CCM hapa imewapiga changa la macho Watanzania

CCM hapa imewapiga changa la macho Watanzania

Chademakwanza

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
6,346
Reaction score
1,873
Serikali ya ccm,imetanganza bajeti ya karibu tilioni 22, ambapo vipaumbele vyake ni posho,safari,semina na kuacha shughuli zinazoweza kukuza uchumi wa nchi kama kuongeza fedha kwenye Elimu,Afya na tafiti!

Eneo hili limetengewa bajeti kiduchu.

Kingine ni psle,ilipotamka kuongeza tozo ya mafuta toka shilingi hamsini kwenda miamoja hamsini ,

Kuongeza gharama kwenye mafuta,ya taa,petroli na Diseli ni kuongeza bri ya unga,mafuta ya kula,sabuni,nauli,bri ya mchele,ngano,mkate,na pia gharama za umeme na matumizi ya simu( vocha).

Si hicho tu,kuongezeka kwa tozo hiyo,kunatangaza ongezeko la kodi za pango,kodi za pembejeo za kilimo,bati,misumari,nondo na hata huduma za raia anuai.

Tutarajie maskini kuongezeka,watumishi kuongezewa mshahara toka tsh 298,000 kwemda kwenye tsh 349000! ,ambayo haitawiana na maisha halisi ya kipato chao,hivyo kufanya walimu,madaktari,na watumishi wengine kuishi maisha ya aibu na hata mambo ya tuition,michango ya speed test kuongezeka kila siku.

Kwa bajeti hii,wafanyabiashara hadi july 30 tutarajie;

* sukari kutoka 2200 hadi 4000

* unga kutoka 2000-3500 kwa kilo,

* sabuni kutoka 1000 kipande kwenda 2000,

* umeme kutoka sh 250 kwa unit hadi 500

*nauli kutoka tsh450 hadi 1500,
* nguo iliyouzwa tsh 5000-tsh15000,

* dawa ya malaria,iliyouzwa kwa tsh 2000-4000!

Wakati ndio huu,idadi ya walionachokuongezeka,na wasionachokuongezeka .

Ndani ya bajeti hii ya ccm tunatarajia
*magonjwa kama ukimwi,utapiamlo,amnesia,ahinikizo la damu,moyo nk kuongezeka,
* watoto wasiojua kkk kuongezeka,
* ndoa za utotoni kuongezeka,
* ndoa nyingi kuvunjika,
* kuongezeka kwa watoto wa mitaani,

* Rushwa kukita mizizi,

Hii ndio ccm inayosema;
* itapambana na umaskini, ujinga ,maradhi ,na ufisadi bila kujenga mazingira yanayowafanya watanzania kujitegemea na kuinua mapato yao ambayo yangesaidia kujenga nyumba bora,kusomesha watoto wao,na kujitibia bila matatizo!

Ccm hapa imewapiga changa la macho watanzania,si serikali ya wanyonge,ipo kwa Wenye kwa ajili ya wenye nacho tu!
 
Mie napenda kodi iongezeke mara dufu na gharama za maisha zipande mara dufu,maana watanzania bila kuwaambia kwa matendo hawaelewi,safi sana Mkuya,ungeongeza bei zaidi ya hapo ningefurahi zaidi
Kanga na Tshirt zinawamaliza Watanzania
 
Kanga na Tshirt zinawamaliza Watanzania
For me dependants wangu wanachagua moja mimi au Kanga,wakitaka tuende sawa basi wafuate masharti yangu wakitaka kanga basi hizo hizo ziwape kila kitu,amini nakwambia hamna dependants wangu hata mmoja anayeisujudu kijani,wote tuamke kwa kweli
 
Porojo ndeeefu.

Haujuwi kuwa mafuta yameshuka bei zaidi ya hiyo shillingi 100 iliyoongezwa?

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
 
Porojo ndeeefu.

Haujuwi kuwa mafuta ya mashuka bei zaidi ya hiyo shillingi 100 iliyongezwa?

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
Toka lini Ccm wakashusha bei ya vitu wacheni wongo
 
Mafuta juu! Dolla juu!even through I dont support the oppostion-im not voting for CCM for sure!

Aibu when the MoF has no explaination on anything! She talks about currency stability when the opposite isbhappening in the market! Time for every1 to go!
 
Porojo ndeeefu.

Haujuwi kuwa mafuta ya mashuka bei zaidi ya hiyo shillingi 100 iliyongezwa?

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?

Wewe mama Mpingaji wa kila jambo
 
For me dependants wangu wanachagua moja mimi au Kanga,wakitaka tuende sawa basi wafuate masharti yangu wakitaka kanga basi hizo hizo ziwape kila kitu,amini nakwambia hamna dependants wangu hata mmoja anayeisujudu kijani,wote tuamke kwa kweli
Kikubwa Tujikwamue na mkoloni mweusi
 
Mafuta juu! Dolla juu!even through I dont support the oppostion-im not voting for CCM for sure!

Aibu when the MoF has no explaination on anything! She talks about currency stability when the opposite isbhappening in the market! Time for every1 to go!

Kikubwa tujiepushe na mkoloni mweusi
 
Porojo ndeeefu.

Haujuwi kuwa mafuta ya mashuka bei zaidi ya hiyo shillingi 100 iliyongezwa?

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
Kwa hiyo mafuta yatakuwa yameshuka bei milele na milele hayatakuja kupanda bei?.
 
Porojo ndeeefu.

Haujuwi kuwa mafuta yameshuka bei zaidi ya hiyo shillingi 100 iliyoongezwa?

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?

Haaa kumbe na wewe huwa unakosea,mafuta ya mashuka ndio mafuta gani tena?.
 
Porojo ndeeefu.

Haujuwi kuwa mafuta yameshuka bei zaidi ya hiyo shillingi 100 iliyoongezwa?

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?

Mafuta yameshuka bei na bei ya sukari,nauli,na ya unga?

Usitudanganye nenda madukani kwenye kiruo cha daladala kushuka kwa bei ya mafuta,kama na nauli imeshuka!
 
Back
Top Bottom