Mleta thread nipe namba yako ya kadi..
Mkuu usiwe na wasi wasi CCM ikianguka kwenye uchaguzi ujao basi jipe moyo kitarudi madarakani miaka mingine. Hautakufa lkn cha moto utakiona ndugu yangu kwa mtaji huo. Pole sana jitahidi kujitoa kwenye hayo mapenzi ya chama utaumia bure
du? kwel wana jf mmepewa kazi na cdm, yaani mnaanzisha mada alafu mnajijibu wenyewe, hakuna mwana ccm wakuja kupost vitu km hiv huku, kwanza tangu lini mtu anajikosoa mwenyewe, vijana achani kupoteza muda fanyeni kazi, hii sio kazi koz no products, haifai kujenga nchi japokuwa nalipwa lkn no production of goods and services hence it got no effect in economic wise
nape chukua hii, maana we ni una utajiri wa matusi tu, hata vi-miradi vya mbogamboga sijui kama unavyo
Kwani chama kikishindwa uchaguzi ndio kinakufa?
Hakuna asubuhi isio na jioni, wala hakuna leo isio na kesho! jiandae
Hivi viko wapi?
- KANU
- UNIP
- UPC
- MNC
kuweka nadhiri kama hizi ni mbaya sana kisaikologia.
Kuna mzaha gani hapo? umaskini mbaya ndugu.. kusema ccm damu yangu namaanisha mengi!!
Hivi viko wapi?
- KANU
- UNIP
- UPC
- MNC
Habari!
Binafsi hili vuguvugu la kuiponda ccm na kuiona haifai linaniumiza sana,
Nimezoea kula bure (kula kwa kupitia deals).
Nasafiri bure (nadhani hapa ni kwa kodi za walala hoi).
Chochote nitakacho napata kwa sababu CCM ipo madarakani, rafiki zangu kibao wamepata ajira kubwa kubwa regardles ujuzi wao mdogo na elimu yakuunga unga walionayo,(wawili wapo bandari, wanne wapo maliasili) just because ccm ndiyo wameshikilia dola.
Nina magari zaidi ya mawili, i got them kwa sababu tu ccm iko madarakani.
Ninavyosikia juu ya kufa kwa CCM naweweseka sana jamani.
Ila ninaamini CCM wakishindwa 2015.
Tupo wengi sana tutakao kuwa maskini, si mimi peke yangu.
Machale yananicheza sana.
Akina riz washajiwekewa njia m'badala yakujinasua endapo chama hakitaingia madarakani 2015.
Tunapambana kwa kila njia kwa maslai yetu, umaskini si mzuri jamani!
Maisha yakupanda bodaboda na kugombania daladala ni magumu jamani.
Nitafurahi ccm isipokufa niendelee kuishi kwa ubwerere.
Hata wenzangu nao watafurahi..