...Capt. John Komba aliudanganya Umma!

...Capt. John Komba aliudanganya Umma!

Hizo za Komba ni picha halisi lakini za yule Mkerewe, ni za kuchonga!!!!! Sijui akili za watu wengine, yaani unakwenda kwenye mchepuko halafu unakubali kupigwa picha?

Tiba

Duuu Tiba umenifurahisha sana, sijui niombe mechi ya mchepuko na weye?
 
Wadau,

Juzi hapa zilisambaa picha tofauti za mheshmiwa huyu akiwa na wadada wawili tofauti katika mionekano ya kuashiria kuna mapenzi baina yao. Kama kawaida ya wanasiasa wengi walivyo waongo, Mheshmiwa huyu alikimbilia Clouds FM kukanusha kuhusika kwake kwenye picha hizo.

Pamoja na sababu zingine, Mheshmiwa huyu alidai kua Picha za Uso/Sura/Kichwa chake zilitumika kuunganisha kwenye kiwiliwili cha mtu mwingine aliekuwepo na huyo dada ili ionekane ni yeye wakati sio kweli.

Sasa hapa chini zimenaswa picha mbalimbali za Mheshmiwa huyu akiwa na Nguo zilezile alizozikataa hapo mwanzo kua sio yeye bali sura ndio ilikua ya kwake.
View attachment 163506

View attachment 163507

Nawasilisha!!

Wewe kiboko kweli!

Hapumui tena!
 
Mkuu kuna watu huwa tunashindwa kuedit tarehe ya kamera iendane na tarehe ya tukio. Nna picha nilipiga 2013 lakini zina tarehe ya 2009. Kwenye tarehe ya picha inategemea na mpigaji ana ujuvi gani na camera yake

Ninashukuru maana nilitaka kuandika kitu hicho hicho.
Tarehe inayotoka kwenye picha inatokana na setting ya kwenye camera.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ana watoto 9.mke wa ndoa watoto 5 na wengine 4 kila mmoja na mama yake!mpaka hapo umeshamjua kuwa ni mtu wa namna gani

Jamaa ni dume la Mbegu................... yaani maisha ya leo bado kuna watu wanazaa watoto 9 tena wengine nje ya ndoa!! Labda amewapata na pesa ya Ubunge ................maana pesa ya Ualimu au Jeshi isingetosha. Anyway, halafu usije shangaa kesho yupo jukwaani anajaribu kuwaasa wananchi kuhusu UKIMWI .................. Hivi kweli kuna mtu atamsikiliza!!??
 
mzee bado damu inamchemka....anaiaibisha familia yake
 
kurudiarudia nguo kumemponza tehe tehe tehe,angetafuta jezi la kufanyia michepuko
 
wazee wa sinza madukan kwa ndani ivi hahahah si namnan bhana wscha tu akane bure hata watoto wa ombolo kule dodoma wanamjua vizuri
 
Jamaa ni dume la Mbegu................... yaani maisha ya leo bado kuna watu wanazaa watoto 9 tena wengine nje ya ndoa!! Labda amewapata na pesa ya Ubunge ................maana pesa ya Ualimu au Jeshi isingetosha. Anyway, halafu usije shangaa kesho yupo jukwaani anajaribu kuwaasa wananchi kuhusu UKIMWI .................. Hivi kweli kuna mtu atamsikiliza!!??
Wadanganyika hukubali kila kinachotoka kwa mwanasiasa, usishangae mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom