CCM hapa imewapiga changa la macho Watanzania

Porojo ndeeefu.

Haujuwi kuwa mafuta yameshuka bei zaidi ya hiyo shillingi 100 iliyoongezwa?

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?

Hayo mafuta yaliyoshuka bei unayachimbia wapi, Dodoma au Unguja?

Hiyo shilingia 100 iliyoshuka wakati dola imeongezeka samani maradufu, nafuu iko wapi?

Yeye na wewe nani anayeongea ujinga?

Kwenye ukweli ongea ukweli achana na propaganda za uongo, halafu unajisifia wewe ni muhumini safi lakini uongo ndiyo tamaduni yako wapi na wapi?
 
Katazame bei ya mafuta leo na bei ya miezi sita nyuma. Unaonesha huna hata kibajaji wewe.
 
Una maana hilo ongezeko la kodi litarudisha bei ya mafuta kama ilivyokuwa kwenye kipindi cha miezi sita iliyopita, sasa akili iko wapi?

Unajua wewe mwanamke na vijana waliowengi humu kikitajwa chama tu akili zinawaruka mnashindwa hata kujadili hoja sababu ya mapenzi tu.

Vyama vimewfanya mmelala usingizi wa pono na kupumzisha kabisa fikra zenu, sijui lini mtastuka kutoka kwenye huu usingizi mbaya kwa maendeleo ya nchi hii.

Halafu unajiona msomi mpaka unakejeli wenzako, nchi hii ina shida sana.
 
Wewe hiyo bei iliyoongezwa bado haijafikia bei iliyokuwa miezi sita nyuma na imeonekana ni fursa hiyo ya kupata fedha za ziada kuzielekeza kwenye umeme vijijini. Ni nini usichokielewa?

Hivi wewe unafikiri hii nchi ni ya kitajiri, huo ni ubunifu mkubwa sana wa kusukuma mbele maendeleo kwa kufikisha umeme vijijini. Watu wataanza kusinfika mpaka mazao yako huko huko, hawana haja ya kwenda kilomita 15 au 20 ku chaji simu zao. Ni faraja kubwa sana kwa watu wa vijijini.

Hata vitu vya maendeleo hamvioni? hata sijuwi hivyo vichwa vya watu kama wewe vimebeba nini ndani yake, naona umejibebea mzigo tu usio na mawazo hata chembe.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Wewe hiyo bei iliyoongezwa bado haijafikia bei iliyoukuwa miezi sita nyuma na imeonekana ni fursa hiyo ya kupata fedha za ziada kuzielekeza kwenye umeme vijijini. Ni nini usichokielewa?

Hivi wewe unafikiri hii nchi ni ya kitajiri, huo ni ubunifu mkubwa sana wa kusukuma mbele maendeleo kwa kufikisha umeme vijijini. Watu wataanza kusinfika mpaka mazao yako huko huko, hawana haja ya kwenda kilomita 15 au 20 ku chaji simu zao. Ni faraja kubwa sana kwa watu wa vijijini.

Hata vitu vya maendeleo hamvioni? hata sijuwi hivyo vichwa vya watu kama wewe vimebeba nini ndani yake, naona umejibebea mzigo tu usio na mawazo hata chembe.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Wewe mwanamke bila shaka ni punguani, 70% inatumika kwenye gharama za serikali na zilizobaki ndiyo zinapelekwa kwenye miradi ya maendeleo, halafu unathubutu kuongelea umeme kupelekwa vijijini.

Hivi unaona watu wote wajinga sana si ndiyo? Kama siyo hiyo elimu yako ya ngumbalu basi "menopause" imekujia vibaya.

Zaidi ya miaka 50 ya Uhuru leo hii bado unazungumzia umeme vijijini halafu unajifanya umesoma?

Nipoteza muda wangu kuongea na mtu ambaye, kwanza hata yeye mwenyewe hajitambui hivyo kukupeleka kwenye maswala ya uchumi ni kama kuchoma mahindi tu.

Hii inchi ina mapungufu mpaka akili za raia wake, wewe mwanamke unahitaji matibabu ya Milembe na siyo JF kupiga porojo na propaganda.

Na usisumbuke kujibu ujumbe huu sababu nimefunga mjadala na wewe.
 
Kumbe nnabishana na mtu ambae hata hotuba ya Waziri ya bajeti hajaisikia? itafute mtandaoni uisikilize au uisome.

Waziri kasema mbele ya bunge kuwa 100% ya pesa inayoongezwa kwenye mafuta inakwenda REA kwa ajili ya umeme vijijini.

Wewe unaleta hadithi za maendeleo asilimia 70% sijuwi umeziokoteza wapi hizo porojo zako.

100% ya fedha iliyoongezwa kwenye mafuta inakwenda REA tena alisisitiza hilo mara mbili.

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga na uongo?
 
umbe nnabishana na mtu ambae hata hotuba ya Waziri ya bajeti hajaisikia? itafute mtandaoni uisikilize aau uisome.

Waziri kasema mbele ya bunge kuwa 100% ya pesaa inayoongezwa kwenye mafuta inakwenda REA kwa ajili ya umemem vijijini.

Wewe unaleta hadithi za maendeleo asilimia 70% sijuwi umeziokoteza wapi hizo porojo zako.

100% ya fedha iliyoongezwa kwenye mafuta inakwenda REA tena alisisitiza hilo mara mbili.

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga na uongo?
Angechukua zile zamafisadi kwanza Tanzania ndio nchi ya kwanza duniani fisadi anaombwa kurudisha hela
 
Maajabu ya serikali ya CCM kadri miaka inavyoenda mbele sisi ndo tunarudi nyuma, mwaka jana bajeti kwa ajili ya shughuli za maendeleo zilizokuwa trillion 6,mwaka huu bajeti ya maendeleo ni trillion 5!trillion 17 za matanuzi na kufanyia ufisadi. Kuna wakati najutia kuzaliwa Tanzania
 
Wananchi wamekata Tamaa na nchi yao
 
Back
Top Bottom