CCM damu yangu! Ikifa na mimi Nakufa..

CCM damu yangu! Ikifa na mimi Nakufa..

Teh..teh...teh...wameshakwisha, tunasubiri siku, japo wabishi,kwa sasa wamezama kubuni jinsi ya kuiba kura....hapo patachimbika!..wawe wapole mafuriko yanakuja, ukiyazuia unasombwa!...usicheze na mtu aliyedhurumiwa na kunyanyaswa....hatutaki tena hizi mbichi
 
wow what a good news...kufa tufanye sherehe...kufa hata sasa
 
Teh..teh...teh...wameshakwisha, tunasubiri siku, japo wabishi,kwa sasa wamezama kubuni jinsi ya kuiba kura....hapo patachimbika!..wawe wapole mafuriko yanakuja, ukiyazuia unasombwa!...usicheze na mtu aliyedhurumiwa na kunyanyaswa....hatutaki tena hizi mbichi

thats what we are doing, to use our all power to remain in domination!!
 
Maisha ni kupokezana vijiti. usihofu mzee, waswahili husema Muosha huoshwa. upande mwingine Masha kidogo azimie lakini hata baada ya kung'atuliwa sa hivi anakula maisha ulaya tu huenda kwa kuwekeza uswis.
 
We hujajua..
Anakula hayo maisha kwa sababu tu! Ccm ndiyo watawala.
 
Copy kwa
Ritz, Sumu, hamy d, ze marcopolo, stroke, chama na ndugu zangu wengine wote.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna chama kingine zaidi ya ccm kuitawala tz wengine Woote wachovuu we ukiona wapi chama jina DJ padri muasi gaidi na mbakaji hata watoto wa chei chei hawawezi kichagua ni disaster
 
ha ha ha ha...haijanipa mke! nilioa mwenyewe. nilipata faida kubwa siku ya ndoa, just because wanaccm walihudhuria wengi..

Hahaahahahaha!ingekuwa imekupa ungekuwa umeoa fisadi

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hakuna chama kingine zaidi ya ccm kuitawala tz wengine Woote wachovuu we ukiona wapi chama jina DJ padri muasi gaidi na mbakaji hata watoto wa chei chei hawawezi kichagua ni disaster

Unanipa moyo sana!
 
Mie naona ulichoandika sicho unacho maanisha! Ni mtazamo wangu tu.
 
Haya hapa chini yapo Post #107 ya uzi huu>>>>>
[h=2]Dalal kafumu aludishiwa ubunge wake[/h]
Kuna" tathmini" imefanywa na matokeo yanaeleza kuwa CCM itakuwa vigumu kuiangusha kiutawala kwa sababu viongozi na makada walio wengi katika chama hiki kwa sasa ni wale ambao maisha yao yote yanategemea kuipigia debe CCM kama chanzo cha kujipatia kipato...hivyo wakati wowote ule wako tayari "kufanya chochote" kwa yeyote kwa kuhakikisha hiki chama hakin'goki utawalani 2015. Maana Bila CCM kuwa utawalani watu hawa watashidwa kuishi.

Tathmini hiyo ilitoa majina ya baadhi ya viongo

Je. Upo mkakati wa kukabiliana na hawa ?
 
Back
Top Bottom