Wanawake wajibikeni; hamna haki ya kupewa hela na wanaume

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Ndugu zangu haijalishi wanawake watakuja kutukana hapa na baadhi ya wanaume wapumbavu watakuja kutema mapovu hapa kutetea ujinga wa hizi sampuli ila ukweli ni kwamba wanawake hawana haki ya kutudai tuwape hela wanapaswa kuwajibika na wao kuzitafuta kihalali.

Wakuu nayasema haya kwa sababu kadiri siku zinavyo zidi kusonga kumezidi kuibuka wimbi kubwa sana la upepo mchafu wa wanawake kudai wana haki na ni amri sisi wanaume tuwape hela na kuwahudumia kwa kila namna swala ambalo siyo kweli bali wanawake wanajidanganya na kujipotosha kwa hali ya juu sana.

Wanawake wakae wakijua hawana haki ya kutudai na kujiona ni lazima tuwape hela pindi tuwapo nao kwenye mahusiano ya aina yeyote yale wakae wakijua swala la kupewa hela siyo haki yao bali na wao wenyewe wanapaswa kutafuta hela zao kwa nguvu zao wenyewe na kutusaidia kuendesha maswala ya kiuchumi maana wao ni wasaidizi wetu, na wanawake wa fahamu wazi kabisa siku zote msaidizi anakusaidia na siyo kukuchuna na kukupiga mizinga mizito mizito

Wanaume kumpa mwanamke / mpenzi wako hela hilo siyo jukumu letu wanaume na siyo haki ya mwanamke kupewa hela wala kutudai hela na wakati mwingine kutumia nguvu, kututukana, kutuona washenzi , bahili na hata kutunyima utamu tukigoma kutoa hela.

Mwanamke anayedai hela huyo ni kausha damu , mwanamke wa kweli na anaye kupenda hawezi weka hela kama kipaumbele chake na haki yake bali ata kutii na kukuheshimu kama mwanaume wake na pia atakuwa na wewe akiamini hela zipo tuu napia atawajibika binafsi kujishughulisha kutafuta na yeye hela zake ili asiwe mzigo kwa mwanaume wake.

Hawa wanawake wanaodai wana haki ya kupewa hela na wanaume au kuhudumiwa na wanaume hawanatofauti na wafanyabiashara wa miili yao, wanaume fungukeni mnanyonywa damu na maji kwenye miili yenu ndiyo maana mnatembea barabarani mmekonda nguo zinawadondoka, presha na visukari na maradhi ya moyo yasiyo isha na mwishowe kufa mapem kabisa na kuwaacha wao

Mwanaume haiwezekani utafute hela kwa shida alafu aje mwanamke kwa kisingizio cha mapenzi pasi na kukuonea huruma anadai umpe hela kama haki yake, utasikia ni hudumie , mara njaa kibao , mara shida zisizo isha anakubambika li mzigo lizito uteseke nalo mpaka ufe masikini na umekunja sura kwa uchungu wa kudaiwa hela

Asikubabaishe usipo mpa hela atakunyima utamu, wao hawana utamu, utamu tunao sisi wapo wanawake wengi wasio omba omba wa hela tafuta pole pole achana na kausha damu hela siyo haki yao lazima wa wajibike wanawake
 
Kuwapa hela sio wajibu, bali ni hiari ya mtu. Unaweza amua kuwapa au kutowapa. Na katika Hali ya kawaida, kitu chochote ambacho ni cha hiari hakitakiwi kukutesa au kukuumiza.

Point yangu ni kwamba, wanaume wanaowapa wanawake zao hela sio maboya. Na wale wasiowapa wanawake zao hela, sio mabahiri/wajanja. Ni vile Kila mmoja anatumia uhiari wake kwenye utekelezaji wa haya mambo. Hakuna anayetakiwa kumrecruit mwingine ili aende upande anaoamini yeye.
 
Ngoja kwanza, kwenye mahusiano yoyote unaamanisha mpaka kwenye ndoa?

Uzuri sisi Waislam dini yetu imetupa muongozo bora kabisa MaashAllah, wala hakuna mjadala.
 
Mzee upo sawa. Ila inatakiwa ujue hapo unataka kuponesha dalili, bila kujua chanzo. Chanzo ni kutoka kwenye familia zetu na familia zetu tunazoendelea kuzijenga.

Mfumo unaanzia kwenye malezi unaweza piga kelele bila kujua na wewe unachangia kwenye chanzo.

Chanzo ninachokiona mimi ni namna hawa wabinti wanavyolelewa nikiwa na maana wanabanwa sana kiasi cha kutokujua namna ya kuishi mazingira tofauti na nyumbani.
Binti anapewa jukumu la kufanya kazi za nyumbani day in day out. Akili yake inakuwa haijengwi katika uwezo wa changanua mambo na ndio maana hata wanarubunika kiraisi kwa waganga, wachungaji feki na utapeli.

Wakati uwo kijana wa kiume anakuwa hayupo looped kwenye kazi za nyumbani muda mwingi yupo nje ya dimba kuexplore dunia kwa namna yake kadri ya umri wake. At time anakuwa anajenga marafika na connections za mambo mbali mbali ya maisha ya baadae.

As time goes, akili ya kijana wa kiume inazidi kuadvance kulingana na interaction zake duniani. Na binti kutokujua afanye nini baada ya kukua na hivyo utumwa ( ndoa) kubakia ndio way out.

Nimeita ndoa ni utumwa kwa sababu asilimia zaido ya 95. Ndoa nyingi africa ni mwanamke kumsaidia mwanaume na kumsaidia uko ni kufanya nini ni kazi za nyumbani.

Hivyo kufanya binti wawe tegemeze wakati wote katika ngazi yoyote.

Uwo ni mtazamo wangu.
 
You are so bitter about women kwani walikufanyaje mkuu?
Nawapenda sana wanawake mimi, ila napenda kuwaaambia ukweli. Mimi kwa wanawake unichomoi hasa mwanamke ajue kunikamata ila hela kumpa siyo haki yake ni hiari yangu. Akileta uhaki ana zikosa mchana kweupe

Mimi vipaumbele vyangu
1: hela
2: Wazazi wangu
3:Wanawake
4: Ulevi wa pombe kali
 
Back
Top Bottom