CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

Rais Dkt. John Pombe Magufuli, amemteua Charles Edwar Kichere, kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, CAG. Kichere anachukua nafasi ya Profesa Musa Assad ambaye muda wake wa miaka mitano katika nafasi hiyo unakamilika Novemba 04, 2019.
Kabla ya Uteuzi huu, Kichere alikuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe
 
Attachments

  • 75341169_1423617624457500_4870176318739709952_n.jpg
    75341169_1423617624457500_4870176318739709952_n.jpg
    5.7 KB · Views: 1
Tumtakie CAG Mstaafu, Prof. Mussa Assad kustaafu kwema na amestaafu kwa heshima na kwa mujibu wa sheria na sio kwa hoja zozote za vitatange na vibirifitina, jina lake litaandikwa kwenye kile kitabu cha mashujaa wa kweli wa taifa wetu kwasababu ameacha Legacy.

Karibu CAG Mpya, Charles Kicheere, tunakutakia kazi njema.
Paskali
 
Kwa mtu mwenye mapenzi mema ya matumizi bora ya fedha za serikali CAG kama Assad angemuongezea muda ili kupunguza mianya ya matumizi mabaya ya fedha maana Prof. Assad alijipambanua kuwa ni mtu safi
Hujui Assad ni fisadi kama mafisadi mengine waulize NBC alipokuwa Mwenyekiti wa Bodi huko.
 
Hongera zake kwa kuaminiwa na mh rais,watu wanazidi kupata vyeo kila uchwao,mungu awabarikie sana
 
Tumtakie CAG Mstaafu, Prof. Mussa Assad kustaafu kwema na amestaafu kwa heshima na kwa mujibu wa sheria na sio kwa hoja zozote za vitatange na vibirifitina, jina lake litaandikwa kwenye kile kitabu cha mashujaa wa kweli wa taifa wetu kwasababu ameacha Legacy.

Karibu CAG Mpya, Charles Kicheere, tunakutakia kazi njema.
Paskali
Hongera Profesa Assad.Tutakukumbuka
 
Tumtakie CAG Mstaafu, Prof. Mussa Assad kustaafu kwema na amestaafu kwa heshima na kwa mujibu wa sheria na sio kwa hoja zozote za vitatange na vibirifitina, jina lake litaandikwa kwenye kile kitabu cha mashujaa wa kweli wa taifa wetu kwasababu ameacha Legacy.

Karibu CAG Mpya, Charles Kicheere, tunakutakia kazi njema.
Paskali
Labda shujaa wa home kwenu siyo TZ
 
Back
Top Bottom