...Capt. John Komba aliudanganya Umma!


Wewe uwezo wa kujenga hoja na kunifanya nikubaliane na wewe huna, unachojua ni kuniambia mimi sina akili, nakubaliana na wewe akili sina lakini angalau nina uwezo wa kutofautisha picha feki na picha halisi.

Tiba
 
unaposema mtu ni kioo cha jamii inamaanisha kwamba kile anachokifanya hata jamii anayoingoza inafanya pia,........

Mimi nazani kama vyombo vya habari vingekua vinawapa nafasi kubwa viongozi ambao wanafanya mambo mema ingekua poa sana, hawa wachafu wapelekwe mahakamani na ushahidi upelekwe huko kama wamevunja sheria, hakuna haja ya kutoa picha chafu kama hizo kwenye magazeti.....
 
Kitu kinaitwa Maadili Tanzania hakitumiki kabsa Viongozi wote hadi Ukawa hawatambui uwepo wa Maadili ,vijana siku hizi wanavaa nguo chini ya Ma.ta.ko na Wadada nao vinguo mitego vimeshamiri ndio Maana akina komba na Machemli wametegwa wakanasa kirahisi hv. Siku akitokea kiongozi jasiri Kama marehemu Sokoine mwenye msimamo,asiyependa kufanya kazi kwa kujaribu jaribu,asiyefaMnya kazi kwa kuiga Nchi za ulaya na Marekani ktk suala la maadili,nina hakika Maadili yakirejeshwa kwa vitendo pasipo ubabaishaji hivi vitendo vya akina komba na wenzake vitabakia Kuwa Historia tu.
 
Hahahhaaaaaa, mtamuua huyu mzee jamani. Halafu inawezekana alikuwa akiyafayanya hayo usiku ule ule alipokuwa akimaliza kuhutubia!!!!!
 
ITV wachokozi sana, wanatoa ile speech ya JKN kuwa waziri wa UK alikumbwa na kashfa ya ngono! anasema PM wala hakusoma barua yake bali alibariki huyo waziri kujiuzulu!!! Komba na Waziri Kamani wazee wa MCHEPUKO wanaweza kujiuzulu kweli? I doubt ....
 
Mawazo yako ya mahakamani si mabaya lakini swali ni nani atawapeleka huko mahakamani ? Upo tayari wewe kuwapeleka mahakamani? Ujue mahakama zetu wapo busy na mlundikano wa Kesi ? Je? Unafahamu Kuwa mwenye pesa ndio mwenye Haki hata Kama ana kosa? Acha mahakama washughurike na kesi zingine za wananchi ,akina Komba na wazinzi wenzao wataadhibiwa hapa hapa JF Maana Michango ya wana JF ni mwiba mkali na mtambo wa kurejesha nidhamu.
 
ITV wachokozi sana, wanatoa ile speech ya JKN kuwa waziri wa UK alikumbwa na kashfa ya ngono! anasema PM wala hakusoma barua yake bali alibariki huyo waziri kujiuzulu!!! Komba na Waziri Kamani wazee wa MCHEPUKO wanaweza kujiuzulu kweli? I doubt ....
Bongo kujiuzulu kwa kashfa ya Ngono ni mwiko . Ni marufuku bongo kujiuzulu watajiuzulu kwa mambo mengine si Haya ya faragha.
 

.......lol.....arrgh....arifu! we unataka JF ifungiwe?!!.....acha hizo arifu!...
 

Hili dude ndio maana kina mpoki wanaliigiza,kumbe ujinga wake ni wa kweli!
 
.......lol.....arrgh....arifu! we unataka JF ifungiwe?!!.....acha hizo arifu!...

Labda tuwatajie
Hiyo lodge inatwa

BLUE ROSE

UKIFIKA .MEEDA NJIA YA KWENDA HOSTEL ZA CHUO ZAMANI UKIPITA MBELE KUSHOTO KUNA LOJI NYEUPE UKITAKA MORE INFO UTAKUTA

DADA MOJA LA KINGONI LINAMZIGO ADIMU UKO ....LIPE BUKUKUMI TU ANAKUPA INFO oTE
 
Wenye verse ya mgeni mgeni mgeni ameingiia mgeni ....embutiwekeeni hapa
 
Kapteni Komba kama namuona vile presha inapanda presha inashukaaaa...teh teh!!!
 
Pengine WENGI WANAJIULIZA PICHA ZIMEPATIKANAJE

HUYO ALIETEMBEA ANA RAFIKIYAKE WA KIKE ALIPOMWOMBA SIMU AKAANZABKUCHUNGULIA PICHA ALIPOZIONA ZA KINGORA WETU AKAZIRUSHA FASTA KWENYE WATISAPU YAKE SHUGULI IKAANZIA HAPO NANSIO MPAKA ....
 
Perception is everything reality is nothing. New world order.
 
eti yule ni mpiga kura wake alikuwa mgonjwa ndio maana alivaa kanga komba akiwa full nguo
komba aalienda kumjulia mgonjwa hali

Huyo Komba ni bora angekaa Kiimya kuliko kujichanganya na kujidhalilisha zaidi , namshauri Kama Kama akitaka watu wamsamehe ni bora akili kisha aombe radhi kidogo itaweza kumsaidia .
 
Kapteni Komba kama namuona vile presha inapanda presha inashukaaaa...teh teh!!!

Huenda akakimbilia Mbugani kujificha kwa aibu Maana sasa kila anapopita ananyooshewa kidole na watu.
 
Bongo kujiuzulu kwa kashfa ya Ngono ni mwiko . Ni marufuku bongo kujiuzulu watajiuzulu kwa mambo mengine si Haya ya faragha.

Ni kweli Tanzania kuwajibika ni Jambo gumu sana ! Ukiona kiongozi kajiuzulu basi ujue kajiuzulu kwa Mbinde ! Tz kila kitu ni mbinde mbinde kasoro ufisadi tu ndipo Hakuna mbinde.
 
Wanatufanya kuwa watu hatuijui wala kuitumia photoshop . yani izo pics hakuna edit ata moja hapo ,
hawa wabunge wangekuwa wanajua,wangekuwa wanakaa kimya tuu .
ili msimu wa kashfa zinazowakumba nazo zipite.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…