Elli
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 55,180
- 85,339
Hahahaah tutasubiri muda ukifika tutafukua tu MakaburiUnajifariji bure mkuu! Hiyo habari itapotelea hewani tu hutona hata harufu yake tena kuanzia kesho tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaah tutasubiri muda ukifika tutafukua tu MakaburiUnajifariji bure mkuu! Hiyo habari itapotelea hewani tu hutona hata harufu yake tena kuanzia kesho tu.
Ccm ione vile vile!Hahahaah tutasubiri muda ukifika tutafukua tu Makaburi
Kwakweli anatia huruma, lakini muda bado anao wa kurekebisha makosa au ndio kajambia maji mazima?Mwisho kaja kuharibu pande zote mbili na Sasa hana mtetezi.
Kiufupi mama kajamba kwenye maji
Aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!! Nacheka kama mabaya haya!!!Mkuu chadema wengi bado wanahisi anaewaonea sasa hivi Magufuli!
Sasa ukiona wanavyosema wateule wa tokea Magu wanamuangusha mama unajiuliza yeye mama ni mteule wa nani?
Walaani waandishi wa Uhuru na Mwenezi wako Shaka waliotoa siri ya chama hadharani badala ya kutumia vikao vya chama.Wewe ni mnafiki haswa ,tena laanakum
It's only easy if someone else is doing it!!!Uongozi wa nchi upo kwenye autopilot
Mama alianza na kujitofautisha na Magufuli akatengeneza split loyalty...
Tunaposema ndani ya CCM kuna watu wanahujumiana au wanamhujumu Rais Samia hamtuelewi mambo yanaanza kuwa wazi sasa. Gazeti mama la chama haliwezi kuandika habari hii bila kuwa na mkono wa viongozi wakubwa ndani ya chama...
Tuliwambia nyie Magufuli aliwachalaza akiwa hai na bado atawachalaza akiwa mfu!
Kwenye suala la miamala mlisema Mwigulu kafanya vile ili kumuangusha mama, lakini rais akaja akasema kwa mdomo wake kwamba waliweka huzo tozo kwa nia njema tu.
Juzi kahojiwa mambo mbalimbali na kutolea ufafanuzi ila nyie bado mnafikiri ni Magufuli ndio anaefanya kazi pale ikulu
Yani hata baada ya Maguli kufariki bado mnahisi mnaonewa na Magufuli.
Basi tuseme hata Mbowe kakamatwa na Magufuli
Namhujumuje?
Umeongea sahihi kabisa!..tunachotaka ni haki sawa kwa watanzania wote.
..masuala ya " kuchalazana " ndio uonevu tunaouzungumzia.
..masuala ya tozo serikali inatakiwa kujifunga mkanda na kupunguza matumizi mabaya yasiyo ya lazima.
..moja ya matumizi mabaya ni ununuzi wa magari ya kifahari. Manunuzi hayo ya kifahari ni mzigo kwa walipakodi.
..Pia kuna utitiri wa watumishi wateule ambao hawahitajiki, kwa mfano, ma-dc. Majukumu ya dc yanaweza kutekelezwa na das.
..baada ya serikali kukaza mkanda ndipo itakapokuwa na uhalali wa kuweka tozo ktk miamala. Na tozo za miamala ziwe ktk kiwango ambacho wananchi watamudu.
Umeongea sahihi kabisa!
Lakini mimi nilikukoti kulingana na hoja yako kwamba wateule waliokuwepo toka enzi za Magu ndio wanamhujumu mama!
Yani mnaamini kuanzia kodi, kukamtwa kwa mbowe na kuzuiliwa kufanya siasa ni hujuma toka kwa wateule wa magufuli kwenda kwa mama!
Hivi Majaliwa amhujumu Samia ili apate nini kwa mfano?
Kwanza team nzima inayomsadia pale ikulu ukiacha mawaziri aliiteua yeye baada ya kuondoa wale wa Magufuli.
Yani bado manaamini manonewa na Magufuli hata baada ya Magufuli kufariki
Nina hakika hata Uhuru litafungiwa tu...hamna namna...serikali isipolifungia Uhuru itakuwa a bad precedent kwa media nyingine zote ambazo zitakuwa zikifa zikifanya makosa na kutaka zisifungiwe....Hii habari ingeandikwa na Tanzania daima leo leo waziri angelifungia kwa muda usiojulikana
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app