komba hana adabu na ccm wote
mkuu hii ni adhabu kubwa sana, punguza kidogo.komba hana adabu na ccm wote
Wadau,
Juzi hapa zilisambaa picha tofauti za mheshmiwa huyu akiwa na wadada wawili tofauti katika mionekano ya kuashiria kuna mapenzi baina yao. Kama kawaida ya wanasiasa wengi walivyo waongo, Mheshmiwa huyu alikimbilia Clouds FM kukanusha kuhusika kwake kwenye picha hizo.
Pamoja na sababu zingine, Mheshmiwa huyu alidai kua Picha za Uso/Sura/Kichwa chake zilitumika kuunganisha kwenye kiwiliwili cha mtu mwingine aliekuwepo na huyo dada ili ionekane ni yeye wakati sio kweli.
Sasa hapa chini zimenaswa picha mbalimbali za Mheshmiwa huyu akiwa na Nguo zilezile alizozikataa hapo mwanzo kua sio yeye bali sura ndio ilikua ya kwake.
View attachment 163506
View attachment 163507
Nawasilisha!!
sifa zote mbaya anazo hata biashara ya dona anafanyabado zipo picha chafu akiwa na lulu....
huyohuyo na komba anatakiwa kuchunguzwa.Lulu yupi?au Lulu Wa Kanumba?
Mwenye simu ya mama komba naiomba kusudi na mimi nimgebedue hahahahaha:smile-big::smile-big::smile-big:
Hizo za Komba ni picha halisi lakini za yule Mkerewe, ni za kuchonga!!!!! Sijui akili za watu wengine, yaani unakwenda kwenye mchepuko halafu unakubali kupigwa picha?
Tiba
sasa mgonjwa mbona baadae katoa kanga kabaki manyonyo wazi!
Laana hii ya kumtukana Jaji Warioba kwamba ni wa hovyo. John Komba ni mzigo ndani ya CCM.komba hana adabu na ccm wote
Wadau,
Juzi hapa zilisambaa picha tofauti za mheshmiwa huyu akiwa na wadada wawili tofauti katika mionekano ya kuashiria kuna mapenzi baina yao. Kama kawaida ya wanasiasa wengi walivyo waongo, Mheshmiwa huyu alikimbilia Clouds FM kukanusha kuhusika kwake kwenye picha hizo.
Pamoja na sababu zingine, Mheshmiwa huyu alidai kua Picha za Uso/Sura/Kichwa chake zilitumika kuunganisha kwenye kiwiliwili cha mtu mwingine aliekuwepo na huyo dada ili ionekane ni yeye wakati sio kweli.
Sasa hapa chini zimenaswa picha mbalimbali za Mheshmiwa huyu akiwa na Nguo zilezile alizozikataa hapo mwanzo kua sio yeye bali sura ndio ilikua ya kwake.
View attachment 163506
View attachment 163507
Nawasilisha!!
Laana hii ya kumtukana Jaji Warioba kwamba ni wa hovyo. John Komba ni mzigo ndani ya CCM.
Hivi kweli ni uzito woote ule kuna kazi gani anaweza. Posho za Ubunge zinamtesa tu.
Kwani wewe una visasi gani na Komba? Maana umeng'ang'ana na thread hii tokea majuzi! Au ulikuwa dem wake akakugegeda na kukupiga chini nini!?