CCM hapa imewapiga changa la macho Watanzania

CCM hapa imewapiga changa la macho Watanzania

Punguani ni wewe unaodanganya Watanzania kumbuka mnasubiriwa Octobe mpumzishwe

Wewe umekuja na nyuzi reeefu la uogo mtupu. Hakuna ukweli hata mmoja.

Yameongezwa mafuta tu na hayo p
ia ni kwa ajili ya kuwapunguzia wamatatizo Watanzania waliwengo vijijini kwa kwapelekea umeme, zote zilizoongezwa zinakwenda REA.

Kwa mara ya kwanza bajeti yetu haitegemei fedha za nje, kwa mara ya kwanza hakuna msururu wa kuongezwa mi bei ya vitu.

Hivi bado mnalo la kuiponda hapo?

Uje na uongo tu.
 
Porojo ndeeefu.

Haujuwi kuwa mafuta yameshuka bei zaidi ya hiyo shillingi 100 iliyoongezwa?

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?

Kwan si tumewazoe ninyi mafis, mambo ya msingi unasema porojo huku ukijua maisha yamepanda sn nani alinayesababisha ni mafisadi wa ccm,
Mtu kama ww kichwa kiko kitupu kbs haya kachukue buku 7 yako.
 
Mafuta juu! Dolla juu!even through I dont support the oppostion-im not voting for CCM for sure!

Aibu when the MoF has no explaination on anything! She talks about currency stability when the opposite isbhappening in the market! Time for every1 to go!

Hili lishakua tatizo sasa
 
Punguani ni wewe unaodanganya Watanzania kumbuka mnasubiriwa Octobe mpumzishwe

Wewe umekuja na uongo wa hali ya juu, unaandika listi kama vile vitu hivyo vimepandishwa bei kumbe ni upunguani wako na ufataani wako.

Hivi nyinyi fikira zenu mtashika dola kwa kudanganya? mawee!
 
Siyo nnafikiri, nnakuona ulivyo mjinga. Ungekuwa si mjinga ungekuja na uongo mtupu kwenye nyuzi yako?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Siyo= Sio,
Nnafikiri= ninafikiri
Nnakuona = ninakuona.

Btw Weka wewe huo ukweli
 
mafuta kupanda bei kwasasa katika soko la dunia ni ngumu sana.
marekani wameanza kuchimba mafuta ,kwahiyo waarabu wanashusha mafuta ili kuinyima marekani market share.

Huku niliko mafuta tangu juzi yamepanda bei sijui unazungumzia soko la dunia ya wapi.
 
Shule muhimu sana ikiwa u hauendi kusomea ujinga. Kuna vitu vinaitwa "forecasting", soma kijana.
Uzuri tulishawajua tangu zamani,kesho baada ya mafuta kupanda bei mtakuja na visingizio kibao utafikiri mnaongea na mazuzu wenzenu.
 
Hapo unateseka nini wewe punguani? hujaongezewa bei ya chochote kwa mara ya kwanza katika bajeti na hata hiyo ya iliyoongezwa kwenye mafuta bado mafuta utayanunuwa bei ya chini kuliko mwaka jana kulipoongezwa bei ya vitu vingi sana.

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?

nyie mafisadi mnatunyonya sana.
 
yaani wewe ajuza taifa linabahati mbaya

Lina bahati mbaya kwa kuwa na watu kama nyinyi ambao vichwa vyenu ni mizigo, hata fikra havina.

Halafu bado mnauliza kwanini Tanzania haiendelei! Mnanshangaza.
 
Lna bahati mbaya kwa kuwa na watu kama nyinyi ambao vichwa vyenu ni mizigo, hata fikra havina.

Halafu bado mnauliza kwanini Tanzania haiendelei! Mnanshangaza.

mafuta ya taa yamepanda,dizeli,petroli imepanda so multiple effect kwenye mfumuko wa bei.Kila kitu sokoni kitapanda.Wewe ajuza just understand this little consept.Ccm their evils
 
Kwenye moja ya Makala yake kwenye gazeti la Raia Mwema Mwandishi mkongwe ndugu Jenerali Ulimwengu alisema "Siasa yetu imekuwa soko la mitumba,wananchi wanachagua unaonukia zaidi". Kwa kadri siku zinavyokwenda maneno haya yamejihidhirisha ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Watu walewale ambao wameshindwa leo wanawahakikishia wananchi wataweza kupitia taasisi ya urais,wengine wametumika toka enzi za Hayati Mwalimu Nyerere na wamefubaa kifikra na kimaadili leo wanasema wataweza,wengine hawana hata harufu ya "u-president" wanataka na wao wachaguliwe miongoni mwa wale wanaonukia zaidi kwa ufisadi na rushwa.

Ni aibu,ni aibu kwa kwa taifa letu kutumia soko hili la mitumba (CCM) kutupatia vazi la kudhalilisha taifa letu kupitia taasisi ya urais.Tunahitaji vazi jipya ambalo litawavutia watanzania kifikra na kimtazamo kuekekea safari ya uhakika,kufanya maamuzi sahihi katika kipindi hiki kigumu (kisiasa na kiuchumi) katika taifa letu.

Chondechonde watanzania,raisi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hapaswi kutoka Chama Cha Mitumba na hapaswi kuwepo kwenye soko la Mitumba.

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Tanzania itajengwa na watanzania,tunapotaka maendeleo lazima tuyaweke wenyewe,kupanga ni kuchangua umeme vijijini au vibatari, tuchague.
 
Porojo ndeeefu.

Haujuwi kuwa mafuta yameshuka bei zaidi ya hiyo shillingi 100 iliyoongezwa?

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?

Acha kujifedhehesha, mafuta yameshuka bei kutoka shilingi ngapi. Kama hujui kinachojiri kwenye soko la mafuta hapa nchini ni bora ukajinyamazia badala ya kuendelea kuanika upumbavu wako
 
Back
Top Bottom