Tunaposema ndani ya CCM kuna watu wanahujumiana au wanamhujumu Rais Samia hamtuelewi mambo yanaanza kuwa wazi sasa. Gazeti mama la chama haliwezi kuandika habari hii bila kuwa na mkono wa viongozi wakubwa ndani ya chama.

Mama shituka mapema you will thank me later.

View attachment 1888095

PIA, SOMA:
- Gazeti la Uhuru: Rais Samia hana wazo la kugombea Urais 2025
🖕🖕😃😃😃😃 Necheka mpaka nimetokwa na machozi.Yaani ningeshangaa madam aliwapiga pin mawaziri kusaka Urais afu eti aseme asigombee.

Unacheza na utamu wa kile kiti eti.Mhariri na mwandishi wachukuliwe hatua za kinidhamu.
 
Wanasemaga "mbwa kala mbwa".
Kule masaini tunasema "mbusi kala mamaaakee"
E8fzMlVWEAEwUcZ.jpeg
 
Hawajui CCM ni taasisi siyo individuals kama ilivyo kwingine
Ni lijoka lenye vichwa saba, limeshindikana. Kilitabiriwa kufa since 1992, leo miaka 29 mbele kinazidi kupaa. Leo hii CDM na mbwembwe zao zote wana mbunge mmoja (sijui hata kama bado anavaa jezi za CDM), madiwani hawazidi 5 and hawana mwenyekiti wa serikali ya mtaa hata mmoja. Badala wahangaike kujenga chama chao wao wanarukia propaganda za CCM kuwatoa kwenye reli.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Tunaposema ndani ya CCM kuna watu wanahujumiana au wanamhujumu Rais Samia hamtuelewi mambo yanaanza kuwa wazi sasa. Gazeti mama la chama haliwezi kuandika habari hii bila kuwa na mkono wa viongozi wakubwa ndani ya chama.
...
Jinsi kete anavyozicheza yule jamaa uongo zambi anajua kusoma hali ya uwanja sio siri.
 
Mambo mengine siyo ya kuzunguka zunguka.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama kimsingi ndiye mkuu wa vyombo vyote vya mawasiliano katika ngazi ya sekretarieti.
Chini yake yupo Mkuu wa vyombo vya habari ambaye ni Dr Sungura.

Katika dhana ya uwajibikaji wa pamoja hapa anayepaswa kunyooshewa kidole ni Shaka kwa sababu habari inayolalamikiwa inamgusa mkuu wa nchi na Amiri jeshi mkuu.

Haiwezekani gazeti likaandika habari ya kumuhusu mwenyekiti wa chama ambaye ni Rais wa JMT bila mkuu wa uenezi kuwa na taarifa.
Ingekuwa ni typing error tungemalizia hasira zetu kwa mhariri lakini hili la maudhui linaenda mbali zaidi.

Tusitafute mchawi!
 
Tunaposema ndani ya CCM kuna watu wanahujumiana au wanamhujumu Rais Samia hamtuelewi mambo yanaanza kuwa wazi sasa. Gazeti mama la chama haliwezi kuandika habari hii bila kuwa na mkono wa viongozi wakubwa ndani ya chama...
Kuna shida gani huko CCM?
 
Ni lijoka lenye vichwa saba, limeshindikana. Kilitabiriwa kufa since 1992, leo miaka 29 mbele kinazidi kupaa. Leo hii CDM na mbwembwe zao zote wana mbunge mmoja (sijui hata kama bado anavaa jezi za CHADEMA), madiwani hawazidi 5 and hawana mwenyekiti wa serikali ya mtaa hata mmoja. Badala wahangaike kujenga chama chao wao wanarukia propaganda za CCM kuwatoa kwenye reli.
Mkuu mimi si mumini wa vyama, ila tuzungumze ukweli, hivi unaweza kujivunia hawa wabunge walioingia bungeni kwa kila hila mbaya. Hivi hata maamuzi yao huyaoni kwa jinsi yasivyobeba matakwa ya wananchi?
 
Tunaposema ndani ya CCM kuna watu wanahujumiana au wanamhujumu Rais Samia hamtuelewi mambo yanaanza kuwa wazi sasa. Gazeti mama la chama haliwezi kuandika habari hii bila kuwa na mkono wa viongozi wakubwa ndani ya chama...
Hakukuwa na haja ya kutoa hili tamko ili, mosi gazeti ni lenu wenyewe, pili hakuna mtu anasomaga gazeti la uhurusiku hizi mie kwanza sikujua kama bado linatolewa. Kwa tamko lenu ndio sasa watu wengi tumejua kuwa kuna gazeti la uhuru na limeandika nini.

Kitu mgefanya mgetoa kanusho kwenye "font fade" ya gazeti hilo keho mkielezea hatua mlizochukua ikiwa ni pamoja na kutimuana nyie ndani kwa ndani kuliko "kudondosha taulo hadharani" ..Ila kuna watu wajeuri yaani unaweza ukamdharau Rais (Mwenyekiti wako wa Chama ) na Boss wa gazeti lako kwa kiwango hiki!
 
Back
Top Bottom