Anaekunyonya unamjuwa mwenyewe.
maccm yanatuchokesha sisi wavuja jasho wa nchi.Ata mafuta ya taa juu!si mgeogeza kodi mafuta ya ndege au mgeongeza kodi kwenye tiketi za ndege!ccm na vibaka mtatuua wenzenu
Anaekunyonya unamjuwa mwenyewe.
Hivi unafikiria vizuri kweli? Unajua kwanini yameshuka bei? Je siku kwenye soko la dunia yakipanda huku watakuja kushusha kodi?Kuongeza kodi kwenye mafuta ni kumnyonga kila mtu.hapo ndipo ninapokukubali faiza halafu hawajui kuwa hiyo shilingi 100 yenyewe inakwenda kusambaza na kupelek umeme vijijini, tatizo lao wanapenda mjini na kusahau babu zao wanaoumia na vibatari
Huyo ajitambuagi kabisamimi huwa na mshangaa sana faizafoxy kwa kutetea vitu ambavyo hata kwa mtu mwenye uelewa mdogo kama sio wa kawaida anaweza kuona hali ilivyo.ni mtu mbinafsi kama ilivyo serikali hii anayohangaika kutwa kucha kutetea utendaji wake.lakini simshangai kwasababu sophia simba alifurahia sana katiba yao pendekezwa hiyo lakini alipokuja kufumbuliwa macho alihamaki na hakuamini alichokuwa anakiona.natarajia siku moja na yeye faizafoxy atafunuliwa macho aweze kuona uhalisia.
Porojo ndeeefu.
Haujuwi kuwa mafuta yameshuka bei zaidi ya hiyo shillingi 100 iliyoongezwa?
Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
maccm yanatuchokesha sisi wavuja jasho wa nchi.Ata mafuta ya taa juu!si mgeogeza kodi mafuta ya ndege au mgeongeza kodi kwenye tiketi za ndege!ccm na vibaka mtatuua wenzenu
Wewe hata haujuwi unachokiongea, tena unaonesha mpaka leo unalishwa, vishwa na kulazwa.
Hii budget iko poa, kinywaji bei ileile, hayo ya diesel mtajua nyinyi.
Wewe hata haujuwi unachokiongea, tena unaonesha mpaka leo unalishwa, vishwa na kulazwa.
Hivi hicho kinywaji kinatengenezwa kwenye mkeka?, kupanda kwa mafuta ni kupanda kwa vinywaji,nguo,mkate na chai ya tsh 200 itauzwa tsh 400, kiberiti cha tsh 100 kitauzwa tsh 500, majani ya chai ya tsh 200, yatauzwa tsh 500 na tumekwambia nauli ndoo usiseme mfano Dar to Moro itakuwa elfu 20, Mwanza kutoka tsh 45000, itakuwa tsh 60, 000!
Pembejeo ndoo usipime ili maskini aendelee kusota kwenye umaskini wa kutupwa!
Hakuna mtu ambaye mafuta hayamhusu,ila kinywaji kuna wengine hakiwahusu.Mafuta hata awe nani lazima yamuathiri
Zile mlizofisadi zingeongeza asilimia ngapi ya umeme vijijiniKuna watu hawajauona umeme vijijini huko toka wazaliwe na sasa hivi wanamika 70, leo wakati wa Kikwete wameanza kuuona. Kabla yaKikwete ni Watanzania asilimia 10 walikuwa na umeme, leo zaidi ya asilimia 35, yeye peke yake kwa miaka 9 tu kishaongeza aslimia 25 ya umeme wote Tanzania. Changanya wote wa kala yake miaka 44 na mkoloni wao hawafikii hata nusu ya umeme aliousambaza yeye, dogo hilo?
Hiyo pesa ndogo iliyoongezwa ni kwa ajili ya huo umeme, ni nini usichokielewa?
Zile mlizofisadi zingeongeza asilimia ngapi ya umeme vijijini
Kwani wewe zaidi ya wale fisi lumumba mnaofuga kuna unachojua zaidi
Kodi imeongezeka ni tatizo,bei ya mafuta inaratibiwa na ewura kulinga na bei katika soko la dunia pamoja na gharama za usafirishaji ,kuongeza kodi unamuadhiri direct mtumiaji wa mwisho
Zile tulizonunulia fuso mbili chakavu kwa millioni 600? au zile tulizojengea mahawara nyumba? au zile za nyumba zetu za London na Dubai?
Ikiwa "fisi lumumba" leo hii ndiyo wanashika dola, sasa jifikirie wewe unaetaliwa na "fisi", tukuite nani?