900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 5,584
- 5,891
CHADEM nini sasa, sema wananchi watamlilia isipokuwa watawala wa CCM wanasherehekeaCHADEMA wataangua Vilio kumlilia Prof. Assad
CHADEM nini sasa, sema wananchi watamlilia isipokuwa watawala wa CCM wanasherehekeaCHADEMA wataangua Vilio kumlilia Prof. Assad
niliwahi kuwaambia humu hii awamu tutaibiwa kuliko awamu zote Jamaa ni mwizi sana,amefanikiwa kuwatia watu wote hofu asipatikane wa kuhoji ili afanye yakeWatakupinga sana kwa kauli yako hii. Lakini Mungu muweza wa yote akituweka hai hadi anaondoka madarakani kisheria au kimabavu ndio watakuamini watakapo jua kuwa hakuwa na tofauti na Sani Abacha wa Nigeria.
Ukiwa na mbwa mkali wezi wote hawata mpenda na watataka kwa namna yeyote. Profesa Assad hongera tutakumbuka weledi na uaminifu wako kwa Taifa hili
Huwa nasema humu kwamba:
The hallmarks of bad governance are:
1. Ambiguousness
2. Arbitrariness
3. Capriciousness
Can anyone prove me wrong so far?
Shoctopus is correct and you are wrong; and if not, then you just offered an alternative statement for another, yet correct statement!Your last senetnce should have read, " Can anyone, so far, prove my wrongness?"
Mkuu kama kama Assad angekuwa na kosa la maadili kuna taratibu za kikatiba kumuondiaTatizo ni pale mnapogeuza hiari kuwa lazima. Sheria haijasema ukiteliwa kama CAG ni lazima uongezewa miaka kila inapokwisha mitano. Kama hivyo ndivyo kwa nini kusingewekwa ukomo wa umri na miaka ya kutumikia. Ila sheria ina taratibu za kumuondoa kazini, na ni lazima kwa makosa maalum.
Tatizo lake alijifanya mhimili was NNE ambao haupo.Pia akipewa maagizo alikuwa anabishana badala ya kutekeleza kwa itii bila kuhojiKwa mtu mwenye mapenzi mema ya matumizi bora ya fedha za serikali CAG kama Assad angemuongezea muda ili kupunguza mianya ya matumizi mabaya ya fedha maana Prof. Assad alijipambanua kuwa ni mtu safi
Angalau tulijua ni kwa kiwango gani kimepigwa.Huko nyuma walikuwa hawapigi !? Nani aliwazuia ?
Msomi mtaalamu anapobishana na mwanasiasa ina kula kwake,chagua mawili utumikie taaluma ufe njaa au umtumikie mwanasiasa upon.Tatizo lake alijifanya mhimili was NNE ambao haupo.Pia akipewa maagizo alikuwa anabishana badala ya kutekeleza kwa itii bila kuhoji
Twende na mifano jmnTatizo lake alijifanya mhimili was NNE ambao haupo.Pia akipewa maagizo alikuwa anabishana badala ya kutekeleza kwa itii bila kuhoji
sema alichokuibia wewe acha uongoAlikuibia nini?
Afu kuna wapuuzi na wajinga wanaamini huyu mtu anaachia 2025. Hili jamaa halitoki. Labda life
View attachment 1252682
Rais John Magufuli leo Novemba 3 amemteua Charles Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akichukua nafasi ya Prof. Mussa Assad
Prof. Assad aliteuliwa na Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete wakati wa utawala wake na kuapishwa Novemba 2014.
BAADHI YA VIFUNGU VYA SHERIA/KATIBA VILIVYOIBUA MJADALA:
View attachment 1252913
View attachment 1252910
WASIFU WA KICHERE:
NAME : Charles Edward Kichere
DATE OF BIRTH : 26th March 1970
LANGUAGES : Fluent in English and Kiswahili in both writing and speaking.
ACADEMIC QUALIFICATIONS
November 2016:Tumain University, Bachelor of Law (LLB).
December 2008: University of Dar es Salaam, Master of Business Administration (MBA – Finance).
June 2004: African Renaissance Centre – Mbabane, Kingdom of Swaziland. Awarded Diploma in Financial Management of Donor Funded Projects.
November 1997: University of Dar Es Salaam Awarded Bachelor of Commerce (B.com – Accounting) Upper Second Class with Honours.
May 1992: Shinyanga Commercial Institute (Shycom) Awarded Advanced Certificate of Secondary Education Examinations – Division 1.
November 1989: Tambaza Secondary School Awarded Certificate of Secondary Education Examinations – Division 1
Charles Edward Kichere was a Njombe Regional Administrative Secretary (RAS) and former Commissioner General at Tanzania Revenue Authority (TRA).
He also worked as Deputy Commissioner General at Tanzania Revenue Authority (TRA),
Head of Finance and Chief Accountant at Tanzania National Roads Agency (TANROADS),
Principal Internal Auditor at Tanzania National Roads Agency (TANROADS),
Internal Auditor at Tanzania National Roads Agency (TANROADS),
Internal Auditor at Unilever Tea Tanzania Limited, and Internal Auditor/Treasurer at Unilever Tea Kenya Limited.
Charles E. Kichere holds Bachelor of Laws (LL.B) from Tumaini University College, Dar es Salaam Tanzania, Masters of Business Administration (MBA) in Finance at University of Dar es Salaam,
Diploma in Financial Management of Donor Funded Projects at Africa Renaissance Centre, Mbabane Swaziland,
Bachelor of Commerce in Accounting (B.Com Accounting) at University of Dar es Salaam.
He is a member of the Credit and Audit Committees.
That "Diploma in Financial Management of Donor Funded Project" is a joke. It was conducted in 3 weeks, what sort of a diploma is that? I went through the same "course" but I dare NOT tell people of it.
It was just meant to be a joke!Shoctopus is correct and you are wrong; and if not, then you just offered an alternative statement for another, yet correct statement!
Anafanya nini hapaAssad alipanda majukwaani akahubiri siasa lini, mkutano wa nani, wapi, na alisema nini ??????
Unachanganya mambo Mkuu aliyetemwa ubalozi ni Kidata.