, hii ndo tofauti ya mtazamo wao.
Kwa bahati mbaya hata wapinzani nao hawana mtazamo tofauti na waliomo ccm, kama mtu anafuatilia uhalisia na si ushabiki basi anaweza kubaliana na mimi.
Angalia samples: Mrema tulisukuma hadi gari lake yuko wapi, angalia akina Tambwe, angalia akina Marando na nccr leo wako chadema, angalia akina Lipumba.
Angalia Maalim Seif amesababisha watu kuawa kupoteza wapendwa wao akijifanya anapigania haki hadi machozi yanamtoka leo yuko wapi? Hakuna lolote.