Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,156
- 137,180
Ha ha, idont even know yu n so she mght think i ma nuts to try n hook her up 2 someone i dont even no......ntajaribu kumsendia hiyo avatar pic yako,do you have eni sisters?And i know you also got a couple of em chicks in here
I miss Mwafrika wa Kike for real tho..... ha ha!
Hizo Itikadi kaeni nazo mkuu tunataka kuona mnafanya mavitu. Sii mara ya kwanza nimesema hivi, kwani niliwahi kuwa nyuma ya Chadema kwa Itikadi yao mara wakageuka na kuchukua mrengo wa kushoto..Kwa wale ambao wangependa kutoa mawazo ya kiitikadi, mfumo au mwelekeo wa CCJ unaweza kuwasiliana nami. Kumbukeni kama nilivyodokeza mapema mwaka huu, mabadiliko siyo tunayoyangojea, bali tunayojiletea!
mimi ni mjumbe wa CCJ,kwakifupi tutapata usajiri wa kudumu ingawa tendwa alitaka kutumika na CCM hapo kutunyima ila imeshindikana kwa kuwa kigogo mmoja ambae atahamiahivi karibuni nae anatisha katika taifa hili kamwogopa...nchi tunaichukua 2015
No staki,naonwa una washwa washwa,sasa Ngabu ni watu wa wapi?Ama nyani?Just hook me up and the rest we'll sort it out along the way...au hutaki niwe shemeji 'ako bana.....wee mangi vipi
No staki,naonwa una washwa washwa,sasa Ngabu ni watu wa wapi?Ama nyani?
Una haki kufanya hivyo, hawa jamaa wanaweza kuipunguzia CHADEMA kura na matokeo yake idadi ya viti maalum ikapungua na hapa ndio chuki inapoingia, noma sana.
.Pasco, msajili wa vyama vya siasa anathibitisha tu kuwa zile chembe zilizoko kwenye ubongo wake hazifanyi kazi sawa sawa. NInasema hivyo kwa sababu msajili wa vyama vya siasa asiposajli vyama vya siasa anaweza vipi kuwa msajili wa vyama vya siasa?
.
Yes ni Msajili, ila atatoa usajili anapojisikia, tangu siku ile alipotoa usajili wa muda kwa CCJ, alisema wazi, hakiwezi kushiriki uchaguzi wa mwaka huu kwa sababu, amekipa miezi 6 ya kutafuta wanachama, ila pia alisema mwaka huu wote ofisi yake itaskuwa bize na mambo mengine, hivyo hatakuwa na muda wa kufanya uhakiki. Sasa leo ndio nimemsoma kumbe hana hela za kuhakiki!.
Kisheria hajafanya kosa lolote, hata akiwa na fedha, na akapanga uhakiki wa CCJ kuanza August baada ta NEC kukamilisha mchakato wa wagombea, there is nothing anybody can do, to pressure him.
CCJ Mtafanyaje?, ila a serious note, kama issue ni fedha, it is not!, zipo tele!.
Anapita huku na kule kuelimisha sheria mpya ya uchaguzi ili isivunjwe na vyama vya siasa (ambavyo hataki kuvisajili !)Yeye anaitwa Msajili wa Vyama vya Siasa! Kama hafanyi usajili au kuwezesha usajili kufanyika kwa harak a inavyowezekana anafanya mambo gani mengine?
Acha wengine wetu kina siye tushudie kwa macho, na kusikia kwa masikio yetu hicho ambacho CCJ watafanya baada ya kudhulumiwa na kuonewa kwa kunyimwa usajili, na hapo ndipo uthibitisho wa Jee kweli CCJ ni chama kidume au..Tutafanya kile ambacho kimeshinda vyama vingine kufanya wanapodhulumiwa au kuonewa na watawala.
Hizo Itikadi kaeni nazo mkuu tunataka kuona mnafanya mavitu. Sii mara ya kwanza nimesema hivi, kwani niliwahi kuwa nyuma ya Chadema kwa Itikadi yao mara wakageuka na kuchukua mrengo wa kushoto..
Hivyo maadam Itikadi zilizopo ni mfumo uliopangwa na wazungu kulingana na mazingira yao, kwetu sisi bado kabisa...Ni asilimia 10 ya population wanafahamu maana ya Itikadi inavyojenga mrengo, waliobakia ni maskini wenye njaa akili zao zimefunga kufikiria ama kutambua. Kuwavuta watu kama hawa unatakiwa kuwa na bakuli la Ubwabwa ambalo CCM wamelibeba..
Kazi ni moja tu kuliputa bakuli hilo na sidhani kama Ubavu mnao...Hapa ndipo umuhimu wa kutafuta nguvu mpya toka wanachama wengine kujenga jeshi la kupambana na CCM. Msitegemee sympathy, kwani historia inatuonyesha wazi kwamba Wadanganyika kwa asili yetu ni woga na wanafiki..Ni matunda ya Utumwa mabyo CCJ hamuwezi kuepuka kwa hizi ibada za Kiitikadi..
Majibu rahisi kwa maswali magumu kama afanyavyo JK! Vyombo vya dola ndivyo vimevifikisha vyama vingine vya upinzani hapo vilipo. CCJ msidhani tayari mmesimama, hata kukaa ili mtambae bado.bado mnafikiria in terms of CCM na upinzani.. you need to widen the spectrum of possibilities..