Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

jonx

jonx

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2019
Messages
205
Points
250
jonx

jonx

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2019
205 250
kwenye huu uzi wapo kama watatu hatuwezi kosa wote asee
 
H

heavens

Member
Joined
Jul 16, 2018
Messages
36
Points
125
H

heavens

Member
Joined Jul 16, 2018
36 125
saw ila kwa watu 200 kuna watu 85 wanajua lugha ya malikia vizuri japo sina imani kulingana na level ya elimu, na hao kuna watu 50 wamepga vizuri mgulani, japo ngoja tusubili ila mi sikumaliza ata dk.3
Oral interview ina jumla ya marks ngap? Kwani mliambiwa mtajumlishiwa na practical?
 
jonx

jonx

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2019
Messages
205
Points
250
jonx

jonx

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2019
205 250
Oral interview ina jumla ya marks ngap? Kwani mliambiwa mtajumlishiwa na practical?
practical 60 na oral 40, walisema watajumulisha ila hakuna mtu mwenye uhakika, maana wengne wanasema hatua ikipita imepita ila kipindi tuko mgulani HR wa utumishi alsema watajumulisha ila hakuna mwenye uhakka
 
Mr Morogoro

Mr Morogoro

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2019
Messages
854
Points
1,000
Mr Morogoro

Mr Morogoro

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2019
854 1,000
na unajua account tech, control tower, occ officer, nurse midwife, lab tech, operation clerk, technician civil, tech mechanical, tech electrical, fire fighter, artisan 01 electr, pamoja na driver wote ao walkua chini ya 100 ko napinga yule alosema kada zote zlkua chini ya 60
Dogo usiwe mbishi sana....wewe tangu mwanzoni nakuona unabishana tu humu na watu wanaojua hayo mambo
 
jonx

jonx

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2019
Messages
205
Points
250
jonx

jonx

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2019
205 250
Mdau wangu aliiona karatas yenye majina yetu, alikua karibu na msaili aliyetuita majina.
Sisi wamechukua written performance watajumlisha na oral performance then watagawa kwa mbili.. Wastan wako ndo your final results, labda ndo utaratibu mpya..

So aliyepasua written ana possibility kubwa ya kushinda
na uyu apa unamuona
 
A Boy From Kigoma

A Boy From Kigoma

Senior Member
Joined
Feb 3, 2018
Messages
186
Points
250
A Boy From Kigoma

A Boy From Kigoma

Senior Member
Joined Feb 3, 2018
186 250
Interview Kama Paper Za National Unajipa Matumaini Unapiga 1 Result Ikitoka Una 3
 
jonx

jonx

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2019
Messages
205
Points
250
jonx

jonx

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2019
205 250
mtihani ni form four ata kama vyeti wengi wanasema havisaidii sawa ile kile kinajiuza bhana hasa hasa kikiwa na 1 au 2
 
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
1,723
Points
2,000
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2014
1,723 2,000
mtihani ni form four ata kama vyeti wengi wanasema havisaidii sawa ile kile kinajiuza bhana hasa hasa kikiwa na 1 au 2
Ni kweli mkuu,form 4 ndio fundamental ya elimu zote
 
jonx

jonx

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2019
Messages
205
Points
250
jonx

jonx

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2019
205 250
asee nmeona kaz ya tanroads office assistant II (3 post) ad kufagia pamoja na kupanga mafail sifa cheti cha 4m 4, iv awa tanroads wana mshahara kama kuanzia sh.ngapi maana hawajaandika mambo ya renumeration
 
dojonase

dojonase

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2017
Messages
699
Points
500
dojonase

dojonase

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2017
699 500
Tanrod mkoa gn na upo teyari kwenda mkoani
asee nmeona kaz ya tanroads office assistant II (3 post) ad kufagia pamoja na kupanga mafail sifa cheti cha 4m 4, iv awa tanroads wana mshahara kama kuanzia sh.ngapi maana hawajaandika mambo ya renumeration
 

Forum statistics

Threads 1,324,816
Members 508,836
Posts 32,173,475
Top