CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

Bure ndo inawatoa akili au ulofa tu !?[/QUOTE[/QUOTE

Jiulize kwanini huko kwny elimu bure hakuna mtoto wa rais/makamu wa rais/waziri mkuu/mawaziri wanasoma huko ndo utajua kule ni ulofa au la.]
 
Kwa hio hapo unamuona alikua jukwaani akipiga siasa sio?

Hio website hapo nyuma ya Assad unaona imeandikwaje?
Sijui hata kama anajua alikuwa wapi hapo.

Kabandika picha bila maelezo anataka wengine tujue aliongea nini.
 
Kwa hio hapo unamuona alikua jukwaani akipiga siasa sio?

Hio website hapo nyuma ya Assad unaona imeandikwaje?
Nadhani wewe unadhani kuwa Jukwaa maana yake ni stage tu; hapana, jukwaa ni space yoyote mtu anapotolea maoni yake, ndiyo maana hata JF ni jukwaa. Kuitoisha press conference na kuanza kuzungumuza matamko yenye mleongo wa kisiasa ni makosa, hata kama press conference hiyo umeiitisha nyumbani kwako, na mbaya zaidi ni pale unapoiitia kwenye ofisi ya umma ambayo haitakiwi iwe ya kiserikali.

kama kuna mtu anaamini kuwa Assad kaonewa, na katiba imevunjwa, milango ya mahakama kuu iko wazi kusikiliza madai ya uvunjwaji wa Katiba.
 
Wacha maneno/ujuaji mwingi.

Kwny hio picha umemuona Assad akiwa anapiga siasa?
 
Mkuu kama kama Assad angekuwa na kosa la maadili kuna taratibu za kikatiba kumuondia
Katiba inataka afikishe miaka 60
Kafikisha?mbona mnajifanya hamjui kusoma?
Mimi ninajuwa kusoma na kuandika. miaka 60 au 65 ni kikomo. Kuteuliwa ni kwa miaka mitano. Baada ya miaka mitano unaongezewa miaka mitano zaidi, lakini siyo lazima uongezwe. Wewe unavyosema hajafika miaka 60, je mtu akiteuliwa nafasi hiyo akiwa na umri ni lazima afikishe hiyo miaka? Je mtu huyu hawezi akateuliwa nafasi nyingine ni mpaka abaki CAG mpaka awe 60/65?.
Kuna kitu kingine kinasahaulika, kila coach ni wajibu wake kuangalia timu yake na kuangalia ni mchezaji gani anataka awe kwenye timu yake. Huwezi kumlazimisha coach kama mchezaji fulani lazima acheze hata kama mchezaji huyo hataki kucheza. Pia hakuna anayejuwa kama Assad aliomba kuongezewa miaka mitano au hakuomba. kama aliomba akanyimwa hatujui sababu zilizotolewa kumnyima. Kwa hiyo, labda kwa kutenda haki, wale mnaoona kuna kigiza mngemuuliza Assad akama aliomba kuongezewa ua hakuomba badala ya kudai amenyimwa fursa ya kuendelea miaka mingine mitano bila kuwa na ushahidi.

Na wewe Nyabheru oops Nyabhingi kwani unatuambia tunajifanya? Huwezi kutumia lugha isiyo na jazba?
 
Ndio maana tunasema huyu MtuPori huwa haeleweki au tuseme anaropoka bila kupima maneno. Leo unamshusha cheo mtu kuwa utendaji wake hauridhishi, baada ya muda mfupi unampa madaraka makubwa zaidi hata ya Yale uliyokuwa umemvua.
Shida sana kuwa na mtu wa aina hiyo
Kichere TRA alikuwa technocrat. Hakushushwa, alipewa madaraka tofauti wenye ngazi zinazoshuhubiana. RAS ni mtu wa pili kwa madaraka katika mkoa.
 
Ni kesho...
IMG-20210327-WA0018.jpg
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom