Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

izo apo Mzee ila dah nmekaushia
Screenshot_20190617-134628.jpeg
Screenshot_20190617-134611.jpeg
 
asee nmeona kaz ya tanroads office assistant II (3 post) ad kufagia pamoja na kupanga mafail sifa cheti cha 4m 4, iv awa tanroads wana mshahara kama kuanzia sh.ngapi maana hawajaandika mambo ya renumeration
Tatizo sio mishahara tatizo si rahisi kama unavyohisi kuipata hata hiyo nafasi ya ufagizi na kupanga file na yenye hiko kigezo kidogo cha cheti cha 4 kwa hiyo Taasisi ya TANROADS kama huna mtu ila usikose kujaribu.
 
mzee ndo kanikatisha tamaa kabisa maana nilmzuga sijui ni kazi gani badae nkamwambia ni office assistant, akasema ko unaitaka io nmekaa kimya tu, ila yeye anamjua manager wa tanroads morogoro, kama sikosei ni mmama wanajuana sa sijajua kwanini amekataa nsiombe ila nmeacha tu maana, ata io security guard nlvoomba sikumwambia ila nayo alisema haifai

Acha usiombe ukimaliza kusoma mzee wako atakutafutia kazi ya elimu yako na inayokufaa ndugu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee m ntaomba tu atafte yy n nan ua ni vgeu vgeu awa wazee
 
Kama mtoto wa kiume unashindwa kuwa na maamuzi binafsi kwa umri ulofikiana hiyo elimu yako mpaka leo unaakili ya kuongozwa na mzee fha tatizo hilo boss wangu maisha magumu sana komaa na mzee vizuri tumia hizo channel.
 
pamoja broo

Wakuu msiwe na wenge calculation ya marks za utumishi haina formula

Kuna interview waliitwa wana 10 walikua wanahitajika 2

Waliopata ile kazi walikua waliokua wa tano na saba kwenye written exams

Maswali ya oral yalikua yale yale ya written.Tena wale jamaa waliyadiscuss upya ya maswali kabla hawajaingia kwenye interview

Wote walikua wamewahi fanya interview before tena za utumishi

My take:Mwenye bahati atabahatika usivunjike moyo wala usijipe matumaini, muombe Mungu kama ni zamu yako utaitwa kama si zamu yako utasubiri interview zijazo
 
Hakuna jipya mbona mkuu, au macho yangu hayaoni vizuri.?
Yeah maana yangu kwamba ukweli utaupata humo ila huku JF kuhusu updates watakukatisha Tamaa na kukuongopea tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom