CCJ kuanza Charm offensive! - Ask your questions!

@Masa huyu GS kaandika ukweli, ila nashangaa kwa kusema hakueleweka. Ebu sema wapi ukumuelewa? Aliosema ndio ukweli ambao hata mimi siku zote nimekuwa nauona. Na hasa huku kwa vyama pinzani.
Utashangaa mizunguko ni mule mule tu.
Mi adui yangu ni sisi M. tu, anguko lake ni nafuu ya nchi hii full stop sijali litaletwa na CCJ au Chadema hata hivyo tunahitaji muda sana kuifahamu sana hii CCJ. Kwa uzoefu wangu katika masuala ya vyama vya upinzani, uangalifu ni muhimu la sivyo unaweza kujikuta na wakina Lyamwai, Wasira, Amani K, na wengi wanaofanana na hao wengi tu!!!!!!!!
 
Siipendi hii sredi.......,,,,,,,,,///????

Una haki kufanya hivyo, hawa jamaa wanaweza kuipunguzia CHADEMA kura na matokeo yake idadi ya viti maalum ikapungua na hapa ndio chuki inapoingia, noma sana.
 
hawa viongozi wanaohamia CCJ kabla hakijapata usajili wa kudumu wana nishangaza sana.mie naona wange vuta subira kidogo mpaka kikapata usajili wa kudumu nao hao wahusika kamili wakaijitokeza na kuweka mambo yao wazi ndio watu wjaiunge.


Hiki chama nina wasi wasi nacho kidogo manake njia chafu ziko nyingi sana siku hizi,kinaweza kikawa kinatumiwa na CCM ku-destroy upinzani.hawa viongozi wanavyoamia hamia alafu siku ya misho tunaambiwa kimenyimwa usajili wa kudumu itakuwa kasheshe sana.


Hiki chama kina uwezo mkubwa wa kuugawanya upinzani ambao tayari ushagawanyika vya kutosha kuliko kuigawanya CCM.
 
Acha upuuzi,wengine wapuuzi hamfatilii mjadala inavyotakiwa,mnarukia rukia tu issue,go ef n c where it cums from quit being a moron....eti emotional,kama unataka hoja kwa hoja nieleze where exactly you can justify yur crap.

this is wht I'm talking about listen to yourself.r u 17 mr. Mangi?
 

Jamani hii CCJ itatuuwa kwa BP mwaka huu...
 

yaani bado unaamini kuna big fish nyuma yake? why can't you accept just a pure truth kuwa ni chama kilichoanzishwa na watanzania wa kawaida kabisa. Madai ya big fish hayajatolewa na CCJ bali na watu wengine.
 



CCJ kuna mawili, kundi la wavurugaji wenye mpango mahususi wa kumaliza upinzani, au Team kabambe ya ukombozi; hata hivyo bodo ni mapema sana kuwagundua, ila wanamwelekeo mzuri, hasa pale wanapogonga Nyundo kichwani mwa CCM.

Ifahamike kwamba, wapiganiji wengi wa CCM wamekuwa ni mabingwa wa U-turn, angalia issue ya Richmond, wameonyesha msimamo weeee ilipofika wakati mwafaka wamuumbue mkuu na marafiki zake mafisadi wote kimmmmyaaaa, kama mbwa koko! bora hata mbwa koko anabweka ....

Hotuba ni nzuri lakini bado hazijawapambanua CCJ kama chama mbadala kama jinsi wanavyojitangaza,


Keep it up CCJ,
 
hawa viongozi wanaohamia CCJ kabla hakijapata usajili wa kudumu wana nishangaza sana.mie naona wange vuta subira kidogo mpaka kikapata usajili wa kudumu nao hao wahusika kamili wakaijitokeza na kuweka mambo yao wazi ndio watu wjaiunge.

jamani, wanaojiunga sasa wajiunge, hakuna viongozi walio nyuma zaidi ya hawa mnaowaona. Ili kuwahakikishia kuwa CCJ hakitegemei vigogo wa CCM utaona mchakato wa kusimamisha wabunge wa CCJ utakamilika kabla watu hawajatupwa na vyama vyoa. CCJ haitapokea makombo! Wanaotaka kutoka na watoke sasa mapema.



hawawezi kukinyima usajili wa kudumu.


Hiki chama kina uwezo mkubwa wa kuugawanya upinzani ambao tayari ushagawanyika vya kutosha kuliko kuigawanya CCM.

siyo jukumu la CCJ kuwaunganisha wapinzani na kuna wakati kugawanyika ni muhimu.
 

Nimekupata ms Felister,plus i have a sisister named Felister....Kiukweli hata hivyo huwa napenda sana michango yako,thats fosho!

