MANI
Platinum Member
- Feb 22, 2010
- 7,318
- 6,411
Bila kusahau vinywaji navyo vitapanda bei maana kodi kwenye sukari ya viwandani imepandishwa hopefully wenye viwanda watambebesha mzigo mlaji. Safari hii wamejifanya hawakugusa pombe na soda lakini indirectly imepandishwa kupitia import duty ya hiyo sukari.