kurudiarudia nguo kumemponza tehe tehe tehe,angetafuta jezi la kufanyia michepuko
Sema picha ya kwanza tarehe inaonesha 06 01 2004 unataka kusema mh huwa apiti piti Mr Price kufanya shopping?Wadau,
Juzi hapa zilisambaa picha tofauti za mheshmiwa huyu akiwa na wadada wawili tofauti katika mionekano ya kuashiria kuna mapenzi baina yao. Kama kawaida ya wanasiasa wengi walivyo waongo, Mheshmiwa huyu alikimbilia Clouds FM kukanusha kuhusika kwake kwenye picha hizo.
Pamoja na sababu zingine, Mheshmiwa huyu alidai kua Picha za Uso/Sura/Kichwa chake zilitumika kuunganisha kwenye kiwiliwili cha mtu mwingine aliekuwepo na huyo dada ili ionekane ni yeye wakati sio kweli.
Sasa hapa chini zimenaswa picha mbalimbali za Mheshmiwa huyu akiwa na Nguo zilezile alizozikataa hapo mwanzo kua sio yeye bali sura ndio ilikua ya kwake.
View attachment 163506
View attachment 163507
Nawasilisha!!
Tabu ni kwamba atavalia wapi, maana akivalia home mke atagundua kinachokwenda kutendeka, na hawezi kuvalia kwenye gari, atageukaje nafasi mle ni ndogo mwili ndo huo? Labda anunue Noah maalum kwa shughuli hizo, ila kwakweli kazi anayo, maana keshaonja nyama ya mtu sijui ataachaje
Sema picha ya kwanza tarehe inaonesha 06 01 2004 unataka kusema mh huwa apiti piti Mr Price kufanya shopping?
hahaha kwa hiyo................:music::music:Huu mwili kupata aina ya nguo uipendayo ni vigumu sana.
Kwa hiyo hata hizo chache ulizonazo unajitahidi kuzitunza sana maana zikipotea au kuharibika ni vigumu kupata zingine!!
Wadau,
Juzi hapa zilisambaa picha tofauti za mheshmiwa huyu akiwa na wadada wawili tofauti katika mionekano ya kuashiria kuna mapenzi baina yao. Kama kawaida ya wanasiasa wengi walivyo waongo, Mheshmiwa huyu alikimbilia Clouds FM kukanusha kuhusika kwake kwenye picha hizo.
Pamoja na sababu zingine, Mheshmiwa huyu alidai kua Picha za Uso/Sura/Kichwa chake zilitumika kuunganisha kwenye kiwiliwili cha mtu mwingine aliekuwepo na huyo dada ili ionekane ni yeye wakati sio kweli.
Sasa hapa chini zimenaswa picha mbalimbali za Mheshmiwa huyu akiwa na Nguo zilezile alizozikataa hapo mwanzo kua sio yeye bali sura ndio ilikua ya kwake.
View attachment 163506
View attachment 163507
Nawasilisha!!
Wadau,
Juzi hapa zilisambaa picha tofauti za mheshmiwa huyu akiwa na wadada wawili tofauti katika mionekano ya kuashiria kuna mapenzi baina yao. Kama kawaida ya wanasiasa wengi walivyo waongo, Mheshmiwa huyu alikimbilia Clouds FM kukanusha kuhusika kwake kwenye picha hizo.
Pamoja na sababu zingine, Mheshmiwa huyu alidai kua Picha za Uso/Sura/Kichwa chake zilitumika kuunganisha kwenye kiwiliwili cha mtu mwingine aliekuwepo na huyo dada ili ionekane ni yeye wakati sio kweli.
Sasa hapa chini zimenaswa picha mbalimbali za Mheshmiwa huyu akiwa na Nguo zilezile alizozikataa hapo mwanzo kua sio yeye bali sura ndio ilikua ya kwake.
View attachment 163506
View attachment 163507
Nawasilisha!!
Tabu ni kwamba atavalia wapi, maana akivalia home mke atagundua kinachokwenda kutendeka, na hawezi kuvalia kwenye gari, atageukaje nafasi mle ni ndogo mwili ndo huo? Labda anunue Noah maalum kwa shughuli hizo, ila kwakweli kazi anayo, maana keshaonja nyama ya mtu sijui ataachaje
- Yaaani great thinkers tumefikia kujadili mambo ya mapenzi ya watu, duh!!
Le Mutuz System
Duh, so unamaanisha hata nguo pia zilitengenezwa?- Hivi ni mjinga gani Duniani anayeweza kutengeneza picha zenye nguo ambazo huna anyetaka kukuchafua na zile za mbunge wa UKAWA umeziona kaka?
Le Mutuz System
Hahahahaaa,usinichekeshe kiongozi,mshale kwao chakani...... anapaswa kwenda msituni .
Sema picha ya kwanza tarehe inaonesha 06 01 2004 unataka kusema mh huwa apiti piti Mr Price kufanya shopping?
- Yaaani great thinkers tumefikia kujadili mambo ya mapenzi ya watu, duh!!
Le Mutuz System
kama hajiheshimu afanyajwe- yaaani great thinkers tumefikia kujadili mambo ya mapenzi ya watu, duh!!
Le mutuz system