- Thread starter
- #101
Laana khum ccm! Tena ikifa isiende peponi haistahili! Imetutesa sana! Puuuuuuuuuuuuuuu!
wenzangu kina Shigela wanawapenda sana wadada wazuri kama wewe..
Ukiwa ccm pia kuna uhakika wa wasichana wazuri...
Laana khum ccm! Tena ikifa isiende peponi haistahili! Imetutesa sana! Puuuuuuuuuuuuuuu!
So brother kaka,kwa kuwa CCM imeshaanza kufa polepole huku ikiugulia maumivu makali ina maana na wewe pia umeshaanza kuoza na kunuka ukisubiri kifo tu.?Tunaopanda bodaboda na daladala ni wengi kulinganisha na rulling class mnaopanda hayo ma VX
CCM imara; kula mpunga wako utulie; vitakufa vyama vya ruzuku; CCM ni chama cha wananchi
Mkuu wamekimbia kilimo wamekimbilia Dar kazi hawana utailaumu vipi serikali wakati umekimbia kazi iliyokupa kipato? warudi vijijini wakalime tujenge taifakweli mkuu cha ajabu wanataka kutuambia shida zinaletwa na sisi kumbe sio kweli hata kidogo
Hakuna chama kingine zaidi ya ccm kuitawala tz wengine Woote wachovuu we ukiona wapi chama jina DJ padri muasi gaidi na mbakaji hata watoto wa chei chei hawawezi kichagua ni disaster
Mleta mada umenyaku ovyo kama bata. Watu hawana Imani saaana na cdm ndiyo sbb ccm bado inatesa.
Hapa ni wazi ni mbinu za serikali kupitia jeshi la polisi kudidimiza upinzani lakini wamesahau kuwa haya ndio yalisababisha mauaji ya kimbari rwanda.
Hivi hapa si kwamba walikuwa wanasubiri giza liingie au tuchelewe kumaliza mkutano halafu bomu lilipuliwe kuwamaliza viongozi huku majajusi wengine wakiwa wamejipanga na kusubiri kama walengwa wasipokufa basi wawamalize kwa risasi kwa maana muda watu watakuwa ni mvurugano na hakuna mwenye kumuangalia mwenzako bali kila mtu kutaka kujiokoa?????
najaribu kuchora hapa ndani ili niweze kurudisha tukio nyuma ili tuweze kupredict matokeo ya kila aina ya mipango ya kimafia.
Napendekeza CHADEMA tuongeze PRIVATE SECURITY AGENCY wa kutosha kulinda mikutano yetu,hawa maharamia hayajaishia hapa!!!!!!!
Kuna nyuzi huku JF zinakwaza sana.
Kufa tu! Tena ufie chooni
Mchumia tumbo
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
hongera mkuu umeweka wazi msimamo wako
Hata mchawi baada ya kuua sana watu akikaribia kufa huropoka na kuyasema yote aliyotenda.
Kuna nyuzi huku JF zinakwaza sana.