Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,873
- Thread starter
- #121
Aibu sanaHata ningekuwa mimi Rais umeme.ungekuwa umefika 35% Huoni aibu jamiiforums nzima.pekee yako tu ndo wahangaika na Kikwete
Aibu sanaHata ningekuwa mimi Rais umeme.ungekuwa umefika 35% Huoni aibu jamiiforums nzima.pekee yako tu ndo wahangaika na Kikwete
Muhimu inflation rate ipo controlled wala hakuna shaka.
Tumia fursa ya kushuka kwa shillingi usafirishe bidhaa nje. Hata waziri wa fedha kawaambia hilo bingeni lakini hamjutambui, mimi napeleka mikeka kila kukicha, hivi nna order ya majamvi 500 na mikeka 500.
Kaeni mlale tu.
Hata ningekuwa mimi Rais umeme.ungekuwa umefika 35% Huoni aibu jamiiforums nzima.pekee yako tu ndo wahangaika na Kikwete
Usiyejitambua ndio hujui kitu weweHii ndo tanzania muuza dagaa kaja kufanya projection ya uchumi.eti sukari toka tsh 2200 mpk 4000,,,lol uwe unauliza kwanza kabla ya kupost pumba zako
Serekali za Mita mliyoweka mapingamizi yasiyokua na tija? Lakini Mahakama inawatoa aibu sasa hivi
Hizo ni porojo zisizo na mshiko, mahakama haijaanza serikali za mitaa kupanguwa matokea ambayo hayako sawa. Hukumbuki Makongoro Nyerere alivyoenguliwa Arusha? au ulikuwa bado kichinchiri?
Mwenyezi Mungu akurehemu hujui ulitendalo.
Wewe ni boga kweli mnaenguliwa moja moja
Jikumbushe. Kalenga, Chalinze, kata tatu chopa tatu, serikali za mitaa.
Ukijikumbusha hayo, jibu unalo.
Huyo faiza hata ukimkuta kazimia syo wa kupewa msaada ni kumuangalia tu,ana tete a
Sana ujinga....Oct tutawapa dawa yao
Wewe ni boga kweli mnaenguliwa moja moja
Hivi kweli Watanzania wote 45 millioni wataweza kuuza bidhaa nje!!? Ndiyo maana waswahili wanasema kufa kufaana. Kwa hali ilivyo kuna watu watafaidiaka lakini ni wachache!! Sasa watu hawawezi kuanza biashara ya kuexport leo kwa vile Tsh ime-plunge!!
Hiyo unayodai kuweza kucontrol inflation, it will not happen as long as tunaimport mpaka sindano ya kushonea nguo!! Jiandae kisaikologia!!
Jikumbushe kwanza zile kata nne za Arusha ndio uje hapaHahahahaha utasema sana mwaka huu au tukukumbushe mliyoyasema Kalenga?
Ccm ndio janga walilotupelekea nakutufikisha hapa pabayaWewe kweli zero.
Pole sana. Ngoja nikusaidie.
Ukiuza wewe bidhaa nje, directly na idirectly kuna msururu wa Watanzania wanao support biashara yako. Wabebaji watengenezaji, wafungaji, wasafirishaji, mishahara, marupurupu wote hao wao na familia wanafaidika kwa namna moja au nyengine kupitia wewe msafirishaji mmoja.
Siyo= Sio,
Nnafikiri= ninafikiri
Nnakuona = ninakuona.
Btw Weka wewe huo ukweli
I'm=I am
Can't = can not
I'll=I will
What's the problem?