Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

Kulingana na tangazo lao, "Mwombaji ambaye atajaza taarifa zote mhimu ana uwezekano mkubwa wa kuitwa kwa ajili ya usaili ".
Hapo nimejaribu kuweka baadhi ya nukuu ya tangazo lao.
Kama unaona una sifa zote, nenda utumishi kabla ya siku ya usaili, peleka malalamiko yako pale.Ukiwashawishi vizuri utaruhusiwa kufanya usaili. Kila la heri mkuu.
 
Day hatari kwa mikozi yote nilopiga +na nyongeza kibao jina langu halipo hata post moja na kwa majina mengi hivi,duh kweli bongo bila mjomba ni bure.
 
Usihudhunike mkuu kuna mda PSRS unaweza ukawa na sifa zote ila wakakukacha ni hivo tu wakiamuaga ishatokea mala kadhaa japo mala nyingi huwaita watu karibia wote waloomba.
 
JKT nilimaliza mwaka 2015, na kuhusu cheti cha form 4 nnacho.
Kwenye kuattach vyeti Vyangu ilisoma 84% .
Ulimaliza mujibu au kujitolea? Maana kuna washkaji zangu kama 8 walitoboa mkataba wale wa kujitolea wameomba na wote wameitwa. Nashawishika kusema labda kipaumbele ilikua kwa hao kwanza baadae hao wa mujibu japo tangazo halikubagua hivyo. Ila haya ni mawazo yangu tu.
 
Hivi kwani mujibu anakuwa awarded boss?
 
Hivi kwani mujibu anakuwa awarded boss?
Ndio, anapewa cheti ambacho kinakua na muda aliotumikia JKT i.e 3 months. Kwa wa kujitolea akitoboa pia anapewa cheti kinachoonesha alitumikia JKT kwa miaka miwili.
 
Usihudhunike mkuu kuna mda PSRS unaweza ukawa na sifa zote ila wakakukacha ni hivo tu wakiamuaga ishatokea mala kadhaa japo mala nyingi huwaita watu karibia wote waloomba.
shukran mkuu ila duh bora nizidi kujikita kwenye kujiajiri tu kuliko kupoteza muda kwa hayo bure
 
Kujiajiri hakukuzuii wewe kufanya na hili pia boss wangu hahah mi pia mbona niko huko ila huku ikitokea napiga tu.
 
Back
Top Bottom