However back to the main point,plz i beg not to be naive! Mwamko unaouzungumzia,ulikuwepo hata mara baada ya uhuru kupatikana,kulikuwa pia na mwamko kama huu wa sasa na ccj wakati wa Mrema kujitoa ccm....Nilijiamini na kuwa bold hadi mwisho,and that really hurst if yu trully believed either yo self or even the leaders whom you had faith with, but neverthe less, they let ourseleves down,and beacause i was also bold,believing and confident that now changes will happen and trulyl believed that everybody else just had da same morality i had...That they also believed in the movement,still i felt lika've took ma self down just as much as Mrema and Marando took us down,we should learn from mastakes....The you of now is da sme mi of those days!Tulisukuma mashangingi sana na kufikiria kwamba yes this is the time!yu prob no da rest!

Kuna watu/wanasiasa wana voting blocks zao ambazo ni almost guaranteed no matter what their perfomance is in a national level,wakirudi majimboni wanapokelewa kwa furaha,na sherehe huku wakiwa na uhakika wa kurudi bungeni,ni tataizo ambalo lazima tudeal nalo kwani ni kikwazo cha kuweza kusonga mbele.....Kwa maana either mshirikane na vyama vingine ama muanze kukijenga chama chenu na kusahahu mambo ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu,na pia niliposema kuwa nasubiria,hapo mimi ni kama mwananchi wa kawaida tu,na si eti nataka kuwa free rider,no miss,i am an independent minded person,halafu i reasonn logically,maybe coz of ma left handed brain,ambao wengi wetu huendeshwa kwayo....The opposit is artistic ppl.....those rgt handed brains.

Ukifuatilia,wabunge wanaochaguliwa mara nyingi wanakuwa ni wale wale....Hujiulizi why?Ama unadhani kuwa ni tataizo la boldeness?

Ukujaribu kunibrand mtumwa kwasababu nimesema nasubiria viongozi wazalendo ambao nina imani nao,viongozi kutoka kwenye vyama mbali mbali ccm ikiwemo,basi wewe ndo utakuwa umefikiria kitumwa,and illogically!kwasababu huwezi kuushinda utumwa mwenyewe,knowledge will....,Times has changed,ingekuwa wakati wa Jesus christ,ni imani tu na pambio vilivyowachomoa Paulo na Sila lupango,same thing applies here,ila reality NI LAZIMA IWE ON THE TABLE during those important decisions,kwa taarifa yako,sidhani kama wananchi walio wengi wasio na walo ccj wanajua kuhusu itikadi za ccj,wengine ni fuata upepo(JK alisema hao ni 70%) Pia nsikufiche,kwasababu nyie wengi wenu ni wasomi sana na mnasahahu hali halisi ya wananchi na the way they think,mnaweza kukwama kwasababu hamjui umaarufu wa chama hicho umetokana na sera zinazoendana na mawazo ya mwalimu,na nadhani lengo ni kwenda kurekebisha kuanzia pale tulipokwama, pia uwepo wa taarifa(unajuwa wabongo kwa kuamini gossips/rumours) kwamba kuna viongozi wazalendo watakaotoka ccm na kujiunga ccj,wengine walikanusha except Mpendazo aliyefanya kweli.....Sasa nadhani ungewalaumu hao ambao bado hawajajitoa ccm kuwa na wao wawe bold kujitoa sasa na si kusubiri upepo wa kisiasa ama kuona sapoti yao kwa wananchi ni nzuri,fanya hivyo kabla ya kuniambia mimi dat nosense.

Narudia dada/mama,please dont be naive,mambo yamebadilika,kwa mfano back in a day mkiwa vitani halafu kulikuwa hakuna stratrgically retreats,ni mbele kwa mbele bold as ever ready to die,tena inasememekana enzi izo ukirudi nyuma askari mwezio anakulima shaba! retreat ili kuweza kujipanga tena vyema,hilo constituted to being a coward,kama wewe ni mmojawapo wa waanzilishi,basi naona unajihisi kama uko cloud 9....

Hata hivyo bado naamini kuwa kuna mambo mnayajua na sisi hatuyajui na ndio maana unatoa msisitizi kwamba everything is fine...Ni muhimu kuwa na hope,lakini also to bring in the reality,imani pekee haitoshi,na sidhani kama ccj inaongozwa kiroho,however bible yenyewe inakwambia uwe mjanja kama nyoka na mwerevu kama njiwa(naweza nikawa nimeswitch) na huku nyoka huyo huyo akiwa ni kiumbe kilicholaaniwa!.....tukija kwenye politics tunakwenda na reality,Mrema was even a bigger fish than Mpendazoe.

Maneno uliyoyaweka hapo juu yanafaa zaidi kanisani,kuwatia moyo ndugu na wanachama wenzako kwamba they tay bold and so forth.....Tuna shida ya viongozi makini kusema ukweli na si itikadi,kama nia yenu ni kukijenga chama kwanza kabla ya uchaguzi ili kushinda ni lazima watoke wazalendo wengine kutoka huko ccm.....Ni wananchi wachache sana wenye independent minds,wengi wao wana wafuasi....Kwasababu wananchi wengi wanaweza wasijitoe ccm kama wafuasi wao wasipofanya hivyo....Fatilia endorsements ni muhimu sana,hata Gen Colin Powell ni republican lakini ali muendorse Obama,na ndio mojawapo ya sababu zilizomfanya akashida!

Kama alivyosema Mkandara hapo nyuma,pointi ambayo nimeizungumzia pia,wananchi dont really care about itikadi,at least the majority poor,na kwahivyo namna ya kuwapata haiwezi kuwa eti ni chama chenye itikadi nzuri persee,mtawapata wasomi ambao ni wachache! Ukitaka kurelate na mwananchi ni lazima uzungumze lugha yao,yani kuwaelimisha based on the levels of their understandings na kuwasaidia kufika kwenye land of milk and honey kwa kwa kuzibadilisha weaknesses zao to strenghth,that can be done in many ways.

Ukitakamimi nijinge na ccj kabla ya kuuliza maswali ambayo nadhani ni muhimu,halafu wewe kuja hapa na kudai eti sina confidence,ooh eti cjui uniazime moyo wako?Senseless,pelekea hayo kanisani,hizi ni politics,na ndio maana unaambiwa kuna malaya wa kisiasa,yani leo unaamini kweli kweli,kesho unashangazwa na vitendo......Otherwise kama nilivyomwelezaMkjj kuwa you guys mgt no smthing others dont,that creates a sense of euphoria amogst ya'll and a really surprise to many me been one of em....Ni surprise kwasababu kile wengi walichotegemea kuhusiana na ujio wao,ni kui mega ccm!

I am still waiting,thats just ma 2 cents ma'
 
this is wht I'm talking about listen to yourself.r u 17 mr. Mangi?
Man plz quit talking from yo "ass"
Nataka utundike excactly ambacho kilipelekea wewe kudhani mimi ni hivi ama vile,weka line 2 line hoja kwa hoja,na baako ndo mangi,mpuuzi nini?How yu no ma tribe,think beyond your ass!
 
mimi ni mjumbe wa CCJ,kwakifupi tutapata usajiri wa kudumu ingawa tendwa alitaka kutumika na CCM hapo kutunyima ila imeshindikana kwa kuwa kigogo mmoja ambae atahamiahivi karibuni nae anatisha katika taifa hili kamwogopa...nchi tunaichukua 2015
 
yaani bado unaamini kuna big fish nyuma yake? why can't you accept just a pure truth kuwa ni chama kilichoanzishwa na watanzania wa kawaida kabisa. Madai ya big fish hayajatolewa na CCJ bali na watu wengine.

MKJJ,lazima kuwe na credible endorers mkuu msije chekesha,smone from no where cant just do it by themeseleve endorments ni mojawapo ya misingi itakayotukika kavla ya wengi wa wananchi kujiungaa,i mgt be wrong,but lets wait n c ,hawezi tu kuaminiwa.....Hata mwalimu mwenyewe had to come out and campaign for Mkapa,kwasababu alikuwa eti "Hajulikani" sasa cjui alikuwa hajulikani na nani maana alishashika nafasi mbali mbali ikiwa mwandishi wa mwalimu,Daily news pamoja pamoja na wizara ya science na tech,kwa hiyo point yangu ni kwamba ni muhimu hizo rumours za hao wazalendo/wapiganaji kuhamia ccj zikawa kweli,la sivyo hatutapata mbadala wa ccm kama tunavyotaka iwe,ruours hizo zitawaangusha kama si kweli watajitoa...Mark ma words!

kama Bob anavyopendelea kusema watu na mazingira,ndiyo hiyo kwamba kuna watu na mazingira flani flani ambayo yata create suistanability...Ni kweli madai hayo ya big fish hayakutolewa na viongzi,hata hivyo maybe directly,lazima mwanzisha rumor ni mpenzi wa ccj,ni rumours zilizowapa wengi from that sevente pasenti.
 
Hook me up dawg.....

Ha ha, idont even know yu n so she mght think i ma nuts to try n hook her up 2 someone i dont even no......ntajaribu kumsendia hiyo avatar pic yako,do you have eni sisters?And i know you also got a couple of em chicks in here
I miss Mwafrika wa Kike for real tho..... ha ha!
 
Man plz quit talking from yo "ass"
Nataka utundike excactly ambacho kilipelekea wewe kudhani mimi ni hivi ama vile,weka line 2 line hoja kwa hoja,na baako ndo mangi,mpuuzi nini?How yu no ma tribe,think beyond your ass!

wooh ,what offended u about the offer to be Mangi? Ok sorry I should choose my words so careful ,maana hata vitabu vinasema kuna watu inabidi kuwachukulia kwa uangalifu.Ok please tuachane na haya ya to n fro ningependa nifatilie mjadala.But for curiosity are u he or she? Cuz I called u bro n other dont like when get mixed up.
 

Avatar yangu certainly haisemi mangi,tunachukulina jinsi ilivyo nuttin more....Ama we Adrian Mutu?And on the gender issue,dats non of yur f bizz....If i dont know yur gender,then yu need not to know minez,tumia jina la kwenye avatar kama unajidai wewe mstaarabu,mangi and other crap pembeni....Na wewe pia jichukulie kiuangalifu....Turudi kwenye mjadala tusipende kudandia dandia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…