Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

Angalia hzo zsizokuwa na mchujo unaweza pata picha
Kuna fani hazina ushindani mfano office attendant ni mala chache sana kumkuta Mtu ana cheti cha Form 4 akaenda kusoma Office attendant na wengi wale wasiokuwa na vyeti ndiyo husoma kozi kama hizi walau wapate fani za kuwakwamua hivo ndo maana zinapotokea nafasi kama hizi hawa watu ambao huwa na Form 4 certificate+cheti cha kozi huwa sio wengi wametumia ujanja maana hii kazi hata mtu wa Darasa la 7,form 4 au Six anaweza fundisha in a week tu kutumia zile vifaa basi na kazi ndogo ndogo za kubeba ma kutafuta ma file ma zamani zilikuwa zinaonekana hazina maana ila wangeweka kigezo cha cheti hiko tu pekee tungetegemea watu wangekuwa wengi kupita maelezo huu ni mtazamo wangu kupitia nachofahamu.
 
Mkuu wameku short list?

Academic transcript ndio nn wadau.naomba mnitoe tongotongo hapa
 
Ukaombe Interview wewe kama nani mkuu?
Binafsi niliomba kada ya security guard, nikaweka vigezo vyote unfortunately sioni jina langu!!, what is wrong?
Nafikiria niende tu nikaombe interview, je nitakubaliwa?
 
Asante mkuu.nimekupata uzuri mkuu
Academic transcript ni cheti kinachoonyesha grades za ufaulu wa masomo uliyosoma katika course yako, ni kwa certificates, diploma, degree na kuendelea. Kama ni form four au six haya mambo ya transcript hayakuhusu, usichanganyikiwe
 
Back
Top Bottom