CCM hapa imewapiga changa la macho Watanzania

CCM hapa imewapiga changa la macho Watanzania

Kama kumpa umeme aliyeko kijijini ni kumuadhiri basi wataadhirika wengi sana.

Au ulimaanisha "unamuathiri"?

Maana wengine shule zenu mmeenda kusomea ujinga.
Zile mafisadi wa ccm walizo chukua zingetosha umeme wa vijijini mpaka wengine wakazita hela za mboga wengine vijisenti
 
Porojo ndeeefu.

Haujuwi kuwa mafuta yameshuka bei zaidi ya hiyo shillingi 100 iliyoongezwa?

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?

wewe naye, kazi moja tu ukikuta uzi unao mchukia Lowassa wenu hapo swadakta!

Unadhani kwa Serikali kuongeza bei ya tozo hakuta sababisha wafanyabiashara kuongeza gharama katika bidhaa au huduma zao??

Toa ushahidi wa jinsi Serikali itakavyo hakikisha gharama zinabakia kama zilivyo leo au kupungua kwa miezi ijayo mara baada ya kuanza kutumika kwa bajeti mpya!
 
Hawezi kukupa ushahidi akili yake imeshatekwa na Mafisadi
 
Watanzania wamewachoka wanawatoa kwenye box la kura october

Mkuu kuwatoa kwenye box inawezekana na kiukweli UKAWA imewahamasisha watu kujiandikisha lakini BVR inaweza kutuangusha, kwani ufanyaji wake wa kazi uko chini ya kiwango.
 
wewe naye, kazi moja tu ukikuta uzi unao mchukia Lowassa wenu hapo swadakta!

Unadhani kwa Serikali kuongeza bei ya tozo hakuta sababisha wafanyabiashara kuongeza gharama katika bidhaa au huduma zao??

Toa ushahidi wa jinsi Serikali itakavyo hakikisha gharama zinabakia kama zilivyo leo au kupungua kwa miezi ijayo mara baada ya kuanza kutumika kwa bajeti mpya!

Ushahidi wanini na hizo fedha unaambiwa zoooote zinakwenda REA, ni nini usichokielewa hapo?
 
serikali ya ccm,imetanganza bajeti ya karibu tilioni 22, ambapo vipaumbele vyake ni posho,safari,semina na kuacha shughuli zinazoweza kukuza uchumi wa nchi kama kuongeza fedha kwenye elimu,afya na tafiti!

Eneo hili limetengewa bajeti kiduchu.

Kingine ni psle,ilipotamka kuongeza tozo ya mafuta toka shilingi hamsini kwenda miamoja hamsini ,

kuongeza gharama kwenye mafuta,ya taa,petroli na diseli ni kuongeza bri ya unga,mafuta ya kula,sabuni,nauli,bri ya mchele,ngano,mkate,na pia gharama za umeme na matumizi ya simu( vocha).

Si hicho tu,kuongezeka kwa tozo hiyo,kunatangaza ongezeko la kodi za pango,kodi za pembejeo za kilimo,bati,misumari,nondo na hata huduma za raia anuai.

Tutarajie maskini kuongezeka,watumishi kuongezewa mshahara toka tsh 298,000 kwemda kwenye tsh 349000! ,ambayo haitawiana na maisha halisi ya kipato chao,hivyo kufanya walimu,madaktari,na watumishi wengine kuishi maisha ya aibu na hata mambo ya tuition,michango ya speed test kuongezeka kila siku.

Kwa bajeti hii,wafanyabiashara hadi july 30 tutarajie;

* sukari kutoka 2200 hadi 4000

* unga kutoka 2000-3500 kwa kilo,

* sabuni kutoka 1000 kipande kwenda 2000,

* umeme kutoka sh 250 kwa unit hadi 500

*nauli kutoka tsh450 hadi 1500,
* nguo iliyouzwa tsh 5000-tsh15000,

* dawa ya malaria,iliyouzwa kwa tsh 2000-4000!

Wakati ndio huu,idadi ya walionachokuongezeka,na wasionachokuongezeka .

Ndani ya bajeti hii ya ccm tunatarajia
*magonjwa kama ukimwi,utapiamlo,amnesia,ahinikizo la damu,moyo nk kuongezeka,
* watoto wasiojua kkk kuongezeka,
* ndoa za utotoni kuongezeka,
* ndoa nyingi kuvunjika,
* kuongezeka kwa watoto wa mitaani,

* rushwa kukita mizizi,

hii ndio ccm inayosema;
* itapambana na umaskini, ujinga ,maradhi ,na ufisadi bila kujenga mazingira yanayowafanya watanzania kujitegemea na kuinua mapato yao ambayo yangesaidia kujenga nyumba bora,kusomesha watoto wao,na kujitibia bila matatizo!

Ccm hapa imewapiga changa la macho watanzania,si serikali ya wanyonge,ipo kwa wenye kwa ajili ya wenye nacho tu!

don't worry my fellow citizens. The night is always dark before dawn. By the will of god, this storm will be over soon, and then we can see the sunshine. Aameeen
 
Ushahidi wanini na hizo fedha unaambiwa zoooote zinakwenda REA, ni nini usichokielewa hapo?

Msiwadanganye wananchi kwa hoja ya REA,tangu 1961-2015 miaka mingapi umeme haukufika vijijini?

Kwetu kuna ziwa lipo km 50 tu, maji lakini hakuna maji,sembuse vijiji 70 vya kwetu mvipelekee umeme!
 
Porojo ndeeefu.

Haujuwi kuwa mafuta yameshuka bei zaidi ya hiyo shillingi 100 iliyoongezwa?

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?

Mafuta yameshuka kwa vile bei kwenye soko la dunia iko chini. Sikilizia music wake baada ya miezi 2 kama thamani ya Tsh itaendelea kuwa above 2000!!
 
Mafuta yameshuka kwa vile bei kwenye soko la dunia iko chini. Sikilizia music wake baada ya miezi 2 kama thamani ya Tsh itaendelea kuwa above 2000!!

Muhimu inflation rate ipo controlled wala hakuna shaka.

Tumia fursa ya kushuka kwa shillingi usafirishe bidhaa nje. Hata waziri wa fedha kawaambia hilo bingeni lakini hamjutambui, mimi napeleka mikeka kila kukicha, hivi nna order ya majamvi 500 na mikeka 500.

Kaeni mlale tu.
 
Msiwadanganye wananchi kwa hoja ya REA,tangu 1961-2015 miaka mingapi umeme haukufika vijijini?

Kwetu kuna ziwa lipo km 50 tu, maji lakini hakuna maji,sembuse vijiji 70 vya kwetu mvipelekee umeme!

Kabla Kikwete hajachukuwa uongozi ni asilimia 10 ya Watanzania walikuwa na umeme kwa miaka yote hiyo kabla yake. Juingia yeye kwa miaka 9 tu sasa, Watanzania asilimia 35 wana umeme. Dogo hilo:

Jifarijini kwa huyo ujinga watanzania wa sasa si wale wazamani

Kalenga, Chalinz, chopa tatu kata tatu, serikali za mitaa ni zamni? Unanchekesha.

Nyinyi ndiyo mijfariji, mnajuwa mziki wa CCM si mchezo.
 
Muhimu inflation rate ipo controlled wala hakuna shaka.

Tumia fursa ya kushuka kwa shillingi usafirishe bidhaa nje. Hata waziri wa fedha kawaambia hilo bingeni lakini hamjutambui, mimi napeleka mikeka kila kukicha, hivi nna order ya majamvi 500 na mikeka 500.

Kaeni mlale tu.
Toka lini ccm wakasimamia kitu kikaenda sawa?
 
Kalenga, Chalinz, chopa tatu kata tatu, serikali za mitaa ni zamni? Unanchekesha.

Nyinyi ndiyo mijfariji, mnajuwa mziki wa CCM si mchezo.
Serekali za Mita mliyoweka mapingamizi yasiyokua na tija? Lakini Mahakama inawatoa aibu sasa hivi
 
Kuna watu hawajauona umeme vijijini huko toka wazaliwe na sasa hivi wanamika 70, leo wakati wa Kikwete wameanza kuuona. Kabla yaKikwete ni Watanzania asilimia 10 walikuwa na umeme, leo zaidi ya asilimia 35, yeye peke yake kwa miaka 9 tu kishaongeza aslimia 25 ya umeme wote Tanzania. Changanya wote wa kala yake miaka 44 na mkoloni wao hawafikii hata nusu ya umeme aliousambaza yeye, dogo hilo?Hiyo pesa ndogo iliyoongezwa ni kwa ajili ya huo umeme, ni nini usichokielewa?
Hata ningekuwa mimi Rais umeme.ungekuwa umefika 35% Huoni aibu jamiiforums nzima.pekee yako tu ndo wahangaika na Kikwete
 
Back
Top Bottom