Wewe umekuja na uongo wa hali ya juu, unaandika listi kama vile vitu hivyo vimepandishwa bei kumbe ni upunguani wako na ufataani wako.
Hivi nyinyi fikira zenu mtashika dola kwa kudanganya? mawee!
Usitukane
Eleza hapa,hoja ya kupandisha bei ya mafuta inalenga nini